Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Changa vizuri karata zako utalamba garasa, nilipofika hapo kiwango cha elim ukasema angalau diploma kwa zama hizi ina mana hii certificate yangu nikafungie chapat hainaaana?
Wewe wa certificate utaungana na pisi kali zisizo na elimu kama wewe ni pisi kali na unajielewa, kama hujielewi hiyi certificate kafungie hata mihogo inatosha[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Eeeh kama wapemba, unaenda kazini pisi kali inakupikia nyumbani ukirudi ni mizagamuo tu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
100% agreed [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kuna msanii aliimba, "i can make a broke b*tch rich but i don f*ck broke bitches" Halafu mwenzie anakazia, " When a rich nigga wants you and your nigga can't do nothing for ya". Umeongea point sana, acha wa mbagala waoane wao kwa wao ukitoka masaki ukaoe mbagala utaachwa umelala mwezio anaenda baikoko. Yaani mwanamke ambae hana shule ni ukidumu nae basi una kiwanja mbinguni moja kwa moja wanakuwaga na akili za akili za kukua wao tu.
 
Bro usiufananishe utu na elimu unakosea Sana, hakuna uhusiano wowote Kati ya utu na elimu, laiti ingelikuwa elimu ni utu Leo hii tusingeona manyuklia na masilaha mazito mazito yanatengenezwa kwa ajili ya kuulia watu, hiyo elimu imetusaidia nini kama tunaona mauwaji ndio suluhisho, bro nikuambie kitu, kama umechoka bora kapumzike na upate usingizi wa kutosha ukiamka utanishkuru baadae, kama huelewi basi kuanzia Leo jua tu elimu kwa kiasi kikubwa imetunyanganya utu Wetu, tumekuwa wabinafsi kishenzi kwa sababu ya elimu, kitendo cha kuwaona wasiosoma hawafai kuwa wake wazuri tayari ni ubaguzi huelewi tu
 
Mnaonaga wanawake ni viumbe dhaifu sana eti !?? .... Kwa kuishi kwangu Local Government miaka 15... Wanawake ni viumbe strong... Wana mapungufu lakini Sio kama yetu wanaume .....
Unawazungumzia wanawake wapi, wenye elimu au wasio na elimu?
 

😂😂😂

Hata unavyoandika inaonyesha jinsi ulivyo. Sipatii picha ukirudi kutoka kazini unaporudi hapo nyumbani jinsi unavyoishi na huyo Golikipa wako asiye na elimu yoyote.

Unaogopa wanawake strong Kwa sababu wewe ni mwanaume dhaifu uliyezoeay kuishi na tegemezi/maskini na ombaomba wanaoomba mpaka Pesa za Pedi.
Au mpaka wafiche vipesa unavyompa vya matumizi 😂😂


Mimi ni Weak Male ambaye nitaoa mke anayeweza kuongoza Ukoo wenu wote
 

Silaha ni kwaajili ya kujilinda.

Bila elimu Mwanadamu anautu gani?
Bila elimu Watu wangekuwa wanatembea uchi hapa, wangekuwa wanakunya nje, wangekuwa wanakula vitu vichafu, bila elimu utu wa mtu uko wapi?
 

Alafu wanawake wasio na elimu na wasio nakazi kuwadharau na kuwanyanyasa ndio wanaona kuwa ni mke Bora.
Yaani mwanaume hata afanye mabaya wao kwa vile ni magendaeka hawajui nini chakufanya wanavumilia mateso tuu
 
Tuanzie hapa , mama yako mzazi ana elimu gani? Shangazi zako Wana elimu gani?Mama zako wadogo /wakubwa Wana elimu gani?
 
Unawazungumzia wanawake wapi, wenye elimu au wasio na elimu?
Zingatia Local Government.... Nipo vijijini na hao viumbe miaka 15 madhira na malalamiko wanayopitia na tatuzi tulizo chukua nyie .... Acheni mfumo dume...mi mtu wa Mara najua tunavyowachulia wanawake awe msomi ama laa .... Ukiachiwa maisha Yale waliyopitia niliowaona aaah weee.... Sio poa wapeni Maua yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…