T.Mwambungu
Senior Member
- Jan 25, 2013
- 198
- 43
hizo ni kwa zinazotengenezwa TZ au dunia nzima?....journalists kuwa scientists, kweli nchi hii ina vituko.
mbona uko marekani wamekipiga marufuku. Akili za kumbiwa changanya na zako
itakuwa marekani ya nyambiti
hizo ni kwa zinazotengenezwa TZ au dunia nzima?....journalists kuwa scientists, kweli nchi hii ina vituko.
Mh! Mimi mbona nilishaacha kunywa soda tangu kitambo
HILI LIPO WAZI.
>Familia yangu nimeielimisha vya kutosha japo kuwa haikuwa kazi rahisi kuwashawishi waniele.
MADHARA YA SODA NIYAJUAYO:
>Usababisha ukibogoyo na udhaifu wa mifupa.
"soda/vinywaji vyote vya kopo vinatunzwa na madini ya 'PHOSPHORUS' "
Phosphorus ndiyo inayoungana na madini ya CALCIUM (na madini kadhaa) kutengeneza MIFUPA,
Phosphorus iliyoko kwenye soda/vinywaji vya kopo, usababisha mifupa kudhoofika( it tend to excract bones calcium)
>SODA/vinywaji vya kopo usababisha Aleji.
>
>
>
MKUU MZIZI MKAVU,
hongera kwa kuelimisha jamii.
inawezekana za tz zmezd coz ukfuatlia historia ya soda km coke zero marekan kila inapokuwa launched wanaibanned coz of sodium ts contain ila cunaona tz kmya.
Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa kinywaji aina ya soda ni hatari kwa kuwa kina sumu. Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imekanusha taarifa hiyo na kusema kuwa taarifa hiyo haikufuata misingi ya kisayansi na kuwa kinywaji hicho hakina madhara kama ilivyodaiwa kwenye taarifa hiyo. Taarifa ya TFDA imesema kinywaji hicho hutumika duniani kote na kinazalishwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama.
Cola's zina cafeine ambazo zina madhara.
Pia most of them have lot of carbohydrates which is not useful.
Kuanzia leo mwanangu soda ataiona mkwe! m2juze na mengine ambayo ni sumu.
Hata kahawa zina caffeine. Hata chai (majani ya chai) nayo ina caffeine.
Je, hunywi kahawa wewe? Hunywi chai wewe?