Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Ni kuweka wazi, by the way watoto wanapaswa kuwa waelewa tu! Wagawane kdg then waendelee kutafuta zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake ni WABINAFSI by natureMsongo wa mawazo wa Nini na vitu vya kupita hivi uchoyo, ubinafsi ndivyo vyatutesa wanawake.
Tena mnagawana siyo Kwamba wanachukua vyote. Jamani maisha haya siyo magumu kiasi hicho.
Kila kitu ni ubatili mtupu na hakuna tutakachozikwa nacho....aisee[emoji119]
Acha kutisha watu mnaendeshwa na properties Marehu aliacha MKE, watoto kadhaa na wajukuu kadhaa sijawahi Sikia wakisa ameacha majumba magari ... Wale watoto wataendeleza ukoo bilamkujali Wana chochote . Uzuri ninkuwa tulivyovichuma duniani ni vya hapa hpa na Kwa matumizi ya hapa tu dunianiHabari za weekend,
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao.
Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake.
Watu ndiyo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu.
Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao.
Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae.
Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili.
Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
Ni kweli tunaviacha hapa duniani. Wengine unakuta ni vingi mno, wenye tamaa hata wasio wahusika na wao wanajichomeka humohumo wapate kituAcha kutisha watu mnaendeshwa na properties Marehu aliacha MKE, watoto kadhaa na wajukuu kadhaa sijawahi Sikia wakisa ameacha majumba magari ... Wale watoto wataendeleza ukoo bilamkujali Wana chochote . Uzuri ninkuwa tulivyovichuma duniani ni vya hapa hpa na Kwa matumizi ya hapa tu duniani
KATAA NDOA......Habari za weekend,
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao.
Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake.
Watu ndiyo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu.
Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao.
Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae.
Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili.
Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
Msongo wa maawazo wa kujitakia, ni hizo mali ama ni nini? Kwani watoto waliozaliwa wana makosa gani. Huo ni ubinafsi.Hivi umesoma vizuri alivyoeleza ujaona kifo hapo cha mama huyo.
Fikilia watoto wa kaka yako kabisa wa baba mmoja na mama mmoja, wanawasusa na kuwasahamu kwa kitendo kilichotokea kwa mama yao.
Utajisikiaje?
Kwa hio unaona ni sawa tuu.
Hayo ndo madhara yenyewe ujayaona mkuu
Peleka upumbavu wako huko wewe kwa nn usitafute hela ili upendwe na wa upande wa mumeoWa mke wana upendo kwa mume mwenye hela,ukiona ndugu wa mke wanakuchukia tafuta hela
Sasa unafanya nn bongo mpuuz weweSina elimu yenu ya bongo ya kukariri.
Elimu yangu ni kutoka Aberdeen unv..una swali lingine?
matumizi mabaya msongoMsongo wa mawazo wa Nini na vitu vya kupita hivi uchoyo, ubinafsi ndivyo vyatutesa wanawake.
Tena mnagawana siyo Kwamba wanachukua vyote. Jamani maisha haya siyo magumu kiasi hicho.
Kila kitu ni ubatili mtupu na hakuna tutakachozikwa nacho....aisee🙌
kumbuka naye alikuwa akijibana na huyo mshua wenu, naye alitongozwa kama huyo mama yenuInaumiza,mmepambanaa weweee mmeejinyimaa wee,mshua anadodoka danga tu anakujaa takaa mgaoo na wanaee bila jashoo. Si aletee na zakee tugawaneeee!
Kabisamatumizi mabaya msongo
usishikamane sana na vitu tumeyakuta tena tukuja uchi
Mama alikufa kwa roho yake mbaya akitaka mjane mwenzake ateseke na watoto wadogo bila pa kuanzia. Mumewe akifanya kuncheat sasa kwanini watoto ambao katika kucheat hawakushirikishwa wakazaliwa wateseke kisa baba aliyecheat kafa.Hivi umesoma vizuri alivyoeleza ujaona kifo hapo cha mama huyo.
Fikilia watoto wa kaka yako kabisa wa baba mmoja na mama mmoja, wanawasusa na kuwasahamu kwa kitendo kilichotokea kwa mama yao.
Utajisikiaje?
Kwa hio unaona ni sawa tuu.
Hayo ndo madhara yenyewe ujayaona mkuu
Hapo tatizo sio kuzaa nje ya ndoa,zingatia hili.Tatizo ni maamuzi yaliyofanywa na ndugu na mahakama.Habari za weekend,
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao.
Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake.
Watu ndiyo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu.
Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao.
Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae.
Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili.
Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
Luka12:13 Mtu mmoja katika mkutano akamwambia, Mwalimu, mwambie ndugu yangu anigawie urithi wetu.Habari za weekend,

umesema vyemaHapo tatizo sio kuzaa nje ya ndoa,zingatia hili.Tatizo ni maamuzi yaliyofanywa na ndugu na mahakama.
Wanaume zaeni kadiri muwezavyo ila weka mipango sawa kabla haujarudi mavumbini.