Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Nyumbani nakula na hicho chakula kitafanya kazi.. sasa umekaa tu napo unakula nn?
• Mechanism ya mfumo wa chakula haupo hivyo, ( mwili unahitaji glucose ili ukamilishe mambo yake)
• Kama ingekuwa hivyo basi watu wasinge jisumbua kufanya kazi, tungelala tu ndani, ili njaa isiume
 
Jamani the only best part kwenye masafari ya marefu ni tule tuchakula kwenye foil, ni vitamu and yet so small. Unataka kushiba kuwa kama wapare kama kina Mshana Jr wao huwa wanabeba hotpot la Makande cha jioni watakula kwa mwenyeji wao.
 
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.

• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma

Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.

Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.

1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?

2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini

Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Kilichopo nyuma ya pazia nikuwa huwa kuna fedha inawarudia sina hakika km ni hao madereva au kampuni kwa ujumla na hili nilithibitishiwa na mmoja wa mabosi wa kampuni ****** tulitoka moro kwenda dar kufika mdaula kuna sehemu sio ya miaka mingi sana ya kuchimba dawa hapo ndyo huyo boss ilivyo julikana yupo humo ndani akaletewa chakula tena akibembelezwa apokee yule boss akasema anataka na hesabu ya mabasi ya kampuni yake yaliyo leta wateja wakasema wataiandaa na kuiweka kwenye group.
Nika muhoji kwani kuna chochote kinaingia kwa huu mfumo? Akanijibu kuwa biashara ni fursa ya bishara nyengine
 
Huendagi madukani au?
Kuna foil box
Kuna vi lunch box siku hizi vya kila dizain
Sio ile mihot pot ya enzi za Nyerere
• Familia nyingi zinakaa huku Interior Angle(kidegembye), Rais mpaka leo wanajua ni Nyerere. Sasa mtu wa aina hii, hata maana ya foil hajui,
 
Ukiwa na safari na watoto wabebee hata makande toka nyumbani utanishukuru.
😀😀, Wakiaza kutoa carbon kwenye Gari, mithili ya panya aliye kufa... Ndo utajua umuhimu wa basi kusimama maeneo maalum.
 
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.

• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma

Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.

Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.

1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?

2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini

Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Mtanzania anachuuzwa km bidhaa, ulipe nauli bado wakufanyie biashara tena, unapelekwa hotel wanayotaka wenye basi, na ni dili. Wafanyakazi wa basi wanakula bure na mwisho wa mwezi mwenye hoteli awapa posho. Hizo hotel vyakula vyao ni viporo na bei ya juu. Hotel ziko porini ili usiende kwenye migahawa ya bei ya chini. Ukiingia Highway Korogwe kwanza wanavyojisikia na kudharau abiria, sahani ya wali 8000 na vinyago 3 vya nyama. Abiria hushindia biscuit. Unateswa ndani ya nchi yako na walafi wachache. Kwanini LATRA isitoe maelekezo abiria wapate chakula mjini sehemu zenye migahawa mingi? Mtu mweusi ni laana, hatosheki, mlaku. Hizo hoteli hasa Dar-Arusha ni za wenye mabasi wamezijenga porini usiwe na option
 
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.

• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma

Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.

Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.

1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?

2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini

Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Uko sahihi, hivi kile chama cha kutetea haki za abiria majukumu yake ni yepi. Wamekalia mjini tu
 
Anhaa Nyafwili pole sana , zamani kidogo kila nikisafiri nikala vyakula njiani basi tumbo lanipa uharo .

Basi nikaja na mbinu ya kujitengenezea kuku wangu namkaanga vizuri naweka na chipsi za kuzugia si unajua mimi ni chipsi damu damu bro basi nikipanda gari nikipewa ile take away safari yangu inakuwa imeisha .

Kwa hii njia niling'oa mademu wengi maana unakuta nasubiri warejee kutoka huko wanakouziwa uchafu kwa gharama wanakula wanamaliza , kila mtu ananikaribisha mimi ni mwendo wa ahsante wanahisi nina shida kweli kweli .

Sasa dakika kumi mbele wao wanakuwa ombaomba kwangu maana navitoa vipande vyangu vyote vya kwio kwio naanza kula kwa madaha basi kwakuwa mimi kwenye basi ni mwiko kukaa na mwanaume mwenzangu ni hapo utaanza kushangaa mara jirani nionjeshe basi maana sinaga neno karibu kwenye jasho langu .

Akikaribia kaumia , maana mtongozo uanzia hapo anapohisi kuku wameisha namsubilia wakati wa kigiza ndiyo namtoa mwingine wakati ambao dereva amepambisha moto basi ni mwendo wa kulishana vidali vya kuku mpaka nafika nakuwa mwenye maamzi ni mimi twende lodge au nimuache aende mtoto wa watu .[emoji848]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
• Upo sahihi kabisa mkuu, ila siyo kila mtu anauwezo wa kutembea na kuku,
• Unakuta familia haina kuku, familia haina bata,
• Familia inaishi kwa kula ugali wa dona, na maharagwe

• Mkuu hapa tuzungumzie kwa watu wote, kuazia safari za maskini mpaka safari za mwenye Kipato cha juu. Je hizo kuku atazihimili? MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Back
Top Bottom