Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

Suluhisho ni KUOA tu
Ngoja waje wale wapuuzi wa Kataa ndoa lakini nawewe kwanini uangalie kwenye Mambo ya Mirathi tu wafanye kazi wasitegemee vya kurithi havidumu
Wale Wana vimelea vya ushoga! Unakataaje kuoa? Huwa siwaelewi, eti MTU anamiliki simu ya laki tatu ndio anaogopa kuporrwa akioa
 
Mtoto akishazaliwa ana haki ya kupata mirathi kwa wazazi wawe wana ndoa au sio wanandoa. Halafu mambo yakugombea urithi ni ya kiboya sana. Tafuta chako ukakigawe kama unavyotaka
 
Msongo wa mawazo wa Nini na vitu vya kupita hivi.....uchoyo,ubinafsi ndivyo vyatutesa wanawake....tena mnagawana siyo Kwamba wanachukua vyote.....Jamani maisha haya siyo magumu kiasi hicho....Kila kitu ni ubatili mtupu na hakuna tutakachozikwa nacho....aisee[emoji119]
Katika siku umeongea point, basi ni Léo aisee!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtoto akishazaliwa ana haki ya kupata mirathi kwa wazazi wawe wana ndoa au sio wanandoa. Halafu mambo yakugombea urithi ni ya kiboya sana. Tafuta chako ukakigawe kama unavyotaka
Ni roho mbaya tu naona tu hapo.
 
Msongo wa mawazo kwa sababu ya roho mbaya,
 
Hayo madhara yapo wapi? Kwahiyo ulitaka uyo mjane mchepuko asiolewe?
Na kuhusu kubadili majina ya watoto hiyo ni hadithi ya kufikirika ili kunogesha story
Kiwango chako cha elimu tafadhali
 
Mtoto akishazaliwa ana haki ya kupata mirathi kwa wazazi wawe wana ndoa au sio wanandoa. Halafu mambo yakugombea urithi ni ya kiboya sana. Tafuta chako ukakigawe kama unavyotaka
To yeye
BILGERT

Wakuu mimi nimewahi ona kesi moja hivi wanandoa kuachana.

Wanandoa wale walijenga nyumba mbili, ila mahakama katika kuamua zile nyumba mbili alibakinazo mume tuu, coz ilionekana kuwa mume wake ndo kazijenga na majina ya nyumba ni ya mume wake.

Ila yule mama alisema alichangia kwenye ujenzi wa zile nyumba kiasi kikubwa tuu. Na yule mama Anakazi yake kabisa.

Ila ishu ni kwamba inawezekana kipindi anamchangia mume wake kuzijenga zile nyumba hakuweka ushahidi, na ndio yeye sababu ya kukosa nyumba hata moja, akatoka empty.

Ndoa nyingi ndivyo zilivyo mama anachangia mali bila kuweka ushaidi. Na hicho baadae kinawahumiza sana wanawake. Utakuta nyumba moja kila kitu ni Gharama yake ni million labda let's say 80. Ukute mama alichangia 25 million out of 80 million.
Ila ushahidi hana. Jina la nyumba ni la mume.

Sasa unafikili mama huyo atajiteteaje. Akija mtoto wa nje wanagawana sawa sawa na wa ndani , lakini kumbuka kuna jasho la mama ya ndani, hapo ndipo wanawake wengi wanapata maumivu bro. Usiseme ni roho mbaya kaka.

Na ndo maana wanawake wa siku hizi hawashirikiani mali z waume zao wakitaka kushilikiana basi anawambia amwandike na yeye kuwa kashiriki.
Wa mama wemgi siku hizi wanatafuta mali zao.

NYIE MNAONGEA COZ NYIE SIO WANAWAKE.
INGEKUWA INAWATOKEA HII UNGEJISIKIAJE , MNAONGEA HIVYO COZ NI ME.
 
Ni kweli kaka
 
Habari za weekend.
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.

Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao. Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.

Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake. Watu ndo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.

Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu. Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.

Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao. Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.

Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae. Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili. Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.

Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.

JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
Kosa kubwa ni kuficha nyumba ndogo!!

Jamaa alikosea sana kuficha yeye angewaambia tu WATOTO wake wa nyumba kubwa kuwa man ndugu wengine nje na kuwaonyesha kuwa hao ni ndugu zao!!!
 
Habari za weekend,

Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.

Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.

Ilikuwa hivi.

Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao.

Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.

Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.

Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake.

Watu ndiyo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.

Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu.

Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.

Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao.

Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.

Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.

Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae.

Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili.

Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.

Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.

JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
Hapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.

Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
 
Kosa kubwa ni kuficha nyumba ndogo!!

Jamaa alikosea sana kuficha yeye angewaambia tu WATOTO wake wa nyumba kubwa kuwa man ndugu wengine nje na kuwaonyesha kuwa hao ni ndugu zao!!!
Ange mwambia pia na mkewe before , ili wakubaliane hata kwenye urithi
 
Hapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.

Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
Busara wewe unaiyona ni sawa hapo kaka, tuelezee.
 
Hapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.

Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
Mimi naona wengi wanafanya hivi kwa busara kama Baba hajaacha urithi. Wanafanya hivi.

Ndugu wanamuuliza mke wa ndoa kuwa kama utaweza basi tunaomba tuwajumuishe na hawa kwenye urithi, akikataa bali ndugu napo wanagoma kwenda mahakamani kuthibisha kwamba alitambulishwa.
Au wengine wanamwambia tuu mama basi kwa ustarabu chukua sehemu yako ya mali mliyotengeneza na mume wako.
Ila mara nyingi hii inakuwa ngumu, coz Mume hayupo so inakuwa ni ngumu kujua mali za mume ni zipi
 
Back
Top Bottom