Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

Sera gani hiyo? Sheria gani hiyo?

Unaposema effects za sera, tunategema ukaweka sheria iliyowekwa na Bunge(muswada) ama uweke Tangazo la Raisi lilopeleka hali hii kuwa mbaya.

...zaidi ya hapo hizi ni porojo tu, ukienda kwenye uzi wa Maranja Masese ni haya haya, ukienda kwenye uzi wa "Utamkumbuka vipi Magufuli" ni haya haya yaani porojo za "cause and effect"

.... ukitaka kuonyesha Cause and effect ni muhimu kama sio lazima kutaja hizo specific policies. Kwenye huu Uzi hakuna.

Itoshe, unatuambia pamoja na kwamba mtu kesha kufa na kuzikwa, huyu Raisi tuliyenaye hana analolifanya. Kwamba hana sera, kwamba tunadanganywa na kila Mtu, mpaka Lucas mwashambwa anadanganya kwamba mambo ni mazuri mtaani.
 
JPM Chuma bado ananyoosha nchi hata akiwa mbinguni, Mwaka wa tatu huu nchi inaongozwa na 4R ila hakuna R hata moja iliyofanikiwa kufuta kivuli cha Chuma, Pumzika Pema mwamba.
Ni ngumu sana kufuta kivuli cha yule MWOVU Jiwe kwa jinsi alivyoharibu nchi na mifumo yako.
Yule jamaa alikuwa hovyo sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…