Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

Imetenda haki maana ushaidi umewekwa wazi.Hatakwa Mbowe akidhibitika watu watakubali
Kiswahili chako kibovu. Akithibitika siyo akidhibitika. Kudhibiti ni kuweka katika himaya. Kuthibitisha ni kuweka bayana.
 
Hao uliowataja wote hawana cheo chochote!

Vipi sasa mamako mbona kamkamata Mbowe?

Si utawala wa kidhalimu haupo?

Mama sio dhalimu bali anaiga tembo kunya. Hata utembee uchi bado lile dhalimu hutaweza kulitakatisha fullstop.
 
ikumbukwe pia chanzo mojawapo ya kesi ya mbowe ni huyo huyo Sabaya kwani ndiye alipanga njama zote za kumhujumu mbowe jimboni kwake kwa maelekezo ya magufuli,
Ni Sabaya aliwatuma Polisiccm kwenda kuwakamata walinzi wa mbowe ambao walikuwa ni wageni moshi baada ya kuwa amedukua mawasiliano ya mbowe akajua mbowe anapata Ulinzi mzuri huenda ikawa vigumu kumvamia Usiku na mda wowote bora awavuruge mapema , ndipo Sabaya akawatuma mahita Polisiccm kwenda kuwakamata kuwapiga kuwafunga pingu saa 24 kila siku kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi feki ambao haukuwepo kabsa, wakaona haitoshi wakadukua mawasiliano ya mbowe kujua nani alimpa walinzi wasitaafu wa jwtz, wakabaini kuna ndugu yake mbowe yupo jeshini anaitwa LT Urio na Asikari mwingine Moses Lejenje ndiyo walimsaidia kumpa walinzi ambao ni Asikari wasitaafu, wakatuma maombi jwtz kuwaleta Lt Urio na Lijenje moses kwa tuhuma feki za ugaidi kumsaidia mbowe kupata watu wa kufanya ugaidi, wakawatesa sana kwa kushirikiana na baadhi wawakilishi wa jwtz waliotumwa kuwaleta kwenye mikono ya Polisiccm, ukafanyika unyama mateso kuwalazimisha weseme ugaidi hewa hadi kupelekea umauti wa Moses Lilenje huku Lt Urio akiwa hajulikani alipo mpaka sasa, wamewatesa watu kwa Tuhuma feki ya kutengeneza kienyeji kwa njia haramu za kishetani ni Aibu kwa utawala uliopita na sasa
 
Iachiwe Mahakama ndio itatoa uamuzi,kelele za JF haziwezi kubadili kitu chochote.
 
Iachiwe Mahakama ndio itatoa uamuzi,kelele za JF haziwezi kubadili kitu chochote.
JF walikuambia wanapingana na mahakama? au umeamua kujiandikia tu ili mradi na wewe uonekane umeandika kitu?
 
JF walikuambia wanapingana na mahakama? au umeamua kujiandikia tu ili mradi na wewe uonekane umeandika kitu?
We Binti kuna sehemu nimesema jf inapingana na Mahakama? Punguza kimbelembele.
 
Unyama unyanyasaji wa Sabaya kwa Raia ulikuwa wazi lakini kesi ya ugaidi ya mbowe haina uthibitisho ni kesi haramu iliyotengenezwa kishetani
 
Unyama unyanyasaji wa Sabaya kwa Raia ulikuwa wazi lakini kesi ya ugaidi ya mbowe haina uthibitisho ni kesi haramu iliyotengenezwa kishetani
Peleka ushahidi wako Mahakamani acha kukata kiuno hapa.
 
Wewe mwali endelea kuvuta Bangi kwanza maana inaelekea unajiandikia andikia hovyo hovyo hata ukipewa tafasiri unaanza ubishi wa gheto unaposhinda ukivuta Bangi
Kajifundishe kuandika Kiswahili fasaha kwanza,unaruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa.
 
Mahakama ipi? huko mahakama mnaruhusu watu kufika acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
Kama huiamini Mahakama mbona umekubali hukumu ya Sabaya? Kichwa chako kimejaa minyoo hujui hata unachokiandika,

Piga kimya ili usiendelee kuonekana kituko hapa boya wewe.
 
Kajifundishe kuandika Kiswahili fasaha kwanza,unaruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa.
Wewe mwenyewe mbumbumbu hujui chochote unawezaje kujua Kiswahili fasaha wakati una upungufu wa Akili ni kigezo gani umekutumia kujua kama unajua Kiswahili? Acha ujinga wako jikite kwenye mada acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Kupaa kimataifa ukiwa unamyea ndoo hakusaidii chochote kwa maslahi ya chadema.
Kutaka kutishia mbowe asihukumiwe kinyume na matarajio ya wana chadema kwa kutumia uhusiano wa kimataifa hakusaidii chochore kubadili ukweli.

Hii ni nchi huru na inapaswa kufuata sheria kulimgana na katiba yetu.
Kamwe kama taifa hatuwezi kuogopa kuchukua hatua kulinda usalama wa nchi, kwa kuogopa wale mabalozi wa EU waliojazwa ujinga na Lissu.

Sheria ni msumeno, kama unaweza kukata upande wa Sabaya iweje ishindwe kukataa kukata upande wa Mbowe?

Mnahangaika kuongelea mambo yaliyoko mahakamani kinyume na sheria na katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…