Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

😂
Hapo mzani una balance
Unakuta picha za mtandaoni zimeeditiwa na zina filter. Nywele ni wigi, kope ni za bandia, hapo kapaka yale madongo dongo wanayaita faundesheni na mekapu, hapo anapaka vipodozi na malotion ya kujaza kirikuu, tumbo kalibana na mkanda ili aoekane ana flat tummy, ili aonekane ana tako kubwa na wengine wanavaa vigodoro, wengine wanakunywa dawa kuboost shape, wengine wanaenda uturuki kuweka shepu bandia. Yaani kiufupi ni uongouongo tu 😂

😆😆😆😆

Wanawake ni waongo zaidi inapokuja ishu ya kutongozana
 
😆😆😆😆

Wanawake ni waongo zaidi inapokuja ishu ya kutongozana
😂😂😂
Wengine wanajifanya ni wasichana wa matawi ya juu kweli kweli wakati kwao shida tupu.
Wengine wanajifanya watu wa dini kwelikweli. Kumbe wanadanga kimyakimya kwa usiri wa hali ya juu.
Wengine wanajifanya mabikra wa mchongo halafu wana masharti " no sex, until marriage"

Ni uongo uongo tu. 😂😂😂
 
Kwamazingira hya ya sasa UKWELI unagharimu mnoo, watu awapendi ukweli, ukweli umewaachisha kazi, ukweli umewatenga na ndugu na jamaa, ukweli umewafaya waishi maisha duni,,,, kwama tukikubaliana na ukweli basi wengi watapona...
nota bene UKWELI UNAKUWEKA HURU
 
Watu hawajuagi tu, wanaambizana mwanamke bila kumdanganya humpati asa yote hayo ya nini unamdanganya mtu una hela kumbe mwenzangu na mie mwisho wa siku uje kuumbuka. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. Na ukiona umemuambia ukwel mwanamke kachomoa ujue kabisa sio fungu lako usilazimishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hivu ukiwa mkweli huwezi kupata zile top layer, uongo unasaidia sana, ukashapata unachokitaka ata akijua atajiju
 
Wanawake hawatabiliki,

Kuna jamaa mmoja alijifanya ni mfanya usafi wa bungeni while ni mbunge, akawa anadate na mdada mmoja wa nmb ya pale Bunge

Siku Yule dem amekuja kujua jamaa sio mfanya usafi ila ni Mbunge alimpiga chini tena mbele za watu
Akili zao fupi ngoja tuendelee kuwadanganya BIla kudanganywa hutawahi onja mbususu.
 
😂😂😂
Wengine wanajifanya ni wasichana wa matawi ya juu kweli kweli wakati kwao shida tupu.
Wengine wanajifanya watu wa dini kwelikweli. Kumbe wanadanga kimyakimya kwa usiri wa hali ya juu.
Wengine wanajifanya mabikra wa mchongo halafu wana masharti " no sex, until marriage"

Ni uongo uongo tu. 😂😂😂
Kibao kimegeuka 😃😃
 
Uongo ndo umeweka ndoa yangu kwenye mapito mabaya
Kipindi bado na mtongoza mke wangu nilimdanganya mambo mengi ambayo nilikuwa sina nikadanganya ninayo tulivyo kuja kuoana mke wangu alijua ukweli
Kila siku ni vurugo dah [emoji24][emoji24][emoji24]
Pole chief...
 
Ndo maana huwa sitongozi, mi nakwambia ukweli tu hakuna mahusiano hapa ni tu tu tu tu tu tu
 
Kuna mambo ya mtu kuwa mkweli ila sio kumwambia mwanamke ukweli.

Ukweli sometimes put you in place of vulnerability , even get you killed. Ukweli wowote ule una affect the way mwanamke anafikiria kwa kiasi kikubwa sana.

Njia pekee ni kuongea uongo daima kutokana na mazingira husika. Na ndivyo wanawake wanapenda.
 
Kuna mshkaji wangu alkua anaazima gari yangu kila anavoenda kwa demu wake

Kumbe kule anasema gari ni yake na mimi ndio ninaazima kwake.

Basi siku moja yule dada alikua ana emergency anahitaji gari, akamuazima jamaa (hamaa hakumpa majibu ya kueleweka)

Mdada akaja kwangu straight akasema amekuja kuchkua gari yao

Ilibidi nianze kucheka kwanza[emoji23][emoji23]
😂😂😂
 
Uongo ndo umeweka ndoa yangu kwenye mapito mabaya
Kipindi bado na mtongoza mke wangu nilimdanganya mambo mengi ambayo nilikuwa sina nikadanganya ninayo tulivyo kuja kuoana mke wangu alijua ukweli
Kila siku ni vurugo dah [emoji24][emoji24][emoji24]

Kwa mazingira hayo, ungekuwa mkweli hata hiyo ndoa usingekuwa nayo.
 
Kuna mshkaji wangu alkua anaazima gari yangu kila anavoenda kwa demu wake

Kumbe kule anasema gari ni yake na mimi ndio ninaazima kwake.

Basi siku moja yule dada alikua ana emergency anahitaji gari, akamuazima jamaa (hamaa hakumpa majibu ya kueleweka)

Mdada akaja kwangu straight akasema amekuja kuchkua gari yao

Ilibidi nianze kucheka kwanza[emoji23][emoji23]
😂😂😂
Umenikumbusha stori ya dogo mmoja smart na anavaa vizuri sana. Alipataga kazi ya kuendesha gari la boss mmoja kama uber/bolt. Jamaa katika kazi zake za uber si akapata pisi moja kali sana nyeupeeee na bonge la tako. Jamaa akamdanganya pisi kuwa gari ni lake na binti akaamini. Sasa bosi mwenye gari huwa analitumiaga mara mojamoja hilo gari kuangalia hali ya gari na service. Sasa siku ambazo jamaa hana gari huwa anamdanganya demu kuwa gari lipo kwa fundi. Siku ya siku binti akamaindi akakuta mtu mwingine anaendesha gari huyo binti akamfokea sana kwamba "wewe fundi kwa nini unazurura na gari la mpenzi wangu?" 😂😂 Demu alimfokea huyo tajiri mno. Kumbe anafokewa bosi original anayemiliki gari. Na mshkaji alikuwa palepale 😂

Bosi mwenye gari alikasirika sana, dogo alifukuzwa kazi pale pale 😂😂😂. Na mahusiano yaliishia hapo hapo. Dogo karudi kwao anachunga mbuzi 😂😂
 
Back
Top Bottom