Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Maelezo mazuri sana mkuu, changamoto ipo hapa 👇👇.

parking.Uzuri na bei ya chakula sidhani kama wanazingatia, vigezo ni hivyo hapo.
 
Pamoja na hayo maeneo na bei zao na chakula kisicho na radha.

Mm nakereka sana na dakika 10 za kupata HUDUMA. HII ni nini? Utakuta abiria wanakimbizana kama Swala Pala.

Mahoni hovyo hovyo NO ustaarabu, japo kidogo tujaribu ustaarabu HAKUNA uchelewaji kwa kupata huduma dk 20 safari itakuwa vilevile.
 
Kama hakuna parking? au mwenye hotel hataki kutoa cha juu kwa dereva na sahani 1 ya bure unadhani dereva atasimama hapo?
😄😄, Sahani 1, Aise sisi Waafrika ni taabu sana,
 
Mkuu zamani mnakaa saa nzima maana na dereva kachoka kufukia mashimo anapumzika.
Siku hizi ni mbio tu
 
Ni sahihi mkuu, mambo yataenda vizuri kabisa, Biashara siyo kuweka bei vitu juu, Biashara ibebe hela kuazia 100 kwenda mbele.
 
Usichokikumbuka ni kuwa kipindi cha uchaguzi hela inamwagwa kwa maskini huko kuwapumbaza pamoja na hizo kofia na tsheti.
😐😐, Viongozi ni watu waajabu sana,, Na wa Tz tulivyo mambo yote tunasahau kabisa kabisa.
 
😐😐, Viongozi ni watu waajabu sana,, Na wa Tz tulivyo mambo yote tunasahau kabisa kabisa.
Shida ya watanzania ni ukosefu wa akili sababu ya njaa inayopelekea unafiki na ubinafsi. Mtanzania ni mwepesi sana kugeuka chawa na kuwasaliti wenzie endapo akisogezewa kamrija kadogo ka kulamba asali.

Yani kwenye kundi la wabongo 100 wenye lengo moja ukichagua viherehere kumi tu na kuwaweka kwenye payroll yako utashangaa hao kumi watakuwa upande wako na kukupa ushirikiano wa kuwahujumu wale wenzao 90 kwa namna yeyote ile wawezayo huku wakijifanya wako pamoja nao.

Hio ndio tabia halisi ya mtanzania na kwakuwa tunajuana kila mtu anaona ni upuuzi kuwa protestant. Wanayaacha mambo kama yalivyo alimradi kila mtu anakula na kushiba na familia yake.
 
Dakika 10, kwa ajili ya kula ni ndogo sana, Abiria wanapelekeshwa utadhani, tunaenda kuwahi vitu vya maana tunakoenda.
 
Hii ni huzuni sana, maana kwa style hii, hata nchi kuipeleka mbele inakuwa ngumu sana, wanafiki ni wengi kuliko wenye Nia njema na uelewa wa kutatua mambo.
 
Utabadilishaje gari, wakati magari yote yaendayo Mikoani inafanya huo upuuzi!


Usafiri upi, Ndege? Kama chakula tu shida hizo garama za choppa anatoa wapi?
Option zipo tatu

1. Badili basi
2. Badili usafiri
3. Badili ulaji wako

Zamani sisi tulikuwa tunaandaa chakula chetu wenyewe kwa ajili ya safari, kuepuka huo upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…