Ni ujinga tu! Kwani umelazimishwa kula hapo?andaa chakula chako nyumban gari ikisimama kwenye hivo vituo toa chako kula shida ipo wap?
Alafu kitu kingine upo safari safarini unakula kula ili iweje? Si unywe hata soda na biskuti ukifika unapokwenda utakula vizuri. Watu mnajiendekeza kula mataka taka ya njiani .
Binafsi ninapo safiri huwa nanua tende,maji na soda Basi mpka nafika silagi kitu kingine.
Nanunua tende kavu robo nakula mdogo mdogo na huwa sihisi njaa nikila tende nashushia soda tu na maji mpaka nafika.
Kwa nini, ulazimishe mtu aishi unavyotaka wewe?,Alafu kitu kingine upo safari safarini unakula kula ili iweje? Si unywe hata soda na biskuti ukifika unapokwenda utakula vizuri
• Hivyo vyakula ulivyo taja hapo ni hobby yako wewe siyo mtu mwingine,Binafsi ninapo safiri huwa nanua tende,maji na soda Basi mpka nafika silagi kitu kingine.
• So sad, binadam mwenzie anavyo teseka yeye ndo anafurahia, Kweli Africa is dark content.na ndiyo aina ya viongozi tulionawo hawajali wananchi zaidi ya kushindana kupiga madili na kurishana madaraka
Hapana natoboa vizuri kabisa na mlenda pembeniUgali mandondo si utakimbiza mwenge njia nzima mkuu, bora vitu vikavu labda aah😀😀
Mlenda tena mkuu 😀, Aise hii ni balaa SasaHapana natoboa vizuri kabisa na mlenda pembeni
Jamaa ametisha sana 😀Mlenda safarini ? Khaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣,Alafu Amesema na ugali wa dona, 🥶🥶
Kusafiri sio mateso kuvumilia kitu gani?ile ni adventure tu.Muwe mnavumilia, njaa ya siku moja haiwezi kukuua.
Hili tatizo limezungumzwa sana hapq ila serikali imeweka pamba masikioni. Angalau ujio wa safari za usiku utapunguza tatizo hili kwani unajilia nyumbani jioni kabla ya kusafiri.Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Hilo ndo kufuli,atafika salama tu🤣🤣🤣🤣🤣,
Wanazingua kinoma yani
Kipindi chenu, mulisafiri kistaarabu sana, ila kwa Sasa ni changamoto kubwa sana.Hilo ndo kufuli,atafika salama tu
Kabisa,gari ikikwama ndo mnachimba dawa,mnarudi mnasukuma wenyewe.Kipindi chenu, mulisafiri kistaarabu sana, ila kwa Sasa ni changamoto kubwa sana.