Achaa unoko unataka tulaleee njianiTumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Ni Kweli, Nimepanda Bus Zao Pia NimetokaHao wako rough tu wala hawana mwendo.
Kuna kapepo ndio kanakufanya uwe hivyoLigi nzuri sema umakini ndio muhimu zaidi. Hakuna kitu machukia kama kupanda gari afu ipitwe na magari mengine hua inamiuma sana natamani kumtukana dereva
Bro hizo chuma zilikuwa zinatembea sana,zilipelea akafungiwa root ya dar mwanza,waliingiza gari nyegezi SAA kumi na mbili 15'Mkuu mbona sikuhizi Hawakimbiii! Kuna siku nilitoka huko saa kumi na mbili, saa moja na nusu tulikua ubungo Shell, enzi zile kuna zile Ally's sports achana na hizi Ally's star.. 2011 hiyo, zilikuaga scania 95 hatari sana!
Nyegezi hiyo ndio iliyoimbwa au?Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Jamaa walikua wanatembea sana, then hakuna muda wa kupoteza, nakumbuka tuliacha mtu washroom shinyanga pale, anapiga simu watu wanaitafuta tinde., akapewa connection ya gari nyingine ila mpaka tunatoboa ubungo hakuna gari ya mwanza imeingia!Bro hizo chuma zilikuwa zinatembea sana,zilipelea akafungiwa root ya dar mwanza,waliingiza gari nyegezi SAA kumi na mbili 15'
Hazikuwa 95 zile....nyingi zilikuwa F114 330 chache 94. Hayo ma F330 yalikuwa yana mwendo si mchezo.Mkuu mbona sikuhizi Hawakimbiii! Kuna siku nilitoka huko saa kumi na mbili, saa moja na nusu tulikua ubungo Shell, enzi zile kuna zile Ally's sports achana na hizi Ally's star.. 2011 hiyo, zilikuaga scania 95 hatari sana!
Hongera na Safari njema,mie huwa napanda Ally's star,kisbo na najimunisa tu nikiwa naenda,tabora,kahama ama mwanzaLeo niko na mnyama mmoja anaitwa Phoenix.Allys kaachwa huko nyuma sana
Yeeeeeeees.., nilisahau Mkuu, ndio hiyo! Tahmeed nae anazo hizi engine ila shida ni VTS tu.Hazikuwa 95 zile....nyingi zilikuwa F114 330 chache 94. Hayo ma F330 yalikuwa yana mwendo si mchezo.
Bila kuitaja Phoenix hiyo list yako imeniudhiNdio barabara yenye bus nyingi
Allys
Tungis
Tanzanite
Happy nation
Kibo
Kisbo
Isamilo
Kisesa
Zuberi
Abood
Najimunisa
Dar lux
Na N.K
Mbona madereva wanapeana nafasi ktk kupitana
Hawana kubaniana
Shinyanga mnaingia pamoja
Singida mnaingia pamoja ktk misosi
Hata dodoma pia.
Kuachana kunaanza Dom kuelekea Moro hapo akikutangulia mtu amekutangulia aiseh
Kufa kupo tu unaeza fia usingizni,unakuta watu wana haraka na mishe zao mzee. Ushapanda Sai Baba ya Nairobi? Au buffalo na Ngorika miaka ya 2004?IPO siku utakuja kuzinduka ukiwa KABURINI.
Sio ligi za kijinga bob, kila mtu anataka kuoata jina kubwa kwa abiria ww zubaa kama Sai Baba ukimbiwe na abiriaKumbuka njia ya dar-mwanza inajumuisha mikoa ya kanda ya ziwa,mikoa ya kanda ya kati na mikoa ya magharibi.hivyo ni njia yenye mabasi mengi sana ndio maana kunakua na league za kijinga.
Sasa si utaje umepanda gari Lipi Kati ya hayo Mkuu,nianze nalo?!Nipo Kazini muda huu ..Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Mkuu Pipa siyo Hatari zaidi?!Hilo hata viungo nasikia vyaweza visionekane hata Kimoja !?Toka nipate ajali na basi la Ally's Star mwaka jana, sina hamu na hiyo njia tena. Bora nijichange nipande pipa tu.
Acha bwana Zuberi hutoa mpaka 5.Mkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.
Hizo kampuni nyingi huwa ni gari moja tu inatoka Labda Ally star Ndio huwa anatoa 3
TuliwadhibitiJamaa walikua wanatembea sana, then hakuna muda wa kupoteza, nakumbuka tuliacha mtu washroom shinyanga pale, anapiga simu watu wanaitafuta tinde., akapewa connection ya gari nyingine ila mpaka tunatoboa ubungo hakuna gari ya mwanza imeingia!
Mliwathibiti? Nyinyi ni nani Mkuu? LATRA au TRAFFIC Police? Au ndo mlikua MOMBASA RAHA / GREEN STAR?Tuliwadhibiti
TRAFIC Police Mkuu....Nilipanda mule siku Moja Saa 11 alfajiri Toka Mwanza....Saa 12 kamili jioni eti tupo Ubungo Mataa!!!Nillichukia mno...2012 ...nakumbuka mpaka leo.Mliwathibiti? Nyinyi ni nani Mkuu? LATRA au TRAFFIC Police? Au ndo mlikua MOMBASA RAHA / GREEN STAR?
Bora Mkuu! Hiyo siku iligongwa gia na Dereva mmoja alikua anaitwa Mzee Paulo! Tulipotoka Gairo kuitafta msamvu mzee alimwaga moto mpaka nikaanza kujilaum kwanini sikuandaa zuberi au master city!TRAFIC Police Mkuu....Nilipanda mule siku Moja Saa 11 alfajiri Toka Mwanza....Saa 12 kamili jioni eti tupo Ubungo Mataa!!!Nillichukia mno...2012 ...nakumbuka mpaka leo.