Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

Suluhisho ni KUOA tu
Ngoja waje wale wapuuzi wa Kataa ndoa lakini nawewe kwanini uangalie kwenye Mambo ya Mirathi tu wafanye kazi wasitegemee vya kurithi havidumu
Wale Wana vimelea vya ushoga! Unakataaje kuoa? Huwa siwaelewi, eti MTU anamiliki simu ya laki tatu ndio anaogopa kuporrwa akioa
 
Mtoto akishazaliwa ana haki ya kupata mirathi kwa wazazi wawe wana ndoa au sio wanandoa. Halafu mambo yakugombea urithi ni ya kiboya sana. Tafuta chako ukakigawe kama unavyotaka
 
Katika siku umeongea point, basi ni Léo aisee!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtoto akishazaliwa ana haki ya kupata mirathi kwa wazazi wawe wana ndoa au sio wanandoa. Halafu mambo yakugombea urithi ni ya kiboya sana. Tafuta chako ukakigawe kama unavyotaka
Ni roho mbaya tu naona tu hapo.
 
Msongo wa mawazo kwa sababu ya roho mbaya,
 
Hayo madhara yapo wapi? Kwahiyo ulitaka uyo mjane mchepuko asiolewe?
Na kuhusu kubadili majina ya watoto hiyo ni hadithi ya kufikirika ili kunogesha story
Kiwango chako cha elimu tafadhali
 
Mtoto akishazaliwa ana haki ya kupata mirathi kwa wazazi wawe wana ndoa au sio wanandoa. Halafu mambo yakugombea urithi ni ya kiboya sana. Tafuta chako ukakigawe kama unavyotaka
To yeye
BILGERT

Wakuu mimi nimewahi ona kesi moja hivi wanandoa kuachana.

Wanandoa wale walijenga nyumba mbili, ila mahakama katika kuamua zile nyumba mbili alibakinazo mume tuu, coz ilionekana kuwa mume wake ndo kazijenga na majina ya nyumba ni ya mume wake.

Ila yule mama alisema alichangia kwenye ujenzi wa zile nyumba kiasi kikubwa tuu. Na yule mama Anakazi yake kabisa.

Ila ishu ni kwamba inawezekana kipindi anamchangia mume wake kuzijenga zile nyumba hakuweka ushahidi, na ndio yeye sababu ya kukosa nyumba hata moja, akatoka empty.

Ndoa nyingi ndivyo zilivyo mama anachangia mali bila kuweka ushaidi. Na hicho baadae kinawahumiza sana wanawake. Utakuta nyumba moja kila kitu ni Gharama yake ni million labda let's say 80. Ukute mama alichangia 25 million out of 80 million.
Ila ushahidi hana. Jina la nyumba ni la mume.

Sasa unafikili mama huyo atajiteteaje. Akija mtoto wa nje wanagawana sawa sawa na wa ndani , lakini kumbuka kuna jasho la mama ya ndani, hapo ndipo wanawake wengi wanapata maumivu bro. Usiseme ni roho mbaya kaka.

Na ndo maana wanawake wa siku hizi hawashirikiani mali z waume zao wakitaka kushilikiana basi anawambia amwandike na yeye kuwa kashiriki.
Wa mama wemgi siku hizi wanatafuta mali zao.

NYIE MNAONGEA COZ NYIE SIO WANAWAKE.
INGEKUWA INAWATOKEA HII UNGEJISIKIAJE , MNAONGEA HIVYO COZ NI ME.
 
Ni kweli kaka
 
Kosa kubwa ni kuficha nyumba ndogo!!

Jamaa alikosea sana kuficha yeye angewaambia tu WATOTO wake wa nyumba kubwa kuwa man ndugu wengine nje na kuwaonyesha kuwa hao ni ndugu zao!!!
 
Hapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.

Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
 
Kosa kubwa ni kuficha nyumba ndogo!!

Jamaa alikosea sana kuficha yeye angewaambia tu WATOTO wake wa nyumba kubwa kuwa man ndugu wengine nje na kuwaonyesha kuwa hao ni ndugu zao!!!
Ange mwambia pia na mkewe before , ili wakubaliane hata kwenye urithi
 
Hapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.

Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
Busara wewe unaiyona ni sawa hapo kaka, tuelezee.
 
Hapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.

Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
Mimi naona wengi wanafanya hivi kwa busara kama Baba hajaacha urithi. Wanafanya hivi.

Ndugu wanamuuliza mke wa ndoa kuwa kama utaweza basi tunaomba tuwajumuishe na hawa kwenye urithi, akikataa bali ndugu napo wanagoma kwenda mahakamani kuthibisha kwamba alitambulishwa.
Au wengine wanamwambia tuu mama basi kwa ustarabu chukua sehemu yako ya mali mliyotengeneza na mume wako.
Ila mara nyingi hii inakuwa ngumu, coz Mume hayupo so inakuwa ni ngumu kujua mali za mume ni zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…