Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Matunda ya "Beijing Conference" yanaanza kuathiri kizazi,obviously mleta mada hawezi kuwa amezaliwa chini ya 1995.

Wewe mama yako hakusoma hata kama alisoma siyo elimu hiyo ya kutisha leo useme wenzake kama yeye wasiolewe wTf,unazungumzia mke kushughulishwa kwenye msiba hujui kwenye msiba ndipo binadamu anayejitambua bila kujali ni mume au mke anatakiwa ashiriki kwa kujitoa kwa hali na mali pasipo hata kuambiwa?
 
Hivi utajisikiaje mkeo anatumikishwa na kuchukuliwa poa kisa hana elimu wala kazi?
Wakati huohuo wake za ndugu zako waliosoma wakikunja miguu juu.

Kama binti zako hutosomesha na watakuwa golikipa hiyo ni shauri yako
 
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.

Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).

Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.

Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.

Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.

Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;

1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!

Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.

Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.

Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.

Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.

Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?

2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?

Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.

Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.

Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.

Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.

Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.

Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.

3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.

Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.

Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.

Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.

4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.

Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.

Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.

Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.

Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.

Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.

Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!

Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.

Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.

Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Acha yoga wa maisha wewe. Unaenda kitonga mwanaume, angalia utaolewa. So mke sio elimu yake
 
Nakubaliana na baadhi ya maandiko yako ya nyuma ila kwa hili la leo nakupinga asilimia mia.
Kusoma na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti, oa mwanamke mwenye akili sio mwenye elimu. Wanawake kibao wenye elimu hasa huko maofisini ni wachafu na malaya kupitiliza tunawaona.

Na mwanamke kutongozwa sio kitu Cha ajabu labda ajabu ni kulala na kila anayemtongoza, kinachopelekea mwanamke kutongozwa ni muonekano na mazingira. Mwanamke mkurugenzi ni rahisi kutongozwa na wakurugenzi wenzake au watu wa Kariba yake.
Mwanamke anaweza akawa hajasoma ila akatongozwa hata na profesa na anaweza akawa amesoma ila akatongozwa hata na watu wa hovyo kutokana na muonekano au mazingira aliyokuwepo.

Kuosha masufuria,kupika na kushirikiana shughuli za kijamii hasa misiba na harusi sio utumwa ni utamaduni wetu tu.
Huyo mwenye elimu na kazi, ikitokea akiamua kukutesa utajuta, maana anazo sana zote za maangamizi
 
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.

Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).

Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.

Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.

Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.

Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;

1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!

Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.

Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.

Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.

Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.

Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?

2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?

Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.

Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.

Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.

Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.

Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.

Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.

3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.

Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.

Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.

Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.

4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.

Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.

Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.

Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.

Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.

Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.

Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!

Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.

Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.

Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam

  • Nimeona mwanamke kasoma
  • Nimesoma pia.
  • Nina marafiki wamesoma

Mke ni topic isiyo na style moja, kila mtu aangalie namna ipi kwakeni nyepesi na inaweza work
 
Hivi utajisikiaje mkeo anatumikishwa na kuchukuliwa poa kisa hana elimu wala kazi?
Wakati huohuo wake za ndugu zako waliosoma wakikunja miguu juu.

Kama binti zako hutosomesha na watakuwa golikipa hiyo ni shauri yako
Wewe dogo akili huna unataka battle za kitoto toto sana,aliyekuaminisha mwanamke kusoma na kuwa na kazi kunamtenganisha na shughuli za kijamii nani?

Ok mkeo wewe ana elimu na ana kazi wangu hana elimu na hana kazi mimi mumewe nina hela na ktk hiyo shughuli mimi nimehusika kwa kiasi kikubwa kuigharamikia huku wewe na mkeo hamkutia pua so wewe kwa akili zako unadhani mkeo msomi akikaa miguu juu na wangu akakaa miguu juu kwa sababu hana alichokosa na mumewe anaheshimika kwenye ukoo kuna kitakachofanyika kwenye jamii?acha upumbavu kujikuta unajua kila kitu na hulka zako za ki-feminist unaijaza jamii ujinga stop it!
 
Wasomi wenyewe si ndio hawahawa tuko nao mitaani hawana kazi wana njaa hawataki kujishughulisha kisa wana degree wanaishia kudanga na wanapigwa miti hadi na hao boda unaowadharau

Unaoa msomi ambaye maisha yake akiwa chuo alikuwa anawaingiza wanaume room wamtombe kwa zamu kama danguro kwa ajili ya tamaa za pesa

Unazungumzia hawa mabinti wa vyuoni wanaotoa mbususu kwa ofa ya makange na savanna viwanja vya starehe

Hawa wasomi wenye degree za chupi na ajira za rushwa ya ngono.

Uliza waliowahi kuoa wasomi wakaishia talaka kwa sababu ya tabia zao za kifeminist

Thamani ya mke/mwanamke haipimwi kwa elimu yake
 
Ukiwa na hela utaheshimika wewe mkeo atapata heshima kupitia wewe lakini yeye kama yeye bila wewe hana heshima yake mwenyewe.

Siku ukifa na pesa zako ndio utajua kama huyo mkeo asiye na elimu wala kazi ataheshimiwa au ndio ile kunyanyaswa na kuteseka.
 
Kwa hiyo mkuu kwa mfano Mwanamke uliyemuoa akaona unammyanyasa na unamfanyia ubabe kisa wewe ni mwanaume akawa anakupinga na kukukosoa alafu wewe nawe ukawa mbishi kisha mkafikia kushindwana ni vibaya?
 
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.

Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).

Sasa kwa ninyi mliofanya maamuzi ninyi sina neno na nyie kwa sababu huo ni uchaguzi wenu.

Wazo hili ni zao la kizamani ambalo msingi wake ulikuwa kwa jamii isiyoamini kama Mwanamke naye ni mtu.

Lakini ujumbe huu nimeandika ni kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi au hawajui wachague kipi kati ya kuoa Mke aliyesoma na anayefanya kazi za taaluma au Mke ambaye hajasoma na ambaye atakuwa mama wa nyumbani.

Yafuatayo ni madhara ya moja kwa moja ambayo utayapata kwa kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na ambaye hana kazi yaani mama wa nyumbani;

1. Atakuwa Mwanamke Cheap na wagharama nafuu Kabisa.
Hakuna kazi rahisi kama kutongoza Mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi. Ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa. Yaani shwaaa!

Moja ya vitu vinavyompa mtu thamani kwa dunia ya leo ni Elimu.

Hata wanaume watakaomtongoza mkeo watakuwa Lundo kama siafu wekundu, hawamuogopi, wamuogope kwa kipi hasa! Lakini mdada shule ipo tena anawazidi mpaka wanaume Unafikiri hapo kuna nini.

Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.

Jipe hadhi kijana acha woga wa kijingajinga.

Unataka familia yako iwe cheap? Unataka watoto wako wajisikieje wakimuona mama yao(mkeo) akitumikishwa kwa kazi dhalili?

2. Mwanamke kuwa Mnafiki na kushindwa kusimama katika nafasi yake ya mke na Mama.
Mke wako hana elimu alafu hana kazi. Atawezaje kusimamia majukumu yake kama mke na kama Mama?

Mke lazima awe na elimu ya kiwango fulani angalau Diploma kwa zama hizi. Kisha awe na kijikazi au kazi ya kuingiza mapato.

Mke ni Mama wa watoto wako lakini pia ni Mama yako mlezi wakati mwingine.

Lazima uwe na Mwanamke ambaye ataweza kubeba jukumu la kukutunza na kukulea kimwili na kiroho na wakati mwingine kiakili pale ambapo utakengeuka.

Sasa unachukua Mwanamke shule hana, hana kazi, Mwanamke anakuogopa badala ya kukuheshimu kisa hana kipato.

Umekengeuka kidogo hakuna wakukurudisha kwenye mstari.

Nawajua wanaume wengi ambao wao ndio chanzo cha kuvunja nyumba zao kwa kukengeuka kwao. Aidha kutumia vibaya uanaume na ubaba wao vibaya.

3. Mkeo hataheshimiwa na Watu wa nje.

Raha ya mke aheshimiwe. Sio kila siku mke anakondeana kwa kudharaulika.

Binadamu ni kiumbe mwenye dharau Sana.

Kanisani atadharaulika. Mtaani hivyohivyo. Kisa hana elimu wala hana kazi. Yaani yupo yupo tuu.

4. Kugawa Uroda kirahisi.
Ni kweli wanawake wengi hugawa uroda lakini kuna kugawa Uroda kirahisi.

Fuatilia hata jamii yenye umalaya mwingi wanawake wao hawana elimu wala hawana kazi.

Yaani Mwanamke awe mwalimu au daktari au mwanasheria alafu awe Malaya, hiyo sio rahisi.

Ila mkeo akiwa hana elimu jua kabisa hata bodaboda hawamhofii. Yaani mwanaume yeyote anaweza kuruka naye kwa sababu mkeo ni level ya chini ambaye yeyote anaweza kutunda yake.

Lakini Mwanamke mwenye elimu na kipato ni kama Mnazi. Mpaka umpate lazima jasho likutoke na wapandaji huwa wachache.

Fikiria mkeo ni mkurugenzi Unafikiri ni wafanyakazi wake wangapi wana ujasiri wa kumtongoza? Lazima wawe na hofu.

Alafu fikiria mkeo hana elimu yoyote Unafikiri kuna mtu anamhofia kumfuata?
Hakuna!

Sasa mwanamke Watu wanatakiwa Wamheshimu yeye bila hata ya uwepo wako. Sio mkeo aheshimiwe kisa umemuoa yaani ni mke wa mtu. Hapo umepigwa.

Yaani Watu wanakuheshimu tuu wewe ndio maana hawamfuati mkeo lakini ukiwa haupo Watu wanajigaragaza. Lakini Mwanamke akiwa na kazi nzuri na elimu hata asipokuwa na mume anaheshimika na wanaume hujifikiri mara mbilimbili kumfuata.

Yote kwa yote Maisha ni ubatili. Lakini Watu wanachokazana ni kuepuka ubatili wenye maumivu, dharau, majonzi na taabu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Huyo mkeo anae hangaika na boss wake kila siku kujishobokesha ili apewe promotion nae utasema ni mke wako au mke wenu bro....?
 
Binti wa kawaida asie na elimu wala kazi anatakikana, Wahi nafasi ni moja tu.
 
Ukiwa na hela utaheshimika wewe mkeo atapata heshima kupitia wewe lakini yeye kama yeye bila wewe hana heshima yake mwenyewe.

Siku ukifa na pesa zako ndio utajua kama huyo mkeo asiye na elimu wala kazi ataheshimiwa au ndio ile kunyanyaswa na kuteseka.
Still unazidi kuonyesha ulivyo mweupe,kama mume nina hela nzuri nikiondoka nitaacha uchumi mzuri kwa familia so hakuna namna atadhalilika.

Kingine tunabishana ujinga tu elewa mke kuwa na elimu na kazi au kukosa elimu na kazi au hata kuwa na kipato au kukosa kipato kamwe hai-justify ajitenge kwenye shughuli za kijamii au awe kinara kwenye shughuli za kijamii yeyote ktk hao asipofanya hayo hana sifa za kuitwa mke na hajitambui awe na elimu au asiwe na elimu!
 
Back
Top Bottom