Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna basi linaitwa SuperFeo ya kutokea Moshi kwenda Songea wana kiburi na dharau kwa abiria. Abiria unaburuzwa kutoka Moshi saa 12 asubuhi chai saa 8 Dodoma pale FourWays wana hoteli yao chakula ni kiporo na sahani wanauza sh. 8000. Kuna hoteli nzuri Babati hasa pale Himiti bei ndogoSerikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
⢠Dar - - Mwanza
⢠Dar - - Mbeya
⢠Dar - - Kigoma
⢠Dar -- Arusha
⢠Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Uzuri wa chakula siyo bei. Vile vyakula vyao vingi ni viporo. Mamalishe wanapika vyakula vizuri halafu vya moto, kwanza hawana fridge viporo watatoa wapiTafuta tuu hiyo afu nane, watu wameshalamika sana, ila ukumbuke cheap is expensive... Utauziwa afu tatu kilomita mbili nyingi tumbo linaanza kuvuruga
Kueleza kero siyo kulalamika. Acha tabia za kidkteta.Watanzania tunapenda sana kulalamika.....kila mtu abebe chakula atakacho.....kama miala zamanii
Na Iringa pale Igumbilo kuna hotel vyakula vyake vimechachaDar -Mbeya wanapaki kwenye hotel chafu na mbaya na chakula kibovu
Unaumiza sana muda mwingine chakula chahovyoo kha!!Kabisa mkuu, huu utaratibu siyo kabisa, unaumiza watu wengine,
Wali-maharageFunga chakula toka nyumbani kwako unaposafiri
Sio mbaya ukinunua mkate, maji au soda ukiwa stendi ya magufuli kuepuka adha ya kununua au kutamani chakula cha watu wanapoenda kula sehemu hizo ulizotaja.Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.