Madereva wana posho zao kupeleka wasafiri eneo hilo la chakula na chakula cha pale wanakula wapendacho bureeee[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Ukifanya uchunguzi utagundua pia kwamba Madereva wenyewe hawali kwenye hotel hizo huwa wanalipwa hela tu , wao wanakula sehemu maalum , wana wapishi maalum humo njiani huwaletea msosi kwenye maeneo wanayoahidiana
Sahani moja ya chakula pamoja na 10000 - 20000/-, Inaumiza abiria karibia 45-50Madereva wana posho zao kupeleka wasafiri eneo hilo la chakula na chakula cha pale wanakula wapendacho bureeee[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Afadhali itoke wapi?...mwendo ni ule ule wa bei za kuruka na vyakula kiduchu kama chakula anachopewa form one shule za boarding kwa wale tuliosoma zamani!Okay sawa mkuu, Mwaka sasa umepita mkuu, Tupe Sifa zake,hiyo hotel kuna Afadhali yeyote ile ?
Ni bei gani hizo mkuu?
Huu ni utetezi wa hovyo kabisa...kwamba stend kama Nane nane Dodoma, Msamvu. Hakuna maeneo yaliyotengwa ndani ya stedi kwa ajili ya kutoa huduma ya chakula?Umeshawahi fikiria gharama za uendeshaji wa hizo hoteli? Pale wanakula abiria tu. Hakuna mwananchi wa maeneo yake atathubutu kwenda kula pale. Vinginevyo stendi za mabasi ziwe na migahawa inayoweza kutoa huduma bora. Stendi zikiweza kuwa na hoteli kama 3 zitafanya kuwe na ushindani na walaji kunufaika. Kinyume na hapo kilio kitaendelea.
ππ, hatari sana, Na kwa uongozi wa sasa, kila mtu anafanya analotaka,, Maskini wa hali ya chini wamegeuzwa kuwa fursa ya vigogo hapa Tz.Afadhali itoke wapi?...mwendo ni ule ule wa bei za kuruka na vyakula kiduchu kama chakula anachopewa form one shule za boarding kwa wale tuliosoma zamani!
Mimi ni dereva ngoja niitetee hii hoja kwa niaba ya wenzangu, zipo sababu kadhaa;
1. Kuzuia abiria kuharisha hovyo, ukiruhusu kusimama maeneo yenye bei nafuu watu watakula hovyohovyo na kuanza kutapita kuharisha hii itapelekea safari kuwa goigoi
2. Tukiwapeleka pale mjue sisi madere tunakula buuure hivyo hii ni fursa kwetu.
3. Huwa tuna pisi kali yale maeneo
4. Wakati mwingine ni maelekezo ya matajir wetu saa tufenyeje
β’Hii hoja haina mashiko. [ kwani zamani abiria walikuwa wana kula wapi?]1.Kuzuia abiria kuharisha hovyo, ukiruhusu kusimama maeneo yenye bei nafuu watu watakula hovyohovyo na kuanza kutapita kuharisha hii itapelekea safari kuwa goigoi
β’Sina uhakika hata ukipeleka Abiria sehemu nyingine alafu ukose posho, mimi niliye wahi fanya kazi ya udalali najua hilo.2.Tukiwapeleka pale mjue sisi madere tunakula buuure hivyo hii ni fursa kwetu
Zile dakika 10 - 20 mnazotoa kwa Abiria, zinawatosha kweli kutoa donse kwa pisi?, kufanya ngono pindi unaendesha chombo cha moto huleta mikosi, hii inaweza kupelekea hata ajari barabarani.3.Huwa tuna pisi kali yale maeneo
Kidogo hapa naweza nikakuelewa.4.Wakati mwingine ni maelekezo ya matajir wetu saa tufenyeje
mbona kama unanililia utadhani nimekuwa baba yako?Huu ni utetezi wa hovyo kabisa...kwamba stend kama Nane nane Dodoma, Msamvu. Hakuna maeneo yaliyotengwa ndani ya stedi kwa ajili ya kutoa huduma ya chakula?
Maeneo yapo, lakini kwa kuwa hakuna usimamizi na nia thabiti ya kusimamia zitoe huduma, ndio maana madereva na wamiliki wa mabasi wanawapeleka abiria kula katika maeneo binafsi yenye bei za kuruka.
Angalia pale Singida, chakula 7000 hadi kumi ila kihalisia ni cha bei ya 2500 hadi 4000. Lakini ni nani asimame awasemee abiria?
Kwa wenye uchumi wa kati sawa lakini kwa mtu wa kuunga Unga aliyeunga kupata nauli ya 100000 kwenda Bukoba atamudu chakula kwa bei hiyo?
haya pambana na hali yako.β’ Mkuu, kula ni haki ya kila mtu,
β’ Mbona nauli tunatoa bila shuruti?
Mi Waha wa kigoma nilikutana nao kwenye treni,wamenifundisha kubeba ugali mandond safarini,shida ya bei imekuwa historia kwangu π......Chakula cha njiani ni shida(Dar_Mbeya), unakula tu kutuliza njaa, bei kubwa kibayaa
Tatizo la wabongo ni unafiki tu
hivi abiria kwa umoja wenu mkiamua kukaidi kuburuzwa kwenye mgahawa usio rafiki kwa mifuko yenu dereva na konda watawalazimisha? lakini shida ni Maneno mengi bila vitendo na akitokea abiria mmoja mwenye msimamo hapati support ya wenzake Bali atajikuta peke yake na Maneno kibao ya kejeli kama ungepanda ndege au nunua gari yako binafsi n.k
Tatizo la wabongo ni moja tu, Unafiki hapa utaona kila mmoja hakubaliani na utaratibu Ila kwenye field hali inakuwa ni tofauti kabisa!
ππ, Umetoa mfano mzuri sana, kuazia mfumo wa siasa, mpaka kwenye maisha ya kawaida, Utasikia aliyataka mwenyewe alidhani akiwa pekeake ataweza kupingana na mamlaka fulani. Badala ya kumpa Support mtetezi inakuwa tofauti, raia wale wale wanasimama upande wa mnyonyajilakini shida ni Maneno mengi bila vitendo na akitokea abiria mmoja mwenye msimamo hapati support ya wenzake Bali atajikuta peke yake na Maneno kibao ya kejeli kama ungepanda ndege au nunua gari yako binafsi n.k
Baba yangu hawezi kuwa Chawa!mbona kama unanililia utadhani nimekuwa baba yako?
Ugali mandondo si utakimbiza mwenge njia nzima mkuu, bora vitu vikavu labda aahππMi Waha wa kigoma nilikutana nao kwenye treni,wamenifundisha kubeba ugali mandond safarini,shida ya bei imekuwa historia kwangu π......
Point namba 3 ni ya kupuuzwa kwenye jamii ya watu wastaarabu wa JF.Mimi ni dereva ngoja niitetee hii hoja kwa niaba ya wenzangu, zipo sababu kadhaa;
1. Kuzuia abiria kuharisha hovyo, ukiruhusu kusimama maeneo yenye bei nafuu watu watakula hovyohovyo na kuanza kutapita kuharisha hii itapelekea safari kuwa goigoi
2. Tukiwapeleka pale mjue sisi madere tunakula buuure hivyo hii ni fursa kwetu.
3. Huwa tuna pisi kali yale maeneo
4. Wakati mwingine ni maelekezo ya matajir wetu saa tufenyeje
na ndiyo aina ya viongozi tulionawo hawajali wananchi zaidi ya kushindana kupiga madili na kurishana madarakaSasa chukulia huyo ndo amepata kuongoza mamlaka fulani π,, Wananchi watateseka milele.