Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!


Ishu sio anafanya kazi wapi au kwa nani.
Ishu ni yeye afanye kazi. Tena halali.

Hakuna sehemu nimesema kazi nizamaofisini(ukimaanisha White colour jobs).
Hata Mama ntilie NI kazi
 
Sawa, hawa wasomi na wenye kazi wanaburuzwa na mabosi au wafanyakazi wao niliambiwa nisishangae ni mambo ya kawaida maofisi vitendo vya mapenzi kuwepo. Hawa wa nyumbani walikuwa ni waaminifu wa ndoa zao ila siku hizi gharama za maisha zimepanda wanalambwa tu kirahisi kama ulivyodadavua. All in all wanawake wote wa kuoa wawe wasomi au mama wa nyumbani suala la uaminifu wa ndoa ni shughuli pevu kama hawana maadili ya dini wanaachia uroda na kufanya usaliti kwa tamaa ya kupata fedha/upendeleo. Mtu anaoa mwanamke kutokana na muono wake. Mwanamke msomi na mwenye kazi naye hutaka kuolewa na mwanaume mwenye msomi na mwenye kazi au mfanyabiashara anayemzidi kipato. Afadhali mwanaume anaweza kuoa mwanamke asiye na elimu na kazi lakini mwanamke msomi kuolewa na mwanaume asiye na elimu wala kipato. Kwa hiyo wanawake wasio na elimu wala kazi wana nafasi kubwa kuolewa, hawana nyodo, hawana manyanyaso kwa waume zao, watiifu na wanyenyekevu. Wana hofu kubwa kusaliti ndoa zao maana ikigundulika wanasaliti ndoa wataachwa
 
Hapa umejidanganya, ni mtazamo wako ambao watu wengi wala hawawezi kuukubali, swala la mwanamke kua cheap au kupitiwa na watu wengine hovyo, tunao pia maofisini, na wako wanawake hawakusoma kabisa lakini Wana heshimika sana, kwa nidhamu, heshima,upole na kubeba majukumu yao.

Wewe bandiko lako linaonyesha umewawaza tu wanaume ambao wanajitafuta, wenye maisha duni na ya kati, kua wawe na wanawake wasomi labda kwa namna moja ama nyingine watakua na ahueni ya maisha, la hasha!!!

Ziko familia tunazijua za hovyo kabisa ktk kila mahala na wanawake hao wana elimu kubwa, pia ziko familia zenye kila aina y uzuri na kujifunza kutoka kwao, lakini wanawake zao ni wale wenye kujua kusoma na kuandika tu.

Kumbuka maisha ni mtazamo tu wa kila mmoja kwenye mawazo yake na jinsi anavyo weza kuongoza mambo yake

Kila mwanadamu ni Bora hapa Duniani kwa namna yake.
 
Ishu sio anafanya kazi wapi au kwa nani.
Ishu ni yeye afanye kazi. Tena halali.

Hakuna sehemu nimesema kazi nizamaofisini(ukimaanisha White colour jobs).
Hata Mama ntilie NI kazi
Ndio maana nikasema kutafuta si umbile la mwanamke, ndio maana Kuna madhara mengi kuliko manufaa.

Wewe huoni madhara ya mwanamke kufanya kazi ? Msijidai hamnazo.
 
You nailed bro'
 
Wengi wanatoa povu lakini ndio ukweli, wanawake wasioenda shule wana mambo ya kijinga sana. Huwa wanatongozwa sana na wanaona wao bora kumbe ni cheap. Bodaboda hawezi kutongoza mwanamke anamuona anatoka anenda ofisini kama sio jasiri haswa. Juzi nimeachana na dada mmoja aliniambia katongozwa na kijamaa cha 20 years yeye ana 32 nikamwambia kuna namna unajiweka ndio maana hadi watoto wanaona wanakumudu, cha kufanya tuachane ila badilika. Nilishaimba sana kuhusu uvaaji wake, havai nusu uchi lakini anvaa mitumba sana yaani ana nguo zimemruka lakini yumo tu, nikimpeleka shopping hachangui nguo za maana zaidi ya tracks tu zile ambazo huwezi kuvaa hata kama una mtoko. nikaona isiwe taabu yahe.
 

Hawawezi kukuelewa
 
Kila saa ukifa, ukifa. Haya ya kifo mbona unayatilia maanani sana, kwani lazima uanze wewe kufa. Binafsi naona ukitaka kuoa usitangulize kisomo au kazi kama kigezo bali sifa za muhimu za mke bila kujali hali ya kisomo chake au iwe ana kazi au hana. Natamani wote tungesimamia hapa. Tukisema tutangulize kazi kama kugezo hiyo ni dalili ya kutojiamini kwa mwanaume na kushindwa kutengeneza dira itakayosaidia familia hata baada ya kutokuepo kwake.
 
majibu bora kabisa
 
Unaoa mke au unaoa elimu? Vijana acheni kulelewa tafuteni hela, mwanamke ni pambo la ndani
 
Nakazia kwenye namba 3 na 4 hapo ndio hatari zaidi kwa hawa watu.
Kumbuka kila siku asubuhi mme anatoka kwenda kazini na yeye anatoka kwenda kazini akishafika kule anakuwa huru kufanya chochote anachojisikia na mme hana habari.
Na kingine kazini anakofanya kazi kutatokea semina na sherehe mbalimbali mbalimbali ambazo watasafiri na kulazimika kukesha au kulala hukohuko sasa kama kuna mfanyakazi mwenzake au Boss anamtaka kimapenzi huko ndio hutumika hiyo nafasi kumaliza kila kitu wakati mme ameachwa peke yake nyumbani alee watoto.
Kitu kingine mke asiye na kazi au asiyesoma anaiheshimu ndoa na kuihesabia kama ajira kwake so akianza tabia chafu ukimtishia talaka anajirudi na kuwa mwema kinyume na mwanamke mwenye elimu na kazi yake hana cha kutishika ukimtajia talaka anakujibu nipe hata leo ukitaka wewe kama nani kwenye maisha yangu.
Na kama mlichuma mali wote mkiachana hilo balaa lingine anajua haki zake zote na ana pesa ya kumlipa wakili ili akukandamize kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…