Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
mi siyajui hayo ya watu kuingia road!!! Najua maandamano ya Bolt na ya wakatoliki fakesasa mkuu emu tujadili kwa makini kama akili zipo kweli,
hao wavatikani uliowataja na hawa madereva nani kapewa kashkash na polisi na kwanini? maana akili hizi unazotaka kutumia muda huu ndo ziliwaingiza watu road na baadae chamtema kuni kilionekana