Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Hauna subaru ww na kama hujawahi kuendesha tulia tufanye yetu nakukaribisha kwenye rally 21 to yu22 may Bagamoyo ujue kazi ya boxer engine

Aiseee haya bana ila washiriki ni kina nani?
 
Karibuni kwenye Mzizima Rally tarehe 21 -22 Bagamoyo uone WRX ,GDI,STI, zinavyofanya kazi team SUBI
Huko ndio kwa kufanya fujo sio toure drive au ali h mwinyi road.
 
Tena uku arusha kuna kitu znafungwa ukiwa speed ukishika brake znacheua kama gesi ivi sjui inaitwaje apo machalii wanapenda sana....
Inaitwa turn back valve kitu muhimu sana kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…