Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Sina elimu yenu ya bongo ya kukariri.Kiwango chako cha elimu tafadhali
Elimu yangu ni kutoka Aberdeen unv..una swali lingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina elimu yenu ya bongo ya kukariri.Kiwango chako cha elimu tafadhali
Cha kwanza kabisa ni kuona kama yule mama wa watoto wa kambo kuwa tayari kuwaachia watoto kwa utaratibu fulani kuchukuliwa na ndugu wa baba. Hicho huwa ni kipimo cha kubaini kama huyo mama kaja kuleta watoto au kafuata pension.Busara wewe unaiyona ni sawa hapo kaka, tuelezee.
Akitaka kukaa na wanaeCha kwanza kabisa ni kuona kama yule mama wa watoto wa kambo kuwa tayari kuwaachia watoto kwa utaratibu fulani kuchukuliwa na ndugu wa baba. Hicho huwa ni kipimo cha kubaini kama huyo mama kaja kuleta watoto au kafuata pension.
Sasa wataamua kile kile tuu au wewe unaonajePia hali kama hiyo inapotokea mnaweza toa urithi chini ya mwangalizi wa upande wa baba.
Mnoooo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwan siku ingine naongea vidudu?
🤣🤣🤣Jaman ule Uzi imekuwa mateso kwanguMnoooo!
Mfano mbuzi kagoma kwenda
Ilitumika sheria gani kumnyima huyo mama % yake kwenye hizo nyumba mbili? Wote tumesoma sheria ngumu kukosa vyote kisa ushahidi tu. Kuishi nae kindoa ni ushahidi toshaTo yeye
BILGERT
Wakuu mimi nimewahi ona kesi moja hivi wanandoa kuachana.
Wanandoa wale walijenga nyumba mbili, ila mahakama katika kuamua zile nyumba mbili alibakinazo mume tuu, coz ilionekana kuwa mume wake ndo kazijenga na majina ya nyumba ni ya mume wake.
Ila yule mama alisema alichangia kwenye ujenzi wa zile nyumba kiasi kikubwa tuu. Na yule mama Anakazi yake kabisa.
Ila ishu ni kwamba inawezekana kipindi anamchangia mume wake kuzijenga zile nyumba hakuweka ushahidi, na ndio yeye sababu ya kukosa nyumba hata moja, akatoka empty.
Ndoa nyingi ndivyo zilivyo mama anachangia mali bila kuweka ushaidi. Na hicho baadae kinawahumiza sana wanawake. Utakuta nyumba moja kila kitu ni Gharama yake ni million labda let's say 80. Ukute mama alichangia 25 million out of 80 million.
Ila ushahidi hana. Jina la nyumba ni la mume.
Sasa unafikili mama huyo atajiteteaje. Akija mtoto wa nje wanagawana sawa sawa na wa ndani , lakini kumbuka kuna jasho la mama ya ndani, hapo ndipo wanawake wengi wanapata maumivu bro. Usiseme ni roho mbaya kaka.
Na ndo maana wanawake wa siku hizi hawashirikiani mali z waume zao wakitaka kushilikiana basi anawambia amwandike na yeye kuwa kashiriki.
Wa mama wemgi siku hizi wanatafuta mali zao.
NYIE MNAONGEA COZ NYIE SIO WANAWAKE.
INGEKUWA INAWATOKEA HII UNGEJISIKIAJE , MNAONGEA HIVYO COZ NI ME.
Wamekosa connection ya wanaoishi Marekani, ni kama ukoo umekata na hakuna incentives wanapata wakati wangemaintain undugu wangefaidikaSasa hayo madhara yako wapi hapo?
Kufikilika kivipi inawezekana hawakuwa watoto wa Baba.Hayo madhara yapo wapi? Kwahiyo ulitaka uyo mjane mchepuko asiolewe?
Na kuhusu kubadili majina ya watoto hiyo ni hadithi ya kufikirika ili kunogesha story
Fafanua kidogo boss busara gani inaitajikaHapa tatizo sio kuzaa nje, tatizo ni busara iliyotumika kugawa mali.
Busara isipotumika kwenye kugawa urithi hayo huwa yanatokea hata bila kuwa na watoto wa nje.
Hivi umesoma vizuri alivyoeleza ujaona kifo hapo cha mama huyo.
Fikilia watoto wa kaka yako kabisa wa baba mmoja na mama mmoja, wanawasusa na kuwasahamu kwa kitendo kilichotokea kwa mama yao.
Utajisikiaje?
Kwa hio unaona ni sawa tuu.
Hayo ndo madhara yenyewe ujayaona mkuu
Tatizo ni kuiga uzungu, ndoa siyo utamaduni wa mwafrika, umeletwa na wahuni. Mwafrica kazi yake ni kuijaza dunia. Kosa alilofanya huyo mzee ni kuficha damu yake. Alipaswa awatambukishe watoto wake mapema ili familia yake itambue ndugu zao.Habari za weekend,
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao.
Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake.
Watu ndiyo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu.
Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao.
Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae.
Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili.
Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
😂😂😂Wapewe maua yaoWatumishi wa serikali ndio wanaongoza kwa kuzaa nje ya ndoa etii.??
Migogoro kuhusu mali za marehemu au mirathi inatokea hata kwa watoto waliozaliwa ndani ya ndoa, yaani wa Baba na Mama mmojaHabari za weekend,
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao.
Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake.
Watu ndiyo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu.
Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao.
Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae.
Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili.
Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
TrueMigogoro kuhusu mali za marehemu au mirathi inatokea hata kwa watoto waliozaliwa ndani ya ndoa, yaani wa Baba na Mama mmoja
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Mmmmh hii tabu sanaHabari za weekend,