Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #141
Still unazidi kuonyesha ulivyo mweupe,kama mume nina hela nzuri nikiondoka nitaacha uchumi mzuri kwa familia so hakuna namna atadhalilika.
Kingine tunabishana ujinga tu elewa mke kuwa na elimu na kazi au kukosa elimu na kazi au hata kuwa na kipato au kukosa kipato kamwe hai-justify ajitenge kwenye shughuli za kijamii au awe kinara kwenye shughuli za kijamii yeyote ktk hao asipofanya hayo hana sifa za kuitwa mke na hajitambui awe na elimu au asiwe na elimu!
Kwani nani anayemtenga mke na mambo ya kijamii au jamii yenyewe ndio inafanya hayo?
Mimi naongea uhalisia wewe unazungumzia hisia zako.
Sio mke tuu hata wewe mwanaume kama huna elimu yoyote na kazi ya maana huna kwenye matukio ya kijamii utafanya yale ya hadhi yako ya Chini.
Hisia na mihemko yako haiwezi badili ukweli kuwa Mke aliyesoma na mwenye kazi na kipato kamwe hawezi kufanana na mke ambaye hajasoma na asiye na kazi.