Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Mi naamini mwanamke akiwa na elimu ya msingi nzuri au sekondari inatosha kabisa
Elimu nzuri kuliko zote kwa mwanamke ni malezi ya familia aliyotoka na mfano WA wazazi kwenye ndoa yao mahusinao yao.
Elimu kubwa ni ziada tu na sometime inaweza kuwa chanzo cha jeuri.
Kwangu mwanamke bora anayeweza kuwa mama kwa watoto, anayeanglia mambo ya nyumban kwa ukaribu, anayeunganisha familia.
 
Mama yake Nyerere alikuwa golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi wa kwanza wa Tanzania,Mama yake Raisi wa pili wa Tanzania Raisi Ali Hassan Mwinyi alikuwa golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi wa pili wa Tanzania,Mama yake Raisi wa Tatu wa Tanzania Raisi Benjamin Mkapa alikuwa Golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi wa Tatu wa Tanzania Raisi Benjamin Mkapa ,mama yake Raisi wa Nne wa Tanzania Raisi Jakaya Kikwete mama yake alikuwa golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi Kikwete Raisi wa awamu ya Nne ,Raisi wa awamu ya Tano Magufuli mama yake alikuwa Golikipika hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi Magufuli,Raisi wa awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan mama yake Golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi

Swali wewe mleta mada mama Yako anayejua kusoma na kuandika wewe kakuzalisha kama nani mbona mchovu tu labda unakovjiunia na kujiona wa maana humu una Maisha Gani mchovu choka mbaya wewe na mama Yako msomi mtoto wa mama msomi na asiye golikipa mbona wote chokambaya mnajikuna upele tu
 
Mke wangu kamaliza 5C yuko bomba sana.
 
Mimi niliona huyu analipia hiki, huyu hiki, sio mmoja analipia vyote.

Kuchangia kwenye pato la familia.
Nadhani umeelewa dhana yangu.

Wewe Sasa ni baba naamini, vipi mkeo unampa pesa sebureni?

Kama sio, watoto wako si wanaona wewe umerudi na unga na mama kanunua dagaa hivyo mnashirikiana.

Kifupi mpende mwanamke uliyemchagua na mwekee misingi imara, utakuja kunishukuru.
 
Sasa kwanini wanafanya kazi na hawahitaji kufanya kazi hela wanapewa chumbani? Aisee
 
Mkuu mtake radhi taikon wa fasihi usiwe serious sana, kwani unasahau kuwa hizi ni fahisi andishi!
 
Tatizo la kuzaliwa familia maskini ndio Hilo

Mwanaume akizaliwa familia maskini anakuwa na vi principle vya ajabu ajabu ndio maana Matajiri hushhauri Binti zao kuwa wewe unatoka familia ya kitajiri akija Kijana akikutongoza ukamkataa akasema hunitaki Kwa Sababu mimi maskini amwambie live kuwa ndio sikutaki kwani kwenu Matajiri? Si ni maskini katafute maskini wenzio huko achana na mimi
 
Naomba nijue Elimu ya.

Mama yako mzazi?

Mama yako mdogo?

Shangazi zako?
 
Sasa kwanini wanafanya kazi na hawahitaji kufanya kazi hela wanapewa chumbani? Aisee
Una umri gani?
Maana hili sio swali la jamii forum.
Hili Swala lipo kwenye saikolojia zaidi ya mwanamke na jenetiks wakati wa pre historic era.

Ambapo mwanamke alimuhitaji Mwanaume kwa ajili ya kumlinda, kumtunza na kutoa huduma zote.

Yeye Mwanamke alitoa comfort na sex kwa Mwanaume na watoto ikiwezekana.

Kwa hiyo afanye kazi au asifanye their brain is wired like that.
 
duh aisee, nilikua sijui mkuu

kumbe huko makazini ke wanapoteza muda tu
 
duh aisee, nilikua sijui mkuu

kumbe huko makazini ke wanapoteza muda tu
Kwa nini wewe ndugu mshamba_hachekwi unaweza mtunza mkeo kwa muda wa miaka 20 na wote ni wafanya kazi.

Ila ukisimamishwa au kufukuzwa kazi Mwanamke hatoweza kukutunza hata mwaka mmoja?

Unadhani kwa nini?
Bro jipange na tengeneza mindset kuwa tengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya familia yako.

Anacho fanya yeye ni ziada tu, utaishi kwa amani.

Na hiyo isiwe sifa pekee ya wewe kuamua kumuoa, oa akiwa na sifa sahihi za mke
 
Elimu na tabia ya mtu havihusiano,hujawai kuona wanawake wasomi na ni Malaya sana tu? Pia hujawai kuona wanawake ambao hawana Elimu na wanahela? Sipingi mtazamo wako ila linapokuja swala la utu wa binadamu yani personality yake,elimu haihusiki, otherwise mada yako nzuri inaleta changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…