Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Bila elimu mwanadamu anakuwaje anautu?
Kabla ya elimu kuja Watu walikuwa wanakunya vichakani na mambo mengine ya kinyama yalitamalki.
Nashauri Waziri wa kilimo na Afya na wataalamu wao wakutane wakubaliane Utaratibu wa kunya vichakani urudishwe kurudisha rutuba ya Ardhi kupunguza gharama za kuagiza mbolea nje ya nchi Kwa pesa za kigeni na kuwa si sahihi kunya ndani ya nyumba Kwa kisingizio Cha self contained

Ulaya na Marekani Wana shida ya Ardhi ndio maana wanakunya ndani ya nyumba sisi ardhi tunayo kibao hasa vijijini watu wanye vichakani kurutubisha ardhi tuachane na kuagiza mbolea nje nchi
 
Kwa karne hii kuoa mke asiye na elimu nako ni kupitwa na wakati.
Yaani shule zilivvyozagaa, vyuo vilivyotapakaa alafu binti ninayemuoa asiwe na elimu hata ya kadiploma. Big noo!
Mbona hata kidato cha nne ni elimu kubwa tu na wanamudu mazingira yao vyedi na wengine ni wafanyabiashara wazuri na sio magolikipa.

Ujue kua na elimu kubwa sio guarantee ya kua na akili ya maisha.

Watu wanawakimbia hao wanavyo kwasababu ya ujinga wao mwingi, bibi yetu faiza hupenda kusema "walienda shule kusomea ujinga"

Wengi wanapenda maisha ya show off, ana kipato kizuri lakini hakina impacy yoyote kwenye familia yenu badala yake atakitumia kuleta majanga tu.

Mbaya zaidi ni wanakua na msururu wa maex na hiyo ndo mbaya zaidi.

Wanazagamuliw kishenzi
 
Huyu hajafanya itafiti wa kutosha wanamle akisoma sana hawezi kuolewa na akiolewa haeezi kaa kwenye ndoa Wamamakivuno sana ndo maama form for na lasaba ndo wanaolewa sana siku hizi
 
Silaha ni kwaajili ya kujilinda.

Bila elimu Mwanadamu anautu gani?
Bila elimu Watu wangekuwa wanatembea uchi hapa, wangekuwa wanakunya nje, wangekuwa wanakula vitu vichafu, bila elimu utu wa mtu uko wapi?
Labda ingelikuwa busara tuanze kujadiliana kuhusu utu ni nini ndio tungeelewana vizuri maana unayoyasema wewe kwangu mimi naona hayahusiani kabisa, kama kutembea uchi au kuvaa nguo ina uhusiano na utu basi ustaarabu usingekuwepo ndugu.
 
Alafu wanawake wasio na elimu na wasio nakazi kuwadharau na kuwanyanyasa ndio wanaona kuwa ni mke Bora.
Yaani mwanaume hata afanye mabaya wao kwa vile ni magendaeka hawajui nini chakufanya wanavumilia mateso tuu
Mkuu kuna wanawake wanaelimu kubwa kukushinda wewe na hata iweje huwezi kuwafikia lakini wapo kwenye mahusiano mabovu na wanapelekeshwa kuliko hao wajinga uwasemao wewe, dunia ni pana hii tusijifungie kwenye boksi
 
Mimi local government najua local government tax administration tu ndio niliyosomea hayo mengine mimi siyajui
 
Mkuu umeuliza kama mimi huyu mtu sijui wa wapi aisee yuko nyuma sana kuwaelewa wanawake, labda ujana wake hakuwa karibu nao kuweza kuwasoma,
 
Mada yako na ngeleta maana kama ingejikita kwenye maadili hasa.

Lakini asikwambie mtu bora uoe mwanamke mwenye asiye na elimu ila akawa mchamungu, kwani akiwa mchamungu anakusanya vyote.

Ila hakuna Wanawake wajinga katika mgongo huu wa ardhi kushinda Hawa Wanawake walio soma secular wenye kazi zao tena wakiwa si wachamungu (Kwa maana ya dini na tabia njema).
 
Zama za mama zetu na leo ni mbili tofauti.

Huwezi fananisha Mwanamke wa miaka ya 70 kurudi nyuma na hawa wa tisini kuja tulipo
Zama zinabadilika tubakubali, ila Kuna vitu havipitwi na wakati, kama asili na majukumu ya mwanadamu yanayotokana na maumbile yao.

Umbile la mwanamke ni kukaa nyumbani hii ndio asili. Ona kinachotokea baada ya mwanamke kutolewa nyumbani ? Leo wote sisi mashahidi.
 
UUpo sahihi kabisa
Lakini maadili ya kimungu bila elimu dunia nayo ndio huzalisha mambo ya kina Wafuasi wa Mwamposa na Watu wenye itikadi kali
 

Mwanamke hajaumbwa kukaa nyumbani mkuu.
Sema maumbile yake ameumbiwa kazi zisizohitaji nguvu wala shurba. Na hizo kazi siku hizi ni nyingi.

Bi. Khadija alikuwa mfanyabiashara.
Katika uislamu kuna vigezo vitatu vikuu vya kuchagua Mke bora.
Kufanya kazi ni sehemu ya vigezo hivyo ili amiliki Mali
 
Ni mfuasi mzuri wa makala zako, ila hii napingana nayo.
1.Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
2.Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.


KUWA CHEAP, MNAFIKI, HIZI NI TABIA ZA MTU YEYE KAMA YEYE.SIO KWA SBB HAJASOMA

HII YA HESHIMA TOKA KWA WATU WA NJE, kwani viwango vya elimu viko kwenye paji la uso?.
Heshima ni suala la mtazamo wa mtu, na huwezi kuishi kwa kutazamia ya watu, wanakuonaje.
Ukiniambia unaishi mbagala (nitakuchukulia poa)
na ukiniambia unaishi masaki (nitakuona una la kuongea)
Lakini huko mbagala unaweza kuwa unaishi nyumba kali zaidi kuliko za masaki!

Nafasi ya mke kuwa mama wa nyumbani ni njema na nzuri, hao ndio walezi wa watoto. ndio chimbuko la watoto marijali.Hao kina mama wa nyumbani waheshimike aiseee.
huu uzao wa 'mapapai' ni kutokana na kukosekana kwa malezi ya wazazi, mama yuko biza, baba yuko bize. Housegirl ndio mlezi wa wana

Bro hakuna watu wanaotombeka kama wanawake wanaofanya kazi, nina hakika hili unalijua.
vikao, semina, warsha, semina elekezi,safari zote hizi zinatoa uwanja mpana wa waokutombeka
Kuna wale wengine hawana hizo safari wala semina, ila ule muda wa lunch time ndio muda wa kupiga matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…