MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Cjakataa kuacha ila soda ina raha yake jaman hasa kukiwa na jua kali na joto yaan ukishushia kitu cha barid unaona kabsa kwenye koo kitu kinapita.
People eat man made JUNK instead of God given NATURAL foods. Soma tena hii sentensi!
.
Tunakula chakula ambacho hatukuwa designed kula, mfano badala ya matunda na juisi asili tunakunywa soda.
.
Sio mbaya kunywa mara moja moja ila kama unaweza, Acha moja kwa moja mkuu.
Ahahahaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukimckiliza kila anayeshauri kuhusu chakula hapa bongo, utaishia kula majani tu
Si ajabu hata Ulaya hujafika....
cocacola ya ulaya ina utofauti wa ladha na cocacola ya tanzania....
HaswaaaSoda ikitumiwa kwa kiwango cha kawaida haina madhara, ikizidishwa ina athari zake,
Tuishi kwa kiasi katika kila kitu, hii ndiyo nidhamu kuu ya maisha.
Muondoke hapa mnatunukia na mapombe yenuTunaotandika mabapa ya konyagi tuelekeze wapi comment zetu
Kemikali zipi hizo?Soda 1=vijiko vikubwa 13 vya sukari guru + kemikali. Tafakari
kwani lazima uende ulaya ndio unywe soda?Si ajabu hata Ulaya hujafika.
Asante sana hiki ndio huwa nawaambia watu wanaonishambulia wakiona nimeshika kapepsi kangu. Shida siku hizi kila mtanzania ni tabibu
Mkuu niache nidanganyike afya yangu au yako?Acha kudanganyika kirahisi wewe!!!
Mkuu niache nidanganyike afya yangu au yako?
Naona mkuu umeweka kivumishi cha guru ili umtishe zaidiSoda 1=vijiko vikubwa 13 vya sukari guru + kemikali. Tafakari
Lazima hapo ajitapishe soda zote alizokunywa. ila kiukweli badala ya soda ni bora kunywa maji au hata matunda.Naona mkuu umeweka kivumishi cha guru ili umtishe zaidi
Hujakwepa kitu kijana. Sukari ipo kwa uwingi kwenye bia na ndiyo maana bia inaongeza uzito. Mvuta sigara ana nafuu kuliko mnywa bia. Sigara inaua tu mapafu na koromeo ili hali bia inamaliza moyo, ini, figo, tumbo n.kNna miaka 8 sijuii soda
Hpa ni beer na nyagi
Ova
Mkuu nilitaka kuchangia kuhusu sumu iliyo kwenye soda ila umeniacha hoi na hii "kwan kazi ya ini ni nini katika mwl wa binadamu kama sio kupambana na hzo sumu?" Yaani wewe unywe mapetroli halafu uliachie ini nipambane.