Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine.
Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka.
Historia ya south afrika kiufupi unaweza kuona ni nyepesi sana kama ujaingia kiundani sana labda lile la soweto kwa wanafunzi walio uliwa.
Ila kulikuwa ukatili wa kutisha ,utekaji,mauwaji ya wazi,uchawa,kufungwa kwa uhuru wa habari hata mwanahabari mmoja ile habari ya soweto ili bidi kutoroka na familia yake ndio ikajulikana bila hivyo ni kama October 29.
Athari zake zinazokuja na ambazo mnaziona south afrika ,kama umefika wananchi wake hawapo sawa kiakili,wana depression ambayo kama ingeweza kuzuiwa basi watu wake wasingekuwa na mfumo mnao waona.
Kwa hapa tanzania athari inayojenga CCM ndio matokeo yatakayo jenga vizazi ambavyo havitaweza kuheshimu wala kuwa kama watu.