DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni shahadaMama yako phd, masters, bachelor, Diploma,certificate,basic certificate?
Advance secondary school, ordinary level, primary school au elementary school?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shahadaMama yako phd, masters, bachelor, Diploma,certificate,basic certificate?
Advance secondary school, ordinary level, primary school au elementary school?
amna hawatakukaidi watatafuta wasomi mambo mengi muda wa kusomeshana hamna
Nashauri Waziri wa kilimo na Afya na wataalamu wao wakutane wakubaliane Utaratibu wa kunya vichakani urudishwe kurudisha rutuba ya Ardhi kupunguza gharama za kuagiza mbolea nje ya nchi Kwa pesa za kigeni na kuwa si sahihi kunya ndani ya nyumba Kwa kisingizio Cha self containedBila elimu mwanadamu anakuwaje anautu?
Kabla ya elimu kuja Watu walikuwa wanakunya vichakani na mambo mengine ya kinyama yalitamalki.
Mtibeli madini yamepungua siku hizi ana mipasho sana.naungana na ww mkuu
Mbona hata kidato cha nne ni elimu kubwa tu na wanamudu mazingira yao vyedi na wengine ni wafanyabiashara wazuri na sio magolikipa.Kwa karne hii kuoa mke asiye na elimu nako ni kupitwa na wakati.
Yaani shule zilivvyozagaa, vyuo vilivyotapakaa alafu binti ninayemuoa asiwe na elimu hata ya kadiploma. Big noo!
kabisa yaani sio yule wa mwaka 2022 alikua na madini hatariMtibeli madini yamepungua siku hizi ana mipasho sana.
Labda ingelikuwa busara tuanze kujadiliana kuhusu utu ni nini ndio tungeelewana vizuri maana unayoyasema wewe kwangu mimi naona hayahusiani kabisa, kama kutembea uchi au kuvaa nguo ina uhusiano na utu basi ustaarabu usingekuwepo ndugu.Silaha ni kwaajili ya kujilinda.
Bila elimu Mwanadamu anautu gani?
Bila elimu Watu wangekuwa wanatembea uchi hapa, wangekuwa wanakunya nje, wangekuwa wanakula vitu vichafu, bila elimu utu wa mtu uko wapi?
Mkuu kuna wanawake wanaelimu kubwa kukushinda wewe na hata iweje huwezi kuwafikia lakini wapo kwenye mahusiano mabovu na wanapelekeshwa kuliko hao wajinga uwasemao wewe, dunia ni pana hii tusijifungie kwenye boksiAlafu wanawake wasio na elimu na wasio nakazi kuwadharau na kuwanyanyasa ndio wanaona kuwa ni mke Bora.
Yaani mwanaume hata afanye mabaya wao kwa vile ni magendaeka hawajui nini chakufanya wanavumilia mateso tuu
Mimi local government najua local government tax administration tu ndio niliyosomea hayo mengine mimi siyajuiZingatia Local Government.... Nipo vijijini na hao viumbe miaka 15 madhira na malalamiko wanayopitia na tatuzi tulizo chukua nyie .... Acheni mfumo dume...mi mtu wa Mara najua tunavyowachulia wanawake awe msomi ama laa .... Ukiachiwa maisha Yale waliyopitia niliowaona aaah weee.... Sio poa wapeni Maua yao...
Mkuu umeuliza kama mimi huyu mtu sijui wa wapi aisee yuko nyuma sana kuwaelewa wanawake, labda ujana wake hakuwa karibu nao kuweza kuwasoma,Elimu ni nini?
Embu tuanzie hapo kujadili ili tukubaliane,
Kujistili na maswala ya choo ni ustaharabu,
Je, kipi lilianza kati ya elimu na ustaharabu?
Utu ni nini?
Nini tofauti ya utu na ustaharabu?
Bila elimu, utu na ustaharabu hakuna?
Tukubaliane elimu hii ni ya kiwango kipi?
Maana elimu ni Pana sana.
Mwanamke Msomi ni nani?
Na usomi wake unatakiwa uanzie hatua gani?
Mada yako na ngeleta maana kama ingejikita kwenye maadili hasa.MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.
Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.
Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.
Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;
1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!
Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.
Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.
Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.
Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.
Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?
2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?
Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.
Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.
Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.
Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.
Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.
Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.
3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.
Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.
Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.
Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.
4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.
Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.
Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.
Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.
Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.
Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.
Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!
Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.
Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.
Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kusoma Kuna mfanya vipi mwanamke awe mgumu kutongozwa ?1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!
Nakazia hapa.Unaweza kuwa na hoja. Lakini mbona mama zetu wengi humu elimu zao ndio hivyo tena lakini tumefika tulipo fika.
Zama zinabadilika tubakubali, ila Kuna vitu havipitwi na wakati, kama asili na majukumu ya mwanadamu yanayotokana na maumbile yao.Zama za mama zetu na leo ni mbili tofauti.
Huwezi fananisha Mwanamke wa miaka ya 70 kurudi nyuma na hawa wa tisini kuja tulipo
Kusoma Kuna mfanya vipi mwanamke awe mgumu kutongozwa ?
UUpo sahihi kabisaMada yako na ngeleta maana kama ingejikita kwenye maadili hasa.
Lakini asikwambie mtu bora uoe mwanamke mwenye asiye na elimu ila akawa mchamungu, kwani akiwa mchamungu anakusanya vyote.
Ila hakuna Wanawake wajinga katika mgongo huu wa ardhi kushinda Hawa Wanawake walio soma secular wenye kazi zao tena wakiwa si wachamungu (Kwa maana ya dini na tabia njema).
Zama zinabadilika tubakubali, ila Kuna vitu havipitwi na wakati, kama asili na majukumu ya mwanadamu yanayotokana na maumbile yao.
Umbile la mwanamke ni kukaa nyumbani hii ndio asili. Ona kinachotokea baada ya mwanamke kutolewa nyumbani ? Leo wote sisi mashahidi.
Ni mfuasi mzuri wa makala zako, ila hii napingana nayo.MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.
Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.
Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.
Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;
1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!
Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.
Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.
Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.
Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.
Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?
2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?
Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.
Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.
Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.
Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.
Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.
Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.
3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.
Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.
Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.
Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.
4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.
Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.
Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.
Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.
Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.
Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.
Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!
Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.
Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.
Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Nieleweshe nitaelewa.Huwezi Elewa.