Madhara ya kusoma sana vitabu

Madhara ya kusoma sana vitabu

Unamaanisha umejua mapenzi Kama mapenzi ukiwa mdogo au jigjig ulianza ukiwa chalii?

Nimekuwa nawaona wazazi wangu wanasoma vitabu mbalimbali na makala.

Nilipojua kusoma na kuandika nikawa nasoma vitabu vya mama na baadhi ya majarida.

Nilipoanza kubalehe nikawa naiba novel za mama zenye love scenes....

Nilijifunza namna ya kuenenda kwenye mapenzi, mapenzi yalijengeka akilini mwangu...
Nikayapenda yakanipenda...

Makala hayamtupi msomaji/jembe halimtupi mkulima.
 
Angalia Sana haya mambo

Utajifunza mengi juu ya ulimwengu na uulize ukweli wake. Ukijua hakuna ukweli.

Utakuwa muongeaji sana kwenye karamu maandishi na hulali

Mpenzi wako ataondoka kitandani kwa sababu mazungumzo ya wapenzi yamekuwa jukwaa la mjadala wa kifalsafa. Yaani unakera

Utakuwa unahangaika kuweka mitazamo yako ukidhani Dunia ni yako na japo unatambua kwamba kila kitu ni kibaya. Hakuna masuluhisho

Utatumia maneno katika maisha ya nadharia hata mchumba Ako atakuona kero. Kutongoza inakuwa kama lecture. Maneno kibao.

Wkt mwingine unakosa nafasi ya vitu vyako vya kibinafsi kwani nyumba na vyumba vyako vinajazwa na vitabu.

Utajikuta ni maskini na bila makazi kwa sababu umetumia pesa zako zote kwenye vitabu.

Yaani daima waweza usipate kazi kwa sababu umehitimu kupita kiasi na muulize mhojiwa maswali mengi ambayo hawezi kujibu.

Lazima utajenga tatizo la unywaji pombe kwa sababu hakuna mtu anayekuelewa.
Unamaanisha vitabu vya ziada au kiada? Utafiti unaonyesha kuwa watu wanaosoma vitabu vingi wanakuwa na maarifa mengi na hivyo kuwarahisishia mambo mengi. Hata ukifuatilia watu wengi waliofanikiwa, utakuta wanasoma sana vitabu ili kujiongezea ufahamu kwenye career zao. Wafuatilie akina Bil Gate, Elon Musk, na wengineo, uone mavolume wanayomaliza kusoma kwa mwaka.
 
Tusitiane ujinga ......this is very wrong, you have no idea what you're missing by NOT reading books. Hii ni hatari sana kuwa na mawazo ya aina hii. Ni hatari sana hata kwa ustawi na jamii yetu na kwa nchi. Kama unapinga tabia ya usomaji wa vitabu unataka watu wawe wanafanya nini mbadala wake?, toa suluhisho hapa wafanye nini badala yake. Usomaji wa vitabu ni chakula bora kabisa cha akili kwa mwanadamu. Mtu anayesoma vitabu mara kwa mara ameshiba kiakili, ana upeo mkubwa wa kuwasiliana na kuelewa mambo kwa marefu na mapana kwenye nyanja mbalimbali za maisha. Mtu anayesoma vitabu anajijengea uwezo wa reasoning au kujenga hoja (Reasoning is the action of thinking about something in a logical, sensible way). Asiyesoma vitabu ni sawasawa na mtu ambaye akili yake imekufa/imesimama, aliye mfu lakini anatembea, hawezi kujenga hoja, atakuwa bubu hata pale anapotakiwa kuchangia hoja fulani ya msingi, au hata akiamua kufungua mdomo wake atabishana si kwa hoja bali kwa povu na mabavu, au kupandisha sauti pasipo lazima. Kama wewe ni mvivu na si msomaji wa vitabu na wengine kama wewe, basi BAKI HIVYO HIVYO lakini usiwapumbaze wengine wawe kama wewe. Unaposoma kitabu kimoja maana yake unasoma wazo au kazi mtu iliyotafitiwa kwa muda wa miaka kadhaa. Unapomaliza kusoma kitabu kimoja ni sawasawa umemaliza kumsikiliza mhadhiri (Lecturer) mmoja anayetoa somo/mada fulani, maana yake ukisoma kitabu kimoja kwa mwezi tu, ni sawasawa na kuwasikiliza wahadhiri 12 wa vyuo vikuu. Kuna tofauti kubwa sana kati ya anayesoma vitabu na asiyesoma vitabu....kubwa mno! Usomaji wa vitabu una faida lukuki.


"You will be the same person in five years as you are today except for the people you meet and the books you read." By Charlie Jones
 
BENEFITS OF READING BOOKS
  1. Gain valuable knowledge
  2. Exercise your brain
  3. Improve your focus
  4. Improve your memory
  5. Enjoy entertainment
  6. Improve your ability to empathize
  7. Improve your communication skills
  8. Reduce stress
  9. Improve your mental health
  10. Live longer
 
Usiombe ukutane na waliosoma vitabu vya Robert Kiyosaki [emoji1316][emoji1316][emoji1316] hawashaurikagi hawa watu wanaamini kuajiriwa ni utumwa. Halafu wanaishi maisha magumu mno
Nimesoma vitabu vya kiyosaki vimenisaidia sana kubadili mtizamo kwenye maisha haya.

Naweza sema wewe hujamwelewa kiyosaki barabara!! .

Yes kuajiriwa ni utumwa.

Je una mpango gani kabambe wa kutoka kwenye huo au unataka kufiia kwenye huo utumwa.

Ndio hapo unahitaji mikakati anuai

Nachelea kusema una uwezo mdogo wa kuelewa mambo

Kwaheri
 
Kusoma vitabu ni muhimu mpaka unaingia kaburini. Inapendeza kusoma genre tofauti tofauti, japo ni muhimu kujikita na kujijengea maarifa ya kusoma vitabu ambavyo vinahusiana na career yako. Watz wengi tu incompetent sababu hatusomi vitabu vinavyohusu taaluma zetu.
Vitabu ambavyo naona ni wastage of time ni hizi jamii za akina Robert Kiyosaki..hawa ni kusoma biography zao inatosha.
 
Back
Top Bottom