Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Bado hizo njia zimesaidia wengi.ni kiasi cha mwanamke mwenyewe kwenda kujicheki ajue njia gani ya mpango itakayomfaa kulingana na yeye alivyo.hizo nyingine ni mbwembwe tu.Kuna yale magoli ya asubui asubui haya huwa hakunaga cha condom wala kalenda wala nin.
 
Kama mwenzi wako sio mlevi ni nzuri,mi kalenda haijawai niangusha,mwaka wa saba huu.Cha msingi ni kua Makini kwenye kuzihesabu siku.
Kweli kabisa ; mi nilikuwa makini sana na kalenda ; mtoto sasa ana mwaka na miez miwil;
 
Withdraw method ndo salama kwa afya. Ila kumbuka unapo withdraw mara ya kwanza usirudie tendo hapo hapo ; ukitaka kurudia kakojoe na kuosha penis kwanza ili uondoe sperms zilizoko juu na zikizobak kwenye mrija ; then endelea na tendo mpaka hatua nyingine ya withdraw

Note: kila unapo withdraw inabid ukojoe na kuosha ili kuondoa sperms zilizobak juu na ktk mrija penis ;

Unapo withdraw bila kufanya hayo kama nlivoeleza hapo juu then ukarudia tendo; zile sperms zilizobak ktk njia ya mrija zinaweza sababisha mimba kwa mwanamke.

Note; pia kama una uhakika wa calender ya mwanamke kwa maana ya siku zisizo za hatari, si lazima kuwithdraw ;
 
Lazma uwe mvumlivu kwa njia ingawa ina ugumu kdgo ila nisalama mbegu haiwz kuwa hai wkt ushtoa nje na kufta
Njia hiyo ili iwe salama hupaswi kurudia tendo , sasa hebu fikiria kwa mwanaume rijali, kila siku upige mshindo mmoja tu, utafua dafu?
 
Njia hiyo ili iwe salama hupaswi kurudia tendo , sasa hebu fikiria kwa mwanaume rijali, kila siku upige mshindo mmoja tu, utafua dafu?
Hapna unawza rudia muhimu nkusafisha vzur tu kla baada ya tndo
 
Walevi ndio wanapata shida, ila withdrawal na calendar are the best options. Huwezi niambia nitumie condom na mke wangu, hilo ni tusi.
 
Kufuata kalenda na kuchomoa uume kabla hujamwagia ndani naamini kabisa hii ni misimamo ya vijana ambao hawajui gharama za kupata ujauzito ambao huna mpango nao kabisa

Nakumbuka niliapa kutokuja kutumia njia hizi za kisasa katika kupanga uzazi nami nilijiapiza kutumia kalenda na mwanaume nae alikuwa anachomoa hahahahahaha nicheke kwanza
Ilikuwa utoto labda

Nikapata ujauzito wa ghafla bin vuu Mungu anisamehe nilitamani kuutoa na nilifika kabisa kwa daktari lkn alikataa kuutoa ikanibidi niulee ujauzito kishingo upande kuna siku nilikuwa naomba kabisa hata mimba itoke ndo kwanzaaaaaa ikafika miezi 9 nikajifungua fresh tu

Hapo ndipo nilivunja kiapo changu nikaweka kitanzi maisha mazuri nabinuka nitakavyo mguu mmoja darini mwingine sakafuni no stress

Kalenda ni nzuri lakini kumbukeni siku ya kupata ujauzito ndipo k nayo inaongoza kwa kutoa machozi ya kuwasha na hapo ndipo bwana bamia anapokuwaga mtamu balaa halafu unambie nisiduu au mwanaume aichomoe mnafanya masikhara na utamu nyie

Kuliko kulea mimba kwa masikitiko na manung'uniko ni heri kuizuia ni hayo tu wapendwa

Mnaoapa apeni kimya kimya nawashauri tu
umenitamanisha ulivyosema mguu 1darini mwingine sakafuni
 
Habari za siku mingi?
Ni kweli usipokuwa makini hizo njia za withdraw na calendar ni ngumu sana ila kusema za ukweli hizi dawa za hospitalini ni hatari zaidi bora kuzaa kuliko kutumia dawa za uzazi wa mpango........nitaje madhara machache tu
1.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2.Uke kujaa maji mengi hivyo kupunguza raha kwenye tedo la ndo na kuweza kusababisha uchepukaji
3.Hasira kwa mwanamke......mwishowe humchukia hata mume baadae uchepukaji huweza kutokea
4.Kwa sababu dawa huwa kwenye mzunguko wa damu muda wote uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye matatizo ya akili ni mkubwa sana........rejea watoto wa sasa ambao wazazi wao wamekuwa watumiaji wa dawa hizi(rejea pia uwezo wa watoto mashuleni)
5.Uwezekano wa kupata kansa ya shingo ya kizazi/kansa kwenye mji wa mimba ni mkubwa sana
6.Uke kujaa maji humfanya mwanaume apunguze uwezo wa tendo la ndoa na kusemekana mwanaume amepungukiwa nguvu za kiume
Kwa uchache ni hayo tu dada yangu ila njia za asili zipo nyingi na zina matokeo chanya zaidi kuliko hizo za hospitalini wewe endelea kutumia ila mwisho wa siku yakikupata moja kati ya hayo utatukumbuka.........kumbuka hospitalini hawasemi ukweli sababu hizo ni biashara za watu

Nikipata muda nitaelezea hapa njia za asili za kupanga uzazi
 
Back
Top Bottom