Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

Wewe umejua vipi kuwa kesi ya mbowe sio kweli wakati ipo mahakamani...
ngoja anyeshewe mvua ya miaka 60 jela kama yule sabaya
 
Huyo uliyemtaja kwamba anahujumiwa, kwann yy hawez kutenganisha pumba na mchele?
 
Hata mama wa kambo afanye nini na kuzuia nini, ukweli ni kuwa mama wa kambo sio dhalimu fullstop.
Kwani nimebisha?

Si unaona tunavyoenda vizuri?

Nchi iko kwenye mstari! Anaebisha bisha ni ibilisi

Na shangaa hata wale wakimbizi kule ubelgiji kwanini hawarudi wakati dhalimu kafa?
 
Hakuna Kesi hapo ...ni ushamba wa Siasa na kupotezeana muda tu..
 
Hakuna Kesi hapo ...ni ushamba wa Siasa na kupotezeana muda tu..
 
Kwani nimebisha?

Si unaona tunavyoenda vizuri?

Nchi iko kwenye mstari! Anaebisha bisha ni ibilisi

Na shangaa hata wale wakimbizi kule ubelgiji kwanini hawarudi wakati dhalimu kafa?

Nchi hii inakwenda kawaida kuliko kipindi cha yule mpika data muovu.
 
Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.
Tatizo unatoa vitisho na hukumu kabla
Acheni kina kibatala wapambane kwanza,vitisho na kulia lia mitandaoni havitasaidia
Mbowe akipaishwa kimataifa itasaidia nini,wakati kura zinapigwa Tanzania?
Hujiulizi mama kamuajiri Tony Blair kwa ajili gani?
 
Kazi ya kupaka rangi upepo siku zote ni ngumu na haina tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…