Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Hii vipi
 
Nakumbuka mwaka fulani , tulipata safari ya Mwanza kwa wiki tukitokea Dar ..Sasa Taasisi yetu ina watu wachache sana ila bajeti kubwa , inawezekana kulikuwa na kikao cha Finance ila wakaenda hata watu wa HR,Procurement ili mradi pawe na wajumbe wengi .

Kuna mdada alikuwa ndio karudi kutoka kweny likizo ya uzazi (maternity leave) basi alitakiwa kwenda kama unavyojua akishamaliza basi anakuwa anarudi mapema kwake kwa ajili ya mtoto , masaa mawili kabla ya mda wa kutoka yeye anatakiwa kuondoka kisheria ili kwenda kumnyonyesha mtoto .

Sasa alitaka kwenda Mwanza na nafasi ilikuwepo kabisa kweny bajeti tena ilifemea watu wawili wengine walihitajika .Alipomuaga mumewe palikuwa na mgogoro mkubwa demu anataka zile per diem mil na point , nilikuwa namuheshimu ila baadae aliandika maneno kweny status kumsema mumewe.

Kati ya maneno hayo alisema kazi ni bora kuliko ndoa kwa vile anajiweza kulelea wanae , alisema pia yeye alisomeshwa na wazazi wake ili kuja kuwasaidia wazazi wake sio kutumikia ndoa . Kma mtoto anaweza kumuacha maana wana housegirl halafu akirudi atamnyonyesha ni wiki nzima tulikaa Mwanza , naye alienda .
 
Kwa ufupi kabisa OA MWANAMKE MWENYE AKILI. Mengine hayana muongozo. Kikubwa kujitahidi kuchagua wa kuendana ambaye atakupa furaha ya maisha.
 
Yeah hao watu ni hatari yaani ili uweze kuishi nao kwa amani ni hadi ukubali kuwa bwege,vinginevyo ukiwa mtu wa hasira hamuwezi kudumu na ndio maana asilimia kubwa wanakuja kuwa masingle mothers.
Halafu kitu ambacho mimi nachukia mke kufanya kazi kwa uzoefu wangu nimepita sehemu nyingi sana za kazi utakubaliana na mimi kwamba sehemu za kazi nyingi hakuna nidhamu.
Yaani unaweza mtaani ukamuona mama fulani wa heshima na watu wanamthamini na kumuogopa lakini ukienda kazini vijana wadogo tu wanamshikashika matiti akiwa kazini na wengine wanamuomba mchezo na wala hakatai.
Au utakuta kuna mababu ambao mtaani ni watu wa heshima sana ila wakifika kazini wanakengeuka wanatongoza hovyo hovyo kila mwanamke na hawa wazee ni hatari zaidi kuliko vijana maana wenyewe pesa ipo kwenye mfuko wa shati muda wote hawana njaa washamaliza kujenga,washamaliza kusomesha sasa wanakula maisha tu.
Nimeshuhudia mengi kwenye sehemu za kazi we acha tu.
 
Hao wenye PhD na Maprofessor ndio wataalamu wa kugawa Uroda Kama walvyo wataalamu ktk fani zao.. na Wananyanduliwa na hata wa darasa la saba - Kayumbq style
 
Leo upo mbali na ukweli zaidi ya 100k km, mwanamke kuwa cheap kwa ndugu au hata marafiki sina uhakika kama inasababishwa na elimu au kipato ila standands zake za kimaisha either alizojitengenezea yeye mwenyewe au mume wake.

Kuhusu kugawa uroda mhhhhh ngoja niishie hapa kwa ninayoyaona hapa kibaruani kwangu.
 
πŸ˜„πŸ˜„
Siku ukipata Stroke au umestaafu au kufukuzwa kazi au kufa alafu umeacha watoto wadogo ndio utajua jinsi ulivyokuwa na mawazo mgando.

Pesa ya Mwanamke inaweza isikusaidie wewe lakini ikasaidia wΓ toto wako.
kwanini mnapenda kujipa majukumu na umuhim ulio nje ya uwezo wenu?
Ukishakufa mengine unaiachia dunia ifanye yake
Huna utakacho weza fanya.
Kumbuka kuna familia wanaweza kufa wote kwa ajali na watoto wakabaki na house girl darasa la saba
 
Eti hata mimi nimeshangaa ni msiba au sherehe za kabila gani ambapo watu wanatumikishwa!
Sisi kwenye shuhuli za kifamilia tunawajua wasiofanyakazi kama ni wavivu tu
Na mimi nimeshangaa! Ni familia gani hizo zinazotumikisha watu wakati wa msiba au sherehe!! Sisi kwetu ambae hafanyi kazi tunamuitaga mvivu. Haijalishi kasoma au hajasoma.
 
Andiko zuri sana...unajua mtoa mada ana namna ya kudharau watu wasio soma,lakini ukweli ni kwamba tumeona na kukutana na wasomi Malaya na wasiosoma wasio Malaya na wenye hofu ya MUNGU, yeye huyu kwa sababu kichwa chake kinadharau wasio soma,amejiuliza maswali kichwani,akajijibu mwenyewe na kuwahukumu watu
 
Kuna dini nasikia mwanamke hatakiwi kusoma wala kufanya kazi ?!
Je hii ni kweli ?
 
Umeelezea vizuri sana lakini usishangae wengine kukupinga sababu wakati mwingine mtu huelewa jambo kutegemeana na kiwango chake cha mtazamo.
 
Watakupinga lakini huku wanakazana kusomesha mabinti zao Shule nzuri kwa kadiri ya uwezo wao πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Si muwaache waolegwe tu πŸ˜€πŸ˜…
 
Kuwa na mke ambae hafanyi any reciprocation au sharing yoyote ya mchango wa Pesa kwenye familia ni mzigo mkubwa sana.
Yani Eti kila kitu 100% ugharamie Mwanaume ?
Ukikosa kazi itakuwaje ?

Kwanza kitendo cha kuombaa Hela kila wakati ni chanzo kimojawapo cha kuleta stress kwa Mwanaume .

Mwanamke anao wajibu wa kufanya kazi na kuzalisha mali kwa mujibu wa Biblia, Sijui kwenye vitabu vingine vitakatifu wenzetu nasikia mwanamke anatakiwa kutegemea mume tu kwa 100% πŸ˜†
 
Ndio maana idadi ya wanawake wa baadhi ya dini kwenye Ulimwengu wa wa wa somo na wafanyakazi wanawake ni wachache sana kumbe ni sababu ya dini yao.
 
Wanaume wanaojiamini wanapenda kuoa wanawake wenye akili kubwa na wanaona fahari kabisa kufanya hivyo kwa faida ya watotowake na familia kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…