Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

Ni wazi kuwa mahakama imeletwa "the benefit of doubt."

Kwamba harakati zote zimekuwa "scaled down" kiasi hiki, kuwa ni bure tu?

Kimya kingi kina mshindo mkuu!
Na tunasubiri tuone kama Mahakama Bado itaendelea kupokea maagizo toka kwa wanasiasa hata baada ya kuondoka kwa Jiwe.
Hii Kesi ya Mbowe ni ya kisiasa tofauti na Kesi ya Mhalifu jambazi Sabaya
 
Tusiwashangae hawa ndugu yangu, maana hata msukule huwa haujui kama wenyewe ni msukule. Jamaa kafanikiwa kuwaloga kupitia mitishamba na viji hela vya bando.
 
Usimfananishe sabaya na YULE...
Ngoja nikae kimya maana umeandika pumba nyingi
 
Kuna baadhi ya watu ni wajinga na wapumbavu sana, mtu anatesa,anakata viungo watu qnabaka na anafilisi watu mali zao,. Mwisho wa yote anapata adhabu anayostahili bado limtu linamtetea na linataka mtu mwingine afungwe bila hatia kwa kua jambazi kafungwa
 
Do na nyie magufuli anahusikaje hapo mkuu .kesi imefunguliwa kipindi cha mama yetu mpendwa lakini kila saa magufuli khaa..

Huyo Sabaya na sehemu ya genge la Magufuli lililokuwa likiendesha uhalifu ndani ya nchi hii. Ama unadhani hatujui mambo hayo?
 

mkuu ulibakwa au nawewe umesikia tu mtu kabakwa,kama unavyosikia mbowe katega mabomu???
 
Tuiachie Mahakama ifanye kazi yake kama ilivyofanya kwa SABAYA. Hakuna aliye juu ya Sheria wanasiasa sio watu wa kuwaamin na mbowe akiwepo Mahakama itatoa Majibu
 
Mwenendo wa kesi unaonesha wazi Mbowe kabambikwa kesi,mwenendo wa kesi ya sabaya uliashiria hiki kilichotokea!
Hakimu/Jaji hutumia ushahidi huo huo ambao sisi pia tunasikia!So relax,hakuna jipya!
Kuonyesha kuwa unashida na ni wale wale angalia jina la mwnyekiti wako umeliandika kwa herufi kubwa lakini jina la muhukumiwa herufi ndogo, sasa kama unaonyesha ulivyo mbaguzi sijui Ufipa mlilishwa nini na sisi tuonje
 
Imetenda haki maana ushaidi umewekwa wazi.Hatakwa Mbowe akidhibitika watu watakubali
 
Haki ikitndeka lazma ionekane, nchi nzima, be it CCM or CHADEMA , mabalozi ambao wanaogopa UGAIDI kuliko UKOMA wanapinga kuwa MBOWE SI GAIDI wewe ni nani uko huko NAMANYERE vijiji useme MBOWE GAIDI?
unawashwa
 
Ndugu kesi hii siyo mpango wa samia huyu kuingizwa mkenge bili kujua,kesi hii muasisi wake ni magu ndiyo washtakiwa wa awali ambao samia anadai walishahukumiwa walikamatwa yangu uongozi wa magu mwaka jana
 
Mbona makonda naye alitumia madaraka yake hovyo na ameshiriki kuteka na kuua,kuvamia vituo vya redio na television,mbona kaachwa tu?
 
Tofautisha kesi za kubambikia na kesi halisi.
 
Hao uliowataja wote hawana cheo chochote!

Vipi sasa mamako mbona kamkamata Mbowe?

Si utawala wa kidhalimu haupo?
 
Hapo ndipo CCM na watetezi wake ,mashabiki na wanachama wake ulipofika.
Kuna picha maarufu humu If wakioneshwa Wana CCM wakimshambulia kada mmoja wa CHADEMA kwa kila aina ya silaha waliyoipata kwa wakati huo.

Hawa pia hawajutii kushambuliwa Lisu kwa risasi na Kesi kutokufunguliwa wala uchunguzi kutofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…