Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Shida ya wanawake wengi ni kushindwa kuhesabu kalenda zao vizuri
 
Wanaume hapa tunaongea sana utadhani tunaijua miili ya wanawake 100%,mzunguko wa hedhi wa mwanamke unaathiriwa na mambo mengi kila siku.Hauwezi kuwa constant kama automated machine, kufuata calendar ni hatari sana na hata withdrawal sio salama pia.

Mwanamke aende hospitali aongee na wataalam wa afya kuhusu njia bora na salama ya uzazi wa mpango.Mimba zisizo tarajiwa sio dili na msiwatishe watu kuhusu side effects ambazo nyingine ni za uongo kabisa.
 
Watumie kondom kama kalenda ni ngumu
 
Hamu ya kula tutaongeza idadi ya mikate.

Kichwa kuuma tutanunua panadol.

Damu ikiganda tutatafuta vitamin k.

Kichefu chefu ndimu italambwa.

Maziwa kua makubwa am gon enjoy that.

Uchafu kutoka ukeni subirini uzi jf.
Damu ikiganda utatumia vit k!!Kifo kingali karibu nawe
 
Real K inakua haina ile ladha ya asili,,
 
condom kwenye ndoa? Kalenda ni high risk bora hata mbegu za nyonyo kwa baadhi ya wanawake zinafanya kazi.
Mbegu za nyonyo ni sumu pia wengine wakitumia hupata mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…