ikumbukwe pia chanzo mojawapo ya kesi ya mbowe ni huyo huyo Sabaya kwani ndiye alipanga njama zote za kumhujumu mbowe jimboni kwake kwa maelekezo ya magufuli,
Ni Sabaya aliwatuma Polisiccm kwenda kuwakamata walinzi wa mbowe ambao walikuwa ni wageni moshi baada ya kuwa amedukua mawasiliano ya mbowe akajua mbowe anapata Ulinzi mzuri huenda ikawa vigumu kumvamia Usiku na mda wowote bora awavuruge mapema , ndipo Sabaya akawatuma mahita Polisiccm kwenda kuwakamata kuwapiga kuwafunga pingu saa 24 kila siku kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi feki ambao haukuwepo kabsa, wakaona haitoshi wakadukua mawasiliano ya mbowe kujua nani alimpa walinzi wasitaafu wa jwtz, wakabaini kuna ndugu yake mbowe yupo jeshini anaitwa LT Urio na Asikari mwingine Moses Lejenje ndiyo walimsaidia kumpa walinzi ambao ni Asikari wasitaafu, wakatuma maombi jwtz kuwaleta Lt Urio na Lijenje moses kwa tuhuma feki za ugaidi kumsaidia mbowe kupata watu wa kufanya ugaidi, wakawatesa sana kwa kushirikiana na baadhi wawakilishi wa jwtz waliotumwa kuwaleta kwenye mikono ya Polisiccm, ukafanyika unyama mateso kuwalazimisha weseme ugaidi hewa hadi kupelekea umauti wa Moses Lilenje huku Lt Urio akiwa hajulikani alipo mpaka sasa, wamewatesa watu kwa Tuhuma feki ya kutengeneza kienyeji kwa njia haramu za kishetani ni Aibu kwa utawala uliopita na sasa