Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ningeshare experience yangu ila ngoja tuache tu😔 mkuu wapo wadada wenye pure heart na wasio na tabia ya vibomu hivoAmna hawapo mkuu, unaweza kudhani umempata lakini kumbe anakulia timing akupige vibom vya chapchap.
Ubaya zaidi ukiwa unamtatulia shida zake kwa wakati bado ni tatizo analeta mazoea na kufuja pesa.
Labda kwao wawe wanajiweza na anatimiziwa mahitaji huko kwao ama lah awe binti wa miaka 15 mpaka 17 hivi. 17+ wana matamanio mengi sanaDah ningeshare experience yangu ila ngoja tuache tu😔 mkuu wapo wadada wenye pure heart na wasio na tabia ya vibomu hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naimagine namna ulikuwa unajizuia kumpa jibu ambalo angejutia kukujia hapo kudai mali ya mwanaume wake wa nguvu ha ha ha ha haKuna mshkaji wangu alkua anaazima gari yangu kila anavoenda kwa demu wake
Kumbe kule anasema gari ni yake na mimi ndio ninaazima kwake.
Basi siku moja yule dada alikua ana emergency anahitaji gari, akamuazima jamaa (hamaa hakumpa majibu ya kueleweka)
Mdada akaja kwangu straight akasema amekuja kuchkua gari yao
Ilibidi nianze kucheka kwanza[emoji23][emoji23]
Sijui kwann nikiona comment yako tu moyo unalia Paaaah halafu shoti mwili mzima. Kuna nini?! [emoji91]
Jaman 😃😃 mie sijui wewe ndio utakua na majibuSijui kwann nikiona comment yako tu moyo unalia Paaaah halafu shoti mwili mzima. Kuna nini?! [emoji91]
Nyie bila kudanganywa hamtoe mbususu.Watu hawajuagi tu, wanaambizana mwanamke bila kumdanganya humpati asa yote hayo ya nini unamdanganya mtu una hela kumbe mwenzangu na mie mwisho wa siku uje kuumbuka. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. Na ukiona umemuambia ukwel mwanamke kachomoa ujue kabisa sio fungu lako usilazimishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi. Lkn kwa mwanaume anaetaka mahusiano serious bora awe mkweli vinginevyo atapoteza uaminifu na penzi kuota mbawa. Mwanamke anaekubaliana nawe hata kama mambo hayaeleweki huyo mnaweza kwenda sawa kinyume chake jiandae mabalaa.Hii shida hapa ni nyie akina dada ndio mnaanzisha wala sio sisi wanaume.
Sababu kuu ya wanaume kuwa na uongo mwingi katika kutongoza ni matokeo ya wanawake kuweka standards ambazo kwa wastani ni ngumu sana mwanaume kuzifikia katika mazingira au muda ule wa awali wa ujana.
Katika jamii yetu vitu kama nyumba, gari, mshahara mzuri au kipato kizuri, etc ni vitu ambavyo kwa wastani kuvipata basi mwanaume huwa ni katika age fulani hivi ya kuanzia 30+ ni nadra sana chini ya hapo.
Maisha ya kuiga uzungu yana gharama sana. Leo umwite binti wa kisasa ambaye yupo kwenye Prime age ya chini ya miaka 25 kuwa aje ukiwa unaishi huko uswazi vyumba vya 15,000/= lazima atakutoa dosari.
Au udate na binti halafu umpandishe daladala lazima akujudge vibaya tena habari zisifike kwa ile kamati ya marafiki zake wanaofanya screening ya nani awe ndie shemeji yao wafaidi pia mitoko ya jumla.
Kimsingi wanaume kuwa waongo ni reflection ya tabia ya wanawake wa kisasa kuwa na standards ambazo kiuhalisia ni ngumu kuzipata kwa mtoto wa kiume ambaye anatoka life ya kawaida na bado anatafuta hajafanikiwa.
Mama zetu walikuwa wanakubali kuanza kulala sakafuni na wazee wetu hawakuwa na hizi standards za kisasa za mabinti.
Na mbona tukienda vijijini huko unakuta binti mzuri ila ameolewa na fala lofa m'moja yaani hadi unatamani kuingilia maana unasema huyu binti ni bonge la kisu ningekuwa nae mjini kwanza ni bonge la bakora kwa X wangu. Sababu ni wale mabinti hawanaga vigezo hivi artificial vya wadada wa mjini.
😂😂 Upo sahihi ila sio kwa wote. Binafsi napenda mwanaume aniambie kweli hata kama ni mchungu niamue naingia ama vipi.Nyie bila kudanganywa hamtoe mbususu.
Shetani mwenyewe ilibidi awadanganye sembuse sie wanaume.
Share baai hiyo experience au ndio jamaa aliishia kumega alafu anakwambia u r way above my leagueDah ningeshare experience yangu ila ngoja tuache tu😔 mkuu wapo wadada wenye pure heart na wasio na tabia ya vibomu hivo
Hutaingia ndio shida ipo hapo na kidume anataka akuvue chupi lazima adanganye tuu.😂😂 Upo sahihi ila sio kwa wote. Binafsi napenda mwanaume aniambie kweli hata kama ni mchungu niamue naingia ama vipi.
Sitaki endelea kuguess tu😀😀Share baai hiyo experience au ndio jamaa aliishia kumega alafu anakwambia u r way above my league
Jamani sio vizuri hivyo ujue. Basi niambie pm kuleSitaki endelea kuguess tu😀😀
Hao sio Wanawake wa karne hii. Hawa wa siku hizi wanataka kila kitu kiwe tayari tayari...Ndio maana wanashindana mpaka kutafuta Mboo kubwa...Huwa muda wa kutafuta pesa pamoja wataupata wapi?Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
Thubutuuu😀😀Jamani sio vizuri hivyo ujue. Basi niambie pm kule
Utumie uongo ukisha kula mzigo unamwambia ukweliWatu hawajuagi tu, wanaambizana mwanamke bila kumdanganya humpati asa yote hayo ya nini unamdanganya mtu una hela kumbe mwenzangu na mie mwisho wa siku uje kuumbuka. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. Na ukiona umemuambia ukwel mwanamke kachomoa ujue kabisa sio fungu lako usilazimishe.
Sent using Jamii Forums mobile app