mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hii id nikiiona nachekaga mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila kitu kina madhara yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii id nikiiona nachekaga mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila kitu kina madhara yake
Ndio mkuu..nililala msikitini na nikapendwa na mke wa imamu😁Elimu ni gharama. Na ndio maana ulikubali kuomba kulala msikitini mwaka mzima.[emoji16]
Take action achs kelelePamoja sana. Rich dad and poor dad
Mkuu pambana na hali yako ukipata muda njoo nikuonesha nimefanya nini na mshahara wangu halafu nikuoneshe salary slipNimesoma vitabu vya kiyosaki vimenisaidia sana kubadili mtizamo kwenye maisha haya.
Naweza sema wewe hujamwelewa kiyosaki barabara!! .
Yes kuajiriwa ni utumwa.
Je una mpango gani kabambe wa kutoka kwenye huo au unataka kufiia kwenye huo utumwa.
Ndio hapo unahitaji mikakati anuai
Nachelea kusema una uwezo mdogo wa kuelewa mambo
Kwaheri
HOW TO BE RICH by Napolean Hill ni utafiti kamili wa utajiri. Mle ndani kuna saikolojia,uchumi,siasa,motivation science nk.Kusoma vitabu ni muhimu mpaka unaingia kaburini. Inapendeza kusoma genre tofauti tofauti, japo ni muhimu kujikita na kujijengea maarifa ya kusoma vitabu ambavyo vinahusiana na career yako. Watz wengi tu incompetent sababu hatusomi vitabu vinavyohusu taaluma zetu.
Vitabu ambavyo naona ni wastage of time ni hizi jamii za akina Robert Kiyosaki..hawa ni kusoma biography zao inatosha.
Kitabu pekee ambacho ukisoma hakiathiri akili kwa kusababisha mitazamo hasi ni Biblia.HOW TO BE RICH by Napolean Hill ni utafiti kamili wa utajiri. Mle ndani kuna saikolojia,uchumi,siasa,motivation science nk.
Aliandika kile kitabu baada ya kuwatembelea na kuwahoji matajiri zaidi ya 100 wa USA a wakati huo. Kile ni bible ya jinsi ya kuwa tajiri.
Ni bora usisome rich Dad Poor Dad ila umsome Napolean. A must read book kwa kijana mwenye maono ya ujasiliamali, usivichukulie poa ! Nakwambia kama watu wangeanza kuvisoma hivyo vitabu tangu primary school, kipato cha watu wengi kingekuwa kizuri, bahati mbaya wengi huvisoma wakati wameisha poteza dira, hivyo kuviona havina maana.
Katika career unatakiwa usome tech mpya tu na kuna baadhi ya career hazina mpya. Mfano muhasibu, mwalimu, bwana misitu,bibi afya hawanaga mpya ila
IT,uhandisi,Architecture,Designer, Musician, Fashion, Udaktari wa binadamu,famacist, nk hawa career zao zinabadirika kila kukicha.
Ndio kinachoumiza akili zaidi, maana ni hadithi za watu mbalimbali. Hypothetical tu zimejaa mle.Kitabu pekee ambacho ukisoma hakiathiri akili kwa kusababisha mitazamo hasi ni Biblia.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
AsanteHakuna kitu chenye faida kubwa zaidi kama kusoma vitabu.
Kama hutaki acha.