Madhara ya kusoma sana vitabu

Madhara ya kusoma sana vitabu

Kusoma kitabu ni kuulisha ubongo wako chakula.
 
Kusoma vitabu kwangu kuna faidi kubwa kuliko kutosoma vitabu.
 
Kwa Sasa if ndio kitabu bora ZAIDI kila kitu unapata humu!!cha msingi unga bando tu!mambo yote uatapata hata unabii na ndoto pia!!!soma thread za if!!!
 
Basi unakuwa hujahitimu namna ya maongezi. Kusoma vitabu kunakupa experience ya miaka mingi shida inakuwa jinsi ya kuishi hizo experience.
 
Nimesoma vitabu vya kiyosaki vimenisaidia sana kubadili mtizamo kwenye maisha haya.

Naweza sema wewe hujamwelewa kiyosaki barabara!! .

Yes kuajiriwa ni utumwa.

Je una mpango gani kabambe wa kutoka kwenye huo au unataka kufiia kwenye huo utumwa.

Ndio hapo unahitaji mikakati anuai

Nachelea kusema una uwezo mdogo wa kuelewa mambo

Kwaheri
Mkuu pambana na hali yako ukipata muda njoo nikuonesha nimefanya nini na mshahara wangu halafu nikuoneshe salary slip
 
Tatizo la kwanza ni kusoma Vitabu bila kuyafanyia kazi yake uliyoyasoma, Tatizo la pili ni kusoma vitabu ambavyo vinatoa usuluhishi katika mambo ambayo hayaendani na Mazingira unayoishi. Tatizo la tatu ni kusoma Vitabu kama kasuku bila kufanya uchambuzi.
Ila kwakuhitimisha naweza kusema bado usomaji wa Vitabu una faida kubwa haswa msomaji akijua ni vitabu gani vya kusoma na sio kusoma tu ili mradi.
Nimesoma kitabu cha 50 Cent kinaitwa "Hustle Harder, Hustle Smarter" kimebadili sana Maisha yangu.
images.jpeg
 
Ni mtamazo wako tu....na huenda kwa upande wako vitabu havijakusaidia ndo maana umeongea..lakin vitabu huongeza kitu kwa msomaji
 
Mara nyingi kwa watu wanao soma kama gazeti .lazma vitabu vionekane kama havina faida kwa msomaji.
 
Kitu pekee kinachoweza kukupa furaha duniani ni kupenda kujua siri mbalimbali, ndio maana wambea ni watu wenye kitabasam muda mwingi hufurahi na kusikitika kwao ni kimzaha tu.
 
Sema watu hao wakituliaga mkuu.. unaweza ukajiona mjinga duniani unazurula tu.. maana wanategaga kwenye point ndogo tu mafanikio mengi mengi.. wanaitwagwa wachawi mtaani.. mwisho wa siku madini mengi yamefichwa kwenye vitabu..
 
Kusoma vitabu ni muhimu mpaka unaingia kaburini. Inapendeza kusoma genre tofauti tofauti, japo ni muhimu kujikita na kujijengea maarifa ya kusoma vitabu ambavyo vinahusiana na career yako. Watz wengi tu incompetent sababu hatusomi vitabu vinavyohusu taaluma zetu.
Vitabu ambavyo naona ni wastage of time ni hizi jamii za akina Robert Kiyosaki..hawa ni kusoma biography zao inatosha.
HOW TO BE RICH by Napolean Hill ni utafiti kamili wa utajiri. Mle ndani kuna saikolojia,uchumi,siasa,motivation science nk.

Aliandika kile kitabu baada ya kuwatembelea na kuwahoji matajiri zaidi ya 100 wa USA a wakati huo. Kile ni bible ya jinsi ya kuwa tajiri.

Ni bora usisome rich Dad Poor Dad ila umsome Napolean. A must read book kwa kijana mwenye maono ya ujasiliamali, usivichukulie poa! Nakwambia kama watu wangeanza kuvisoma hivyo vitabu tangu primary school, kipato cha watu wengi kingekuwa kizuri, bahati mbaya wengi huvisoma wakati wameisha poteza dira, hivyo kuviona havina maana.

Katika career unatakiwa usome tech mpya tu na kuna baadhi ya career hazina mpya. Mfano muhasibu, mwalimu, bwana misitu, bibi afya hawanaga mpya ila IT, uhandisi, Architecture, Designer, Musician, Fashion, Udaktari wa binadamu, famacist, nk hawa career zao zinabadirika kila kukicha.
 
HOW TO BE RICH by Napolean Hill ni utafiti kamili wa utajiri. Mle ndani kuna saikolojia,uchumi,siasa,motivation science nk.
Aliandika kile kitabu baada ya kuwatembelea na kuwahoji matajiri zaidi ya 100 wa USA a wakati huo. Kile ni bible ya jinsi ya kuwa tajiri.
Ni bora usisome rich Dad Poor Dad ila umsome Napolean. A must read book kwa kijana mwenye maono ya ujasiliamali, usivichukulie poa ! Nakwambia kama watu wangeanza kuvisoma hivyo vitabu tangu primary school, kipato cha watu wengi kingekuwa kizuri, bahati mbaya wengi huvisoma wakati wameisha poteza dira, hivyo kuviona havina maana.
Katika career unatakiwa usome tech mpya tu na kuna baadhi ya career hazina mpya. Mfano muhasibu, mwalimu, bwana misitu,bibi afya hawanaga mpya ila
IT,uhandisi,Architecture,Designer, Musician, Fashion, Udaktari wa binadamu,famacist, nk hawa career zao zinabadirika kila kukicha.
Kitabu pekee ambacho ukisoma hakiathiri akili kwa kusababisha mitazamo hasi ni Biblia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kitabu pekee ambacho ukisoma hakiathiri akili kwa kusababisha mitazamo hasi ni Biblia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ndio kinachoumiza akili zaidi, maana ni hadithi za watu mbalimbali. Hypothetical tu zimejaa mle.

Walionasa ktk hicho kitabu huwa hawaeleweki. Mtu mwenye akili timamu hawezi kugalagala hovyo mbele ya mtu mwingine anayejifanya yupo karibu naungu zaiidi kuliko wengine.

Hakiekeweki kwa watu wengi kimehas confusion tu, kila mtu anaeleza yake na ndio maana yakazaliwa mamia ya madhehebu.
 
Back
Top Bottom