Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #321
Akiwa amesoma na hamna pesa? Unafikiria vitu kibwege sana wife material hapimwi kwa elimu yake. Ndoa sio ajira ya ofisini
Utasomaje alafu usiwe na Pesa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa amesoma na hamna pesa? Unafikiria vitu kibwege sana wife material hapimwi kwa elimu yake. Ndoa sio ajira ya ofisini
Unaona sasa akili zakoUtasomaje alafu usiwe na Pesa?
Swali anafanya kazi wapi na kazi gani ?
Hakuna aliye pinga hilo la kufanya kazi shida mnaona kazi ni za maofisini na kutafuta hela. Hili sio umbile la mwanamke ndio maana kama akili yako inafanya kazi vizuri utaona Kuna faida chache na hasara kubwa mno.
Unaona sasa akili zako
Hapa umejidanganya, ni mtazamo wako ambao watu wengi wala hawawezi kuukubali, swala la mwanamke kua cheap au kupitiwa na watu wengine hovyo, tunao pia maofisini, na wako wanawake hawakusoma kabisa lakini Wana heshimika sana, kwa nidhamu, heshima,upole na kubeba majukumu yao.MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.
Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.
Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.
Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;
1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!
Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.
Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.
Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.
Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.
Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?
2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?
Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.
Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.
Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.
Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.
Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.
Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.
3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.
Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.
Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.
Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.
4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.
Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.
Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.
Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.
Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.
Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.
Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!
Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.
Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.
Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Ndio maana nikasema kutafuta si umbile la mwanamke, ndio maana Kuna madhara mengi kuliko manufaa.Ishu sio anafanya kazi wapi au kwa nani.
Ishu ni yeye afanye kazi. Tena halali.
Hakuna sehemu nimesema kazi nizamaofisini(ukimaanisha White colour jobs).
Hata Mama ntilie NI kazi
You nailed bro'Haya ni mawazo ya mtu ambaye anaamini kwenye ufeminism.
1.Elimu ya mke itakusaidia nini?
Wangapi wamewatafuta vipanga na waliopanda vidato mpaka vyuo vikuu ila wakija kuishi nao, wanagundua nje ya Ile karatasi hawana lolote.
2.Kibarua Cha Mwanamke hakina msaada kwa Mume au kwa familia.
Naam wengi wa waliooa wanakiri wazi kabisa pesa na marupurupu ya mwanamke hayana msaada kwa familia yao, watoto wao hadi wao wenyewe kifupi matumizi yao hayatambuliki na hayahojiki kabisa.
3.Kutoa uroda bila kujali Ndoa zao?
Hapa ni hatari, hivi viumbe vinanyanduliwa kuliko maelezo huko makazini, vyuoni.
Kumbuka wako radhi kufanya chochote
4. Kipaumbele ni Taaluma zao
Sijui niseme nini? Ila tambua wanawake hawa familia ndio kitu Cha mwisho na Mume ni kama takataka.
5.Malaya kwenye Career zao na kupenda dezo.
Hili linafahamika na sitaki kulieleza sana.
6. Familia kukosa Uangalizi na Malezi ya mama.
Ndio fatilia familia za namna hii uone watoto wanavyolelewa na mahouse girl au kujilea wenyewe.
7.Mmong'onyoko wa Maadili
8.Baba ndevu, Mama Ndevu
Nadhani fatilieni mahakamani aina hii ya muungano na mwisho wake.
Nitaendelea..............
watu wametiririka mkuu 👊 maziwa ni mengi sana katika huu uzi.Watu humu wametoa point ,uzi safi kabisa...
Wengi wanatoa povu lakini ndio ukweli, wanawake wasioenda shule wana mambo ya kijinga sana. Huwa wanatongozwa sana na wanaona wao bora kumbe ni cheap. Bodaboda hawezi kutongoza mwanamke anamuona anatoka anenda ofisini kama sio jasiri haswa. Juzi nimeachana na dada mmoja aliniambia katongozwa na kijamaa cha 20 years yeye ana 32 nikamwambia kuna namna unajiweka ndio maana hadi watoto wanaona wanakumudu, cha kufanya tuachane ila badilika. Nilishaimba sana kuhusu uvaaji wake, havai nusu uchi lakini anvaa mitumba sana yaani ana nguo zimemruka lakini yumo tu, nikimpeleka shopping hachangui nguo za maana zaidi ya tracks tu zile ambazo huwezi kuvaa hata kama una mtoko. nikaona isiwe taabu yahe.
Hili nalo nenoOa mwenye elimu ila mzidi maarifa ili usimame kwenye nafasi yako kama mwanaume mkuu wa familia.
Ukizubaa atataka akae seat yako alafu wewe ukatafute kiti jikoni. NIMEMALIZA
Kila saa ukifa, ukifa. Haya ya kifo mbona unayatilia maanani sana, kwani lazima uanze wewe kufa. Binafsi naona ukitaka kuoa usitangulize kisomo au kazi kama kigezo bali sifa za muhimu za mke bila kujali hali ya kisomo chake au iwe ana kazi au hana. Natamani wote tungesimamia hapa. Tukisema tutangulize kazi kama kugezo hiyo ni dalili ya kutojiamini kwa mwanaume na kushindwa kutengeneza dira itakayosaidia familia hata baada ya kutokuepo kwake.Ukiwa na hela utaheshimika wewe mkeo atapata heshima kupitia wewe lakini yeye kama yeye bila wewe hana heshima yake mwenyewe.
Siku ukifa na pesa zako ndio utajua kama huyo mkeo asiye na elimu wala kazi ataheshimiwa au ndio ile kunyanyaswa na kuteseka.
majibu bora kabisaHaya ni mawazo ya mtu ambaye anaamini kwenye ufeminism.
1.Elimu ya mke itakusaidia nini?
Wangapi wamewatafuta vipanga na waliopanda vidato mpaka vyuo vikuu ila wakija kuishi nao, wanagundua nje ya Ile karatasi hawana lolote.
2.Kibarua Cha Mwanamke hakina msaada kwa Mume au kwa familia.
Naam wengi wa waliooa wanakiri wazi kabisa pesa na marupurupu ya mwanamke hayana msaada kwa familia yao, watoto wao hadi wao wenyewe kifupi matumizi yao hayatambuliki na hayahojiki kabisa.
3.Kutoa uroda bila kujali Ndoa zao?
Hapa ni hatari, hivi viumbe vinanyanduliwa kuliko maelezo huko makazini, vyuoni.
Kumbuka wako radhi kufanya chochote
4. Kipaumbele ni Taaluma zao
Sijui niseme nini? Ila tambua wanawake hawa familia ndio kitu Cha mwisho na Mume ni kama takataka.
5.Malaya kwenye Career zao na kupenda dezo.
Hili linafahamika na sitaki kulieleza sana.
6. Familia kukosa Uangalizi na Malezi ya mama.
Ndio fatilia familia za namna hii uone watoto wanavyolelewa na mahouse girl au kujilea wenyewe.
7.Mmong'onyoko wa Maadili
8.Baba ndevu, Mama Ndevu
Nadhani fatilieni mahakamani aina hii ya muungano na mwisho wake.
Nitaendelea..............
hapo sasaUnaweza kuwa na hoja. Lakini mbona mama zetu wengi humu elimu zao ndio hivyo tena lakini tumefika tulipo fika.
Unaoa mke au unaoa elimu? Vijana acheni kulelewa tafuteni hela, mwanamke ni pambo la ndaniMADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.
Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.
Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.
Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;
1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!
Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.
Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.
Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.
Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.
Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?
2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?
Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.
Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.
Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.
Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.
Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.
Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.
3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.
Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.
Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.
Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.
4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.
Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.
Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.
Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.
Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.
Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.
Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!
Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.
Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.
Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kekundu,kekundu🤣🤣Unaoa mke au unaoa elimu? Vijana acheni kulelewa tafuteni hela, mwanamke ni pambo la ndani
Nakazia kwenye namba 3 na 4 hapo ndio hatari zaidi kwa hawa watu.Haya ni mawazo ya mtu ambaye anaamini kwenye ufeminism.