Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

hakuna mwanamke anaependa mwanaume mkweli , amini na waambieni wanaume wenzangu..

Kama unataka mwanamke akuelewe sana wewe changanya changanya ukweli na uongo uongo.. ila usifake maisha.

sasa jifanyeni ni wa kweli mtakuja kulia kilio cha uchungu mkali sana. shauri yenu
 
Upo sahihi kbsa mkuu,sema watu ckuiz hawataki kushindwa[emoji23]
 
Hii Ngumu Nyeusi..
 
[emoji23][emoji23] vijana wanapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bila uongo huwezi wapata unless uwe na maisha, au cheo
 
Why not mkuu, mdada akipenda anapenda kweli, maisha yanatafutwa hata hao wenye maisha mazuri walitafuta so ni suala la muda tu

Hiki uliichoongea ni Sawa na Yule dada ambae anaongea biashara ya watermelon ambavyo inalipa haha haha

Ingia kwenye fld sasa ndio utajua ujui
 
Japo mimi si mmoja wao😜 ila naamini na nna rafiki zangu wamependana na kuanzia chini pamoja
You are one of them..😂😂...usijitenge

Kama rafikk zako wapo hivyo na wewe utakuwa miongoni mwao...ndege mnaofanana mnaruka pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…