Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

Amna hawapo mkuu, unaweza kudhani umempata lakini kumbe anakulia timing akupige vibom vya chapchap.

Ubaya zaidi ukiwa unamtatulia shida zake kwa wakati bado ni tatizo analeta mazoea na kufuja pesa.
Dah ningeshare experience yangu ila ngoja tuache tuπŸ˜” mkuu wapo wadada wenye pure heart na wasio na tabia ya vibomu hivo
 
Wanaodanganywa ni WA hit and run.
Lakini pia kupima Uvumilivu wa mwanamke unaweza kumwambia huna pesa ata kama unazo ukiona amekubali kukaa na wewe katika hali hiyo ujue umokota lulu mchangani.

Ni Bora ukadanganya huna alafu akakikuta kuliko unacho alafu asikikute.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naimagine namna ulikuwa unajizuia kumpa jibu ambalo angejutia kukujia hapo kudai mali ya mwanaume wake wa nguvu ha ha ha ha ha
 
Hii shida hapa ni nyie akina dada ndio mnaanzisha wala sio sisi wanaume.

Sababu kuu ya wanaume kuwa na uongo mwingi katika kutongoza ni matokeo ya wanawake kuweka standards ambazo kwa wastani ni ngumu sana mwanaume kuzifikia katika mazingira au muda ule wa awali wa ujana.

Katika jamii yetu vitu kama nyumba, gari, mshahara mzuri au kipato kizuri, etc ni vitu ambavyo kwa wastani kuvipata basi mwanaume huwa ni katika age fulani hivi ya kuanzia 30+ ni nadra sana chini ya hapo.

Maisha ya kuiga uzungu yana gharama sana. Leo umwite binti wa kisasa ambaye yupo kwenye Prime age ya chini ya miaka 25 kuwa aje ukiwa unaishi huko uswazi vyumba vya 15,000/= lazima atakutoa dosari.

Au udate na binti halafu umpandishe daladala lazima akujudge vibaya tena habari zisifike kwa ile kamati ya marafiki zake wanaofanya screening ya nani awe ndie shemeji yao wafaidi pia mitoko ya jumla.

Kimsingi wanaume kuwa waongo ni reflection ya tabia ya wanawake wa kisasa kuwa na standards ambazo kiuhalisia ni ngumu kuzipata kwa mtoto wa kiume ambaye anatoka life ya kawaida na bado anatafuta hajafanikiwa.

Mama zetu walikuwa wanakubali kuanza kulala sakafuni na wazee wetu hawakuwa na hizi standards za kisasa za mabinti.

Na mbona tukienda vijijini huko unakuta binti mzuri ila ameolewa na fala lofa m'moja yaani hadi unatamani kuingilia maana unasema huyu binti ni bonge la kisu ningekuwa nae mjini kwanza ni bonge la bakora kwa X wangu. Sababu ni wale mabinti hawanaga vigezo hivi artificial vya wadada wa mjini.
 
Nyie bila kudanganywa hamtoe mbususu.
Shetani mwenyewe ilibidi awadanganye sembuse sie wanaume.
 
Upo sahihi. Lkn kwa mwanaume anaetaka mahusiano serious bora awe mkweli vinginevyo atapoteza uaminifu na penzi kuota mbawa. Mwanamke anaekubaliana nawe hata kama mambo hayaeleweki huyo mnaweza kwenda sawa kinyume chake jiandae mabalaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Upo sahihi ila sio kwa wote. Binafsi napenda mwanaume aniambie kweli hata kama ni mchungu niamue naingia ama vipi.
Hutaingia ndio shida ipo hapo na kidume anataka akuvue chupi lazima adanganye tuu.
Wee akwambie bwana mie nataka kula mbususu tuu na kusepa utakubali?
Lazima tudanganyishie na vihela kwa kukujali na kuonyesha tunakupenda kumbe tunataka kula mbususu tukishaizoea tunatafuta nyingine
 
Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
Hao sio Wanawake wa karne hii. Hawa wa siku hizi wanataka kila kitu kiwe tayari tayari...Ndio maana wanashindana mpaka kutafuta Mboo kubwa...Huwa muda wa kutafuta pesa pamoja wataupata wapi?
 
Utumie uongo ukisha kula mzigo unamwambia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…