Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Elimu inayozungumziwa kwenye Biblia ni maarifa ya kiroho kuhusu Mungu siyo hii formal education,elimu ya darasani imelenga kumpa mtu maarifa ya kazi fulani hususa Yan ujuzi,ila sio kuuandaa utu wa mtu
Tupe andiko linalosapoti jambo hilo.
Embu tuambie elimu ya kiroho pekee ingewezaje kujenga Hekula au Safina aliyoagiza Mungu?
Tuambie ni kwa namna ipi Kujua kwako biblia au quran kutakuwezesha kutengeneza Gari au meli, au Ndege?
Tuembie elimu ya kiroho itakusaidia vipi kushona hata chupi au suruali?
Elimu inayozungumziwa hapo ni elimu Dunia.
Elimu ya kiroho mtu anapewa tangu akiwa mtoto kupitia Torati.