Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Acha kutumia smartphone na tumia nokia ya tochi kwa muda wa miezi mitatu hv. Na ukiweza huu mthn utakuwa umefaulu
 
Very simple, kama una TV uza, kama una smartphone nunua kitochi.
 
We ni km dada kwangu, khs ushauri aliokupa Hunyu na Mshana Jr nadhani ni muhimu sana sana sana. Ibada ndyo kla ktu
 
huyu nahisi hata dildo anajigongelea
 
Hakuna kitu kizuri kama dyudyu ya mwanaume,jaribu uone hautajuta maishani mwako
 
Ukishaangalia hizo porn movies unajisikiaje?
 
Vish tatzo umekosa kampan, namaanisha umekosa mtu wa kukufanya uwe busy. Light kama ungekuwa na mme au bf usingekuwa na mda wa kuangalia hayo mazimwi
 
Una tatizo la kisaikolojia, Upweke pia unachangia... Inabidi upate mtu akupe dozi ya kutosha...
 
Mkuu hizo site zako mbona changa bado
Ila i'm curious need 2know more changa kwa maana ya muda wa kuanzishwa au how often zinakuwa updated,ubora wa content,search functionality, au pop up za kuudhi majibu tafadhali.
 
My friend aliwahi kunishirikisha tena yeye alianza mdogo na hakutaka kuwa na boyfriend zaidi ni porn na baadae nyeto na kila akijitahidi kuacha anajikuta baada ya mda karudia lkn aliponishirikisha nikamwambia ajitahidi kuwa busy na kusali sana kila anapoona hilo liroho linamuijia asali na asipende kukaa peke yake ilimsaidia akaacha mpaka leo anashukuru!
 
kama wew ni christian/muslim au dni nyingineyo, nakupa shauri:- ule muda unaotumia kuangalia utumie kusoma vitabu vya din uwe unaomba toba na kujivua roho zilizokuvaa na pia utapata hofu ya Mungu kulingana na maonyo utakayoyakuta humo
 
Asante Sana Mr Mshana na wale wote walionipatia ushauri nitafanyia kazi.
 
Hivi kuna chaputa ya wanawake?teh...
Dada hakuna solution ya tatizo lako zaidi ya kusali..punguza kuangalia taratibu taratibu huku ukisali...
Funga na kusali hakuna linaloshindikana,all the best
Asnte Sana kwa ushauri
 
Unaangalia tu, au unaangalia na kujichua? Aina gani unazoangalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…