Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Hko kpnd chote cha miaka saba ni kwa waathirika wote wa punyeto bila kujal amepga kwa mda gan au?
 
Hii kitu huwa inanitokeaga mala nyingi ila huwa nashinda, na hasa huwa nikikutana na demu anaenizid hadhi ,yaan huwa sijiamin hata kidogo yaan namuandaa vizur ila ikifika kwenye zoezi la kuweka mdudu moyo u aenda mbio sanaa then mdudu analala, soln badilisha lication ya show ikiwezekana ikaanzie hata bafuni, jitengenezee confidence na amini nakwambia hapo nyeto haihusiki we jiamini tu
 
Hayo kawaida kwenye uwanja wa vita ata mie ilishawahi nitokea na mpaka sasa mie ni mzee wa dakika mbili nimemwaga. Cha msingi mie nimekojowa basi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila we jamaa sidhani kama ni mzima???ko na wewe ni dk 2 tu huna habari!?
 
Twanga tangawizi na kitunguu swaumu,

unywe ujazo wa kikombe 1 asubui na jioni, kula tikiti maji kipande na mbegu zake asubui na jioni,,

karanga mbichi ujazo
wa kiganja
kisha baada ya wiki 1 lete mrejesho🙏🙏
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila we jamaa sidhani kama ni mzima???ko na wewe ni dk 2 tu huna habari!?
Bro wether u last two or 30 minutes u all shoot a load cum...its that simple. Dnt let these ladies fool u ooohhh
 
Rekebisha kwanza kichwa Cha Uzi kisomeke madhara unayopata Kwa kuwa mwanachama mwaminifu wa chama pendwa.

Anzia hapo kwamba tatizo sio kutokufanya mapenzi, ni athari za uanachama.

Mwisho, inabidi utilize akili sana. Punguza wasiwasi kwamba unatatizo au shida yeyote, na kuthibitisha Hilo, umewahi kushindwa kutekeleza masharti ya wanachama ukiwa peke yako? Hiyo inamaanisha tatizo ni la kisaikolojia zaidi, nafsi na mwili wako vinaona kama unataka kuchepuka (unapokutana na pisi).

Utakaa sawa! Jitihada ya awali kabisa, pumzika au jitoe kwenye chama.
 
Nikiwa peke angu mashine inasimama vizuri tu
 
Hata hauna ugonjwa una wasi wasi ndio maana tendo la ndoa linafanyika roho ikiwa iko huru ni uoga unao
 
Nikiwa peke angu mashine inasimama vizuri tu

Ndio ujue sasa kwamba hauna tatizo.
Imeshakua mwanachama mtiifu. Na Kwa hofu uliyonayo usipokua makini itakua ni mwendo wa kushindwa kabla ya pambano.

Shida Yako kubwa ipo kwenye akili na hauna tatizo lolote.
 
NB: Apo tatizo ni punyeto wala siyo wasi wasi asikudanganye mtu umu punyeto siyo nzuri ukienda google watakuambia punyeto aina madhara na ukija umu jukwaani ni ivyo ivyo cha kukushauri acha punyeto mara moja fanya mazoezi kula vyakula vya asili na matunda narudia tena acha punyeto kabisa ...
 
Puli inaua mkuu nenda hospital
 
An


Halafu anajaribu kusema yeye ni Mzuri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…