Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Dar-iringa, dar-dodoma, dar-njombe ,etc, kampuni ya mabasi ya ABC.mwanza--Dar
• mbeya--Dar
• kigoma--Dar
•Arusha-- Dar
• Ruvuma--Dar
Wana paki kwenye hotel nzuri na chakula cha bei nzuri
Nunua biskuti na juice... hautakufa njaa kwa kukosa lunch siku moja
Nunua biskuti na juice,
Mzee wang ndio trick yake hii, anatoka nyumbani na kuku rosti, ndizi za kuchemsha barabaran huko ananunua maji tu.Usi complicate mambo ngoja nikupe life hacks, kuna kitu kinaitwa lunch box. Wewe kabla hujasafiri kwenda huko unakokwenda jiandalia chakula chako kifunge vizur, wakat wenzako wanasuka kwenye gari wewe ndio kwanza unatoa kuku wako unamla taratibu,
Hapo ume save cost mkuu,
Mi kiukweli nikitaka kusafiri,nanunua soda,grand malt,ndizi mzuzu,matunda navyotaka vyote!Serikali inafahamu haya lakoni imekaa kimya, Hovyo sana
Tena hapo mm nakaush kuku na ndizi zangu, hapo basi likisimama yangu maji tuu, kama mzee wakoMzee wang ndio trick yake hii, anatoka nyumbani na kuku rosti, ndizi za kuchemsha barabaran huko ananunua maji tu.
Mwanzoni niliona mzee umri unamsumbua, lakini siku niliyolishwa chips kavu na nyama ngumu kuliko maisha yangu ndio nilielewa!!
Hii ya kuwa na uhakika wa wateja ilibidi iwafanye wauze kawaida. Maana faida ipo, ila wao wamekaa kindezi kuwaza faida kubwa zaidi.Nafikiri sababu ni demand kubwa, yaani lazima utakula kwa hiyo wanapandisha bei wanavyoona wao ingawa sio sawa
Kama hawapati wateja na vyakula vinalala labda, ila wanauza sana tu
Na sidhani kama kodi kuna kodi hapo bali kajenga mwenye mali hapo
Nooo unafanya vile utakavyo, ukiweza kununua pale sawa kama huwezi kununua pia sawa.• upo sahihi mkuu, je wote Abiria wafanye hivyo?
• Natujue kabisa kuna watu vyakula vya baridi hawezi kabisa kula.
Furaha ktk maisha ni zile good moments na hakuna starehe nzuri inayoleta furaha kama kulaet safar ya masaa 8 au 9 yaan sa kumi upo arusha unahangaik n vyakul mombo ... sa ingne nashangaa mtu anashukia same et anakul mombo nae kufuat mkumbo
Point 💯.Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Huyo mama nae ni mjinga na mpumbavu, yani anajua fika hotelini chakula ni bei ghali yeye anaenda na hela ndogo alafu anataka huruma. Ukiona chakula cha hotelin hukiwezi na una watoto pika chako nyumbani beba kwenye hotpot wenzako wakishuka kununua wewe unashuka na chako unakula hakuna mtu atakuuliza. MUACHE KUILAUMU SEREKALI KWA UJINGA WENU.
Wengine safari ndo inakua ni mara ya kwanza,, kwa hiyo usiseme ni mjingaHuyo mama nae ni mjinga na mpumbavu
Naam mkuu, Labda siku Tukija kupata viongozi, wanaojielewa.Kwa hapo ni sahihi sio rahisi kihivyo .
Kikubwa serikali ingeweka utaratibu wa chakula kwenye mabasi na bei elekezi bila kusahau watu wa afya kuhakiki hivyo vyakula maana uchafu ni mwingi pia .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
nimesafiri na hiyo njia mara nyingi ila kwa elfu 7 kuwa bei ya chini kuna walakini mfano sehemmu kama aljazira bei ni 3000 wali maharage na mbogamboga,wali nyama 5000..ila msosi mbovu. Kuna ule mgahawa wa kinyanambo na iringa pale ndo jau sambusa tu inafika 1000 ila bado wali bei ya chini sio elfu 7.Sehemu nyingi tu mkuu,
Siku nyingine tumia akili kidogo, hizo sehemu wanazosimamisha mabasi, watu si lazima wale chakula cha hapo inaposimama basi, wengine wanapata pa kujisaidia, sehemu safi na salama.Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Asante Mkuu kwa maoni yako! Kama LATRA wamepandisha nauli na serikali imeziba masikio haitaki kusikio kilio cha wananchi, na hili wanaweza wasikusikilize!
Mkuu nadhaini mtu akitaka kusafiri kama hana uwezo wa kula kwenye hotel hizo, afungashe chakula chake kwenye hotpots! Basi likifika kwenye maeneo hayo mtu anafungua chakula chake anakula!
Asante Mkuu kwa maoni yako! Kama LATRA wamepandisha nauli na serikali imeziba masikio haitaki kusikia kilio cha wananchi
S9k8 nyingine tumia akili kidogo, hizo sehemu wanzosimqmw watu si lazima wale chakula cha hapo inaposimama basi, wengine wanaenda kujisaidia sehemu safi na salama.
Nakushuri uwe unabeba kabisa chakula chako cha kula njiani ukiwa na safari ndefu, hata kama una pesa za kutosha. Usafiri wa mabasi, hususan wa mwendo mrefu, ssiyowa kuuamini sana, kuna kusimama au hata kulala njiani kwa sababu tofauti tofauti.
• Mbona wewe haujatumia akili ku-comment, iweje mimi nitumie akili.?S9k8 nyingine tumia akili kidogo