Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

hizo ni kwa zinazotengenezwa TZ au dunia nzima?....journalists kuwa scientists, kweli nchi hii ina vituko.

>TZ Hatutengenezi soda bali tunaviwanda vya kukologa chemikali kuunda soda (sijui kwa azam cola)

>Chemikali zinazotumika ndizo zenye sumu na zinatoka ng'ambo.
 
mbona uko marekani wamekipiga marufuku. Akili za kumbiwa changanya na zako
 
Cola's zina cafeine ambazo zina madhara.

Pia most of them have lot of carbohydrates which is not useful.
 
mmmmh, 2naangalia soda au madhara yaliyopo ktk bidhaa / vyakula vyote 2navyovitumia?
 
Sawa lakini soda ni tamu sana nimeanza kunywa tangu mdogo hadi sasa niko poa. Labda hayo madhara yatanifika nikiwa Mbinguni!
 
hizo ni kwa zinazotengenezwa TZ au dunia nzima?....journalists kuwa scientists, kweli nchi hii ina vituko.

inawezekana za tz zmezd coz ukfuatlia historia ya soda km coke zero marekan kila inapokuwa launched wanaibanned coz of sodium ts contain ila cunaona tz kmya.
 
HILI LIPO WAZI.
>Familia yangu nimeielimisha vya kutosha japo kuwa haikuwa kazi rahisi kuwashawishi waniele.

MADHARA YA SODA NIYAJUAYO:

>Usababisha ukibogoyo na udhaifu wa mifupa.
"soda/vinywaji vyote vya kopo vinatunzwa na madini ya 'PHOSPHORUS' "

Phosphorus ndiyo inayoungana na madini ya CALCIUM (na madini kadhaa) kutengeneza MIFUPA,

Phosphorus iliyoko kwenye soda/vinywaji vya kopo, usababisha mifupa kudhoofika( it tend to excract bones calcium)

>SODA/vinywaji vya kopo usababisha Aleji.

>
>
>

MKUU MZIZI MKAVU,
hongera kwa kuelimisha jamii.

Si zinakuwa sumu kama ukinywa directly ila zikichanganywa inatokea chemical reaction nyingine ambayo inakuwa sio sumu ambayo ni soda. Chlorine ni sumu ila ikichanganywa na component zingine katika ujazo flani pamoja na ujazo flani wa maji inakuwa dawa ya kuua vijidudu katika maji ambayo tunakunywa kwenye mambomba yetu. Nadhani hapa ni issue ya chemical reaction tu ila wengi wanaangalia katika mtazamo wa kuitumia chemical inayotengeneza kitu flani directly pasipo kupitia katika chemical reaction flani na ndio maana mama mjamzito akila kisamvu ambacho kimechemshwa bila kiungo kinahatarisha mimba yake lakini kikiwekwa karanga na vikorombwezo vingine kinakuwa kimebadilika kutoka sumu especiaalyy kwa mama mjamzito na kuwa mboga safi.

Sio mtaalamu ila nimefikiria katika mtazamo wa hizi chemistry zetu za form I A ambazo watu tulikuwa tunatumia chemical za laboratory mpaka zinatokea pombe wakati hizo hizo chemical ukizitumia directly zinakuwa sumu.

Mamlaka zinazohusika inabidi zije zitolee ufafanuzi maana hata huko nchi za watu tunaona kina Messi wanatangaza kwa kwa nguvu bidhaa zinazohusiana na soda aina ya cola
 
inawezekana za tz zmezd coz ukfuatlia historia ya soda km coke zero marekan kila inapokuwa launched wanaibanned coz of sodium ts contain ila cunaona tz kmya.

Ila za huku kwetu Tz zinatofauti hata ukilinganisha tu na zile zilizokuwa zinatengenezwa 20 years ago ni tofauti na hizi za sasa ambazo zinakuwa kama maji flani yaliyochanganywa na sukari ila yamewekewa tu gesi na kuongezwa ladha kidogo ya soda husika
 
Ni vizuri watu kuwa na taarifa sahihi za vitu watumiavyo,serikali si kazi yake kukulazimisha kuacha au kuendeleaa,watu wana hitaji sana elimu ya chakula ili kulinda afya zao
 
Ivi ata Sprite maana haina Cola!
Ila uzuri THODA nilishaacha kitambo sana ingawa nkiwa na hamu moja kwa mwezi sio Mbaya.
Natural juice ndo mpango mzima
 
Tunashukuru kwa taarifa


Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa kinywaji aina ya soda ni hatari kwa kuwa kina sumu. Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imekanusha taarifa hiyo na kusema kuwa taarifa hiyo haikufuata misingi ya kisayansi na kuwa kinywaji hicho hakina madhara kama ilivyodaiwa kwenye taarifa hiyo. Taarifa ya TFDA imesema kinywaji hicho hutumika duniani kote na kinazalishwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama.
 
Cola's zina cafeine ambazo zina madhara.

Pia most of them have lot of carbohydrates which is not useful.

Hata kahawa zina caffeine. Hata chai (majani ya chai) nayo ina caffeine.

Je, hunywi kahawa wewe? Hunywi chai wewe?
 
Tumekunywa na huwa tunakunywa mara moja moja chai ya rangi, shida sisi MIAFRIKA lazima tuzingatie unywaji na ulaji wetu maana UKIMWI unazidi kuongezeka Africa TU.

Madhara ya kafeina si lazima uumwe au uende hospitali, namna unajaji mambo yako na maisha yako kunaweza kuwa affected kwa namna moja au nyingine kutokana na vinywaji na vyakula unavyokula kila siku. SI LAZIMA UUMWE.


Hata kahawa zina caffeine. Hata chai (majani ya chai) nayo ina caffeine.

Je, hunywi kahawa wewe? Hunywi chai wewe?
 
Back
Top Bottom