Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengine wanajifanya ni wasichana wa matawi ya juu kweli kweli wakati kwao shida tupu.
Wengine wanajifanya watu wa dini kwelikweli. Kumbe wanadanga kimyakimya kwa usiri wa hali ya juu.
Wengine wanajifanya mabikra wa mchongo halafu wana masharti " no sex, until marriage"

Ni uongo uongo tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bwana wee tena wao waongo kuliko sie. Utasikia mie siwezi date na mwanaume zaidi ya mmoja at once...nyoooo wanatupanga kinoma hawa shezy type!
 
Yaani ni uongouongo tu.

Ogopa sana binti hana kazi yoyote ila ana vitu vya gharama. Una kuta ana original latest iPhone ya 3m+. Yaani huyo lazima awe mdangaji halafu muongomuongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
Kwa wanawake waki Bongo ataweza kuvumilia maneno kutoka kwa rafiki zake ? Akiwaona wana maisha mazuri kupitia wapenzi wao.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ni uongouongo tu.

Ogopa sana binti hana kazi yoyote ila ana vitu vya gharama. Una kuta ana original latest iPhone ya 3m+. Yaani huyo lazima awe mdangaji halafu muongomuongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa ni kuwadanganya tuu shetani mwenyewe alimwingia hawa kwa style ya uwongo.
 
Uongo ndo umeweka ndoa yangu kwenye mapito mabaya
Kipindi bado na mtongoza mke wangu nilimdanganya mambo mengi ambayo nilikuwa sina nikadanganya ninayo tulivyo kuja kuoana mke wangu alijua ukweli
Kila siku ni vurugo dah [emoji24][emoji24][emoji24]
Hana upendo huyo sasa alifata ivyo vitu wa wewe
 
Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
Nyookooo. Msilete ujinga wenu hapa eti mwanamke akakuoenda huna hela. Kila leo mnatufurumusha pm huko kwa vibomu vyenu🀣🀣🀣🀣
 
Na kuna kitu wanaume wengi hatujui

Wakati wa kutongoza wanawake ndio wanakuwa waongo zaidi,

Wanafake kila kitu,

Kula, kuongea everything ni fake,

Akipokea simu anakwambia sorry napokea simu ha ha ha fake fake
Eti hawezi maliza chips yai
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha stori ya dogo mmoja smart na anavaa vizuri sana. Alipataga kazi ya kuendesha gari la boss mmoja kama uber/bolt. Jamaa katika kazi zake za uber si akapata pisi moja kali sana nyeupeeee na bonge la tako. Jamaa akamdanganya pisi kuwa gari ni lake na binti akaamini. Sasa bosi mwenye gari huwa analitumiaga mara mojamoja hilo gari kuangalia hali ya gari na service. Sasa siku ambazo jamaa hana gari huwa anamdanganya demu kuwa gari lipo kwa fundi. Siku ya siku binti akamaindi akakuta mtu mwingine anaendesha gari huyo binti akamfokea sana kwamba "wewe fundi kwa nini unazurura na gari la mpenzi wangu?" [emoji23][emoji23] Demu alimfokea huyo tajiri mno. Kumbe anafokewa bosi original anayemiliki gari. Na mshkaji alikuwa palepale [emoji23]

Bosi mwenye gari alikasirika sana, dogo alifukuzwa kazi pale pale [emoji23][emoji23][emoji23]. Na mahusiano yaliishia hapo hapo. Dogo karudi kwao anachunga mbuzi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai boss akifukuze kazi kisa demu
 
Chai boss akifukuze kazi kisa demu
Dogo yupo anachunga mbuzi. Mengine siwezi kuelezea kwa kina. Unaweza kuta bosi mwenye gari yupo humu jf ikawa msala zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚. Maana bosi mwenye gari alifokewa mno na ile pisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Back
Top Bottom