Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Huwa simuelewi mtu anaesema kuwa hawezi kuacha kitu fulani..

Addiction yeyote ni kujiendekeza.

Na ukishakiri huwezi kuacha na hutaacha.

Adjust ur mindset kuwa utaacha na ustick to it.
 
Down in the human heart.... Touched by a loving arm.... Chords that are broken... Will vibrate once again...!!!
Hii hali huwatokea wengi wa jinsia zote, baada ya kubaki single kwa sababu zozote zile na kukosa mbadala anayefanana na penzi la awali
Jitahidi kuepuka hiyo hali japo ni ngumu sana bado maisha yanakuhitaji... Mwombe Mungu akupe mwenza haraka hiyo hali itaisha
Uko katika msongo wa mawazo unahitaji sexual satisfaction lakini hupati mtu sahihi kwahiyo unajiliwaza na porns... Wengine ni pombe wengine usagaji wengine punyeto wengine madawa nknk
 
Siku ukiacha kuangalia, utajikuta unatafuta anayefanana na wa kwenye movie. Sasa hapo utazalisha tabia nyingine tata sana. Sababu utajivisha ualisia kama kwenye porn movies na utasahau kwamba zile ni action scene moja yaweza rekodiwa wiki na wanaunganisha vipande tuu ili wapate good quality with stamina.

Kwa huo umri wewe sio binti ni mmama, sasa kamata mtu akuliwaze maisha yasonge, punguza kuchagua saaaaaaaana na sasa unajiongezea kigezo kingine bila kujijua cha awe na uwezo wa kufanya ngono kama kwenye movie, hiyo kitu haifutuki kirahisi, utaacha kuangalia but yale matukio yataendelea kuwepo na utataka mtu wako naye awe vile, akiwa tofauti hatakuridhisha utaanza dharau na list itaongezeka zaidi na zaidi. Vish
 
kama kwa sasa huna basi tafuta mtu awe mbadala wa hizo porn
 
Hivi kuna chaputa ya wanawake?teh...
Dada hakuna solution ya tatizo lako zaidi ya kusali..punguza kuangalia taratibu taratibu huku ukisali...
Funga na kusali hakuna linaloshindikana,all the best
 
Unataka uxhauri maana kuacha huwezi endelea kujitusua mdada kwa raha zako
 
Shyeeeh! 4:47 AM naona ndo ulikuwa wajipa morning glory binti.

Hope yuzid device wozinti a gunzi.
 
Uko safe place huko hakuna ukimwi wala hakuna dukuduku "sijui mwezi huu nitaingia bleed"? Raha jipe mwenyewe ya nn kuanza kuwaza wanaume wanaotumia tumbo kufikiri?
 
Tuambie kwanza unapenda kucheki porn site gani
Phonerotica
Pornhub
Blazers
Sextubes
Ebony xxx
 

Uko controlled na evil spirits.. you need deliverance
 
Unataka kulalwa na vichaa na mateja sasa,utumwa wa ngono ptuu
 
Suluhisho lake liko hapa
 

Napenda hii, nami pia naamini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…