desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Na demu ukitumia ukweli utaishia kupiga nyetoUkweli unakuweka huru, bora mtu akupende kama ulivyo kuliko kudanganya na akagundua basi kila kitu atakua anakuona muongo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na demu ukitumia ukweli utaishia kupiga nyetoUkweli unakuweka huru, bora mtu akupende kama ulivyo kuliko kudanganya na akagundua basi kila kitu atakua anakuona muongo tu.
Watu hawajuagi tu, wanaambizana mwanamke bila kumdanganya humpati asa yote hayo ya nini unamdanganya mtu una hela kumbe mwenzangu na mie mwisho wa siku uje kuumbuka. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. Na ukiona umemuambia ukwel mwanamke kachomoa ujue kabisa sio fungu lako usilazimishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaodanganywa ni WA hit and run.
Lakini pia kupima Uvumilivu wa mwanamke unaweza kumwambia huna pesa ata kama unazo ukiona amekubali kukaa na wewe katika hali hiyo ujue umokota lulu mchangani.
Ni Bora ukadanganya huna alafu akakikuta kuliko unacho alafu asikikute.
Wale wa kupiga na kusepa sawa japo si tabia nzuri. Mwanaume anaetaka mahusiano ya kueleweka awe tu muwazi hamna haja ya kudanya mwanamke kama una malengo nae.Utumie uongo ukisha kula mzigo unamwambia ukweli
Tatizo hata tukiwaambia ukweli mnatuita waongo,inabidi tuishi humo humo!Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
[emoji2][emoji2][emoji2]Wanawake hawatabiliki,
Kuna jamaa mmoja alijifanya ni mfanya usafi wa bungeni while ni mbunge, akawa anadate na mdada mmoja wa nmb ya pale Bunge
Siku Yule dem amekuja kujua jamaa sio mfanya usafi ila ni Mbunge alimpiga chini tena mbele za watu
Ndio mana mnarogwaHutaingia ndio shida ipo hapo na kidume anataka akuvue chupi lazima adanganye tuu.
Wee akwambie bwana mie nataka kula mbususu tuu na kusepa utakubali?
Lazima tudanganyishie na vihela kwa kukujali na kuonyesha tunakupenda kumbe tunataka kula mbususu tukishaizoea tunatafuta nyingine
Hawapendi ukweli wanapenda kuambiwa uongo. Nakumbuka kuna binti miaka ya 2009 alikuwa ana date na jamaa ni dereva wa serikali. Jamaa ana ulambia na anakuja na yale maVX ya serikali kitaa anamchukua binti moja mbili tatu zinafanyika.Wanawake ukiwaambia ukweli hisia zote zinapote kwake kwasababu umemubia ukweli
True sana.Upo sahihi. Lkn kwa mwanaume anaetaka mahusiano serious bora awe mkweli vinginevyo atapoteza uaminifu na penzi kuota mbawa. Mwanamke anaekubaliana nawe hata kama mambo hayaeleweki huyo mnaweza kwenda sawa kinyume chake jiandae mabalaa.
Ukimwambia ukweli une mfukuzaHawapendi ukweli wanapenda kuambiwa uongo. Nakumbuka kuna binti miaka ya 2009 alikuwa ana date na jamaa ni dereva wa serikali. Jamaa ana ulambia na anakuja na yale maVX ya serikali kitaa anamchukua binti moja mbili tatu zinafanyika.
Yule binti alikaa muda mrefu kwenye mahusiano bubu na yule jamaa hadi watu wakawa wanaanza kumwambia kwamba mbona mahusiano yao ni kama yeye anatumika tu kwanini muda unaenda jamaa hafanyi utaratibu wa kumuoa.
Binti haelewi kisa jamaa anamuigizia umaridadi na magari ya serikali na tuhela twa chipsi. Jamaa miaka ya 2018 alikuja simamishwa kazi maswala ya vyeti bandia. Na ndipo hapo balaa likaanza. Maana alihama mkoa kabisa katika kutafuta mishe.
Alipata mtoto na yule binti na sasa binti yupo tu ana mishe za kuuza uuza kila kinachouzika mara mikoba,mara karanga za mayai,mara cover za simu,mara mashuka na anaishi kwao. Hali sio nzuri.
True sana.
Ukiwa mkweli kwa mwanamke utaishia kupiga puli.
Yaani kiufupi bila uongo haumpati mwanamke yawe mahusiano ya hit and run au mahusiano serious. Kotekote lazima uongo utumike. 😂😂😂
Wanawake wanapenda kudanganywa maana wao uongo wanauamini na kuubali kuliko ukweliWakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa.
Lakini haina maana ndo ukalie njia hiyo hiyo miaka yote. Ni muhimu ujifunze kumvutia na kumtunza mwanamke kwa mfumo unaosema ukweli na unaomfanya mwanamke akutake zaidi ye mwenyewe.
Hizi ni baadhi ya sababu kwanini usitegemee mfumo wa kudanganya kwenye kumvutia mwanamke.
Ni mfumo dhaifu.
Ni njia rahisi na ya haraka kumpata mwanamke. Lakini haina misingi mizuri.
Haina matokeo kwa muda mrefu. Hata maneno yako yanakua hayatoki moyoni.
Utapata urahisi kwa wanawake wasio na uzoefu wa wanaume, ila wale wenye uzoefu wataona uongo wako. Ni heri ujifunze kumvutia mwanamke bila kumdanganya kuliko kudanganya na kutumia muda mwingi kukumbuka uongo/ kukwepa uongo.
Utajisikia ushindi zaidi kwa kumpata mwanamke bila kumdanganya. Na utapa kujiamini zaidi.
Inaharibu mahusiano ya muda mrefu
Kwa mapenzi ya haraka haraka uongo utakusaidia. Lakini mahusiano ya muda mrefu atagundua tu ulipodanganya.
Ataona maisha yenu yote mliyoishi ni uongo. Na hatakua na haja ya kuendelea kuishi kwenye uongo. Na itakua ngumu kuweka mipango naye ya maisha. Hivyo, kama unataka mahusiano ya muda mrefu jiepushe na uongo.
Uongo unazaa uongo
Shida kubwa ya uongo ni kuutunza.
Ukisema uongo mmoja, inabidi uufiche na uongo mwingine mara mbili. Na uongo uongo marambili inabidi uufiche na uongo mara tatu. Mwisho wa siku unajikuta umejaa uongo.
Kitu kitakachozuia kujenga mahusiano imara kwa muda mrefu. Uongo pia unazaa na kuchochea tabia zingine zisizofaa.
Utavutia waongo wenzako
Ndege wafananao huruka pamoja.
Utajikuta kila mwanamke unayekua naye anakudanganya danganya tu. Kitu kitakachokufanya uamini zaidi kwenye uongo. Na kurudia mzunguko huo huo kwa kila mwanamke unayekua naye.
Cha msingi ni kujiepusha na uongo usio na maana. Na ili kuepuka uongo kirahisi, usijiweke kwenye mazingira yatakaokufanya useme uongo baadaye. Yaani jiepushe na vyanzo vya uongo.
Na hata ukitumia uongo, usiutumie sana kiasi kwamba ukashindwa kujitetea.
Share na Wengine Wapate Kujifunza.
🤣😂 ukamfichia aibu ?Kuna mshkaji wangu alkua anaazima gari yangu kila anavoenda kwa demu wake
Kumbe kule anasema gari ni yake na mimi ndio ninaazima kwake.
Basi siku moja yule dada alikua ana emergency anahitaji gari, akamuazima jamaa (hamaa hakumpa majibu ya kueleweka)
Mdada akaja kwangu straight akasema amekuja kuchkua gari yao
Ilibidi nianze kucheka kwanza[emoji23][emoji23]
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia kamanda wa kikosi cha ardhini,bila uongo,wewe na sabuni mtakua kama ulimi na mate😅😅😅Ukiwa mkweli kwa mwanamke utaishia kupiga puli.
Yaani kiufupi bila uongo haumpati mwanamke yawe mahusiano ya hit and run au mahusiano serious. Kotekote lazima uongo utumike. 😂😂😂
😂Na kuna kitu wanaume wengi hatujui
Wakati wa kutongoza wanawake ndio wanakuwa waongo zaidi,
Wanafake kila kitu,
Kula, kuongea everything ni fake,
Akipokea simu anakwambia sorry napokea simu ha ha ha fake fake
Sawatuu cha msingi mbususu tumekulaNdio mana mnarogwa
Mimi uongo wangu huwa niwakuniweke Chini yani na Lay low sana kwa Ladies kiasi kwamba Muonekano unakataa na Mwanamke atakuwa curious na Mimi zaidi na Mzigo ntakula easy tuUkweli unakuweka huru, bora mtu akupende kama ulivyo kuliko kudanganya na akagundua basi kila kitu atakua anakuona muongo tu.