Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:

 
dunia inapoelekea anajua mungu.kwa ufupi saud imebadilika sana.na hiz ndo zile dalili za kiama.
Saudi Arabia ni neema kubwa kwa Waislam. Mchango wao kwa Uislam ni mkubwa mno. Allah awahifadhi na awalinde. Allah awaongoze viongozi wote wa Waislam.


Laah haulah tobaa! Uislam kweshney, umeisha. Wameanza kuruhusu wasio waislam! Itafika wakati wataruhusu mpaka Maka kuna kuba. Watapata fedha nyingi za utalii
Endelea kuota. Uislam unazidi kushamiri.
 
dunia inapoelekea anajua mungu.kwa ufupi saud imebadilika sana.na hiz ndo zile dalili za kiama.
Mohamed Bin Salman ni rafiki wa Marekani na ni rafiki wa Watu wote...Wakristo kwa Waislam kasoro Wapagani

He is no longer a Radical Muslim na anaondoa hiyo mindset kwny Royal family kwa ujumla

Kumbuka Mtume Muhammad (S.A.W) alitoka kwao na alikuja kwaajili yao sio kwaajili yako

Wewe baki na Ujinga na Ubaguzi wako hapo tandale

mgen
 
dunia inapoelekea anajua mungu.kwa ufupi saud imebadilika sana.na hiz ndo zile dalili za kiama.
Dini zote zitakufa.

Itabaki tu kuwa Kama fashion.

Dini zitakuwa Kama Uislam wa kina Mike Tyson, DJ Khalid, Pogba, na mvuta bange Snoop Dogg.

Kiuhalisia dini mpya inaweza kuwa Football game.

Huko Saudia mpaka wanavunja utaratibu wao na kiruhusu Ronaldo akae na demu wake.

Wamesharuhusu mashoga waende kutembea bila shida.
 
na ndipo kila mtu ataleta utamaduni wake.patakuwa uwanja wa fujo kama miji mingine,wataingia walevi,wezi,wazinifu n.k
Kwani Qatar wakati wa World Cup 2022 uliona uzinifu nje ya uwanja?
Nchi hizi zinaendeshwa na sheria, ukizivunja unahukumiwa.
Saudi Arabia Iko hivyohivyo.
 
Kwa hiyo ni kusema ktk uislam akitokea mtu mwenye roho nzuri na uelewa mpana akataka atende jema kwa jamii isiyo islan huyo anakuwa anakosea?

Kwanini hampendi ushirikiano always ni chuki tu hata kwa ardhi aliyoiumba Mungu?
hapana.hata asiye muislam ana haki zake katika uislam.shida hyo miji ni mitakatifu.utataka kwenda umelewa,uende na hawara yako.mtazini n.k
 
Muhafidhina wa kidini,waliokuletea dini wameanza kujitambua umebakia wewe fanatic,soon kutakua na pork festival hapo madina.
Hii haiwezi tokea.
Muangalie Cristiano pale Saudi Arabia, licha ya kwamba ni mchezaji mkubwa na ameruhusiwa kuwa na Georgina ila kwenye upande wa mavazi anajiheshimu tofauti na alivokuwa uingereza.

Kule we nenda ila usivunje sheria za nchi, utashughulikiwa. Hakutakuwa na hiyo festival kama watu wanavowaza, Yuko makini mno yule MBS, anavuta capital flow nchini kwake kupitia tourism.
 
Kila mmoja na fikra zake, upo huru na mawazo yako. Tunaona Uislam unazidi kushamiri na hao hao unaowaona hawafai ndiyo wanaupaisha Uislam, na hayo hayakuanza leo, wasome watu wa karibu kabisa na Mtume Muhamma enzi hizo, walikuwa kuliko hao uliowataja na hao ndiyo wakaja kuwa Waislam bora kabisa. Soma kisa cha Omar AlKhattab, soma kisa cha Khalid bin Al Walid. Utashangaa. Kina Tyson na Snoopy dog cha mtoto kwao hao.

Kwani ubaya wa Tyson ni upi? Kijana.
 
hapana.hata asiye muislam ana haki zake katika uislam.shida hyo miji ni mitakatifu.utataka kwenda umelewa,uende na hawara yako.mtazini n.k
Tatizo hujafatilia sheria zilizowekwa na nchi Kwa yeyote atakaye-visit Saudi Arabia.
 
Ni kweli wamemruhusu Cristiano ila kipindi anaishi kule hakuna tabia za ajabu amezifanya tofauti akiwa Uingereza, kwnye hotel anavaa suruali na sio kaptura. Waarabu washamseti atakavoishi.

Kuhusu mashoga, sheria zipo, wakionyesha hadharani wanashtakiwa, sijaona yeyote aliyeonyesha hadharani kule Saudia, hawana masihara na mtu.
 
Saudi Arabia ni neema kubwa kwa Waislam. Mchango wao kwa Uislam ni mkubwa mno. Allah awahifadhi na awalinde. Allah awaongoze viongozi wote wa Waislam.



Endelea kuota. Uislam unazidi kushamiri.
ukoo wa saudi wanapoteza mila na tamaduni za uislam.ila sishangai ndo dalili zenyewe hz.ule mwisho hauwez kuja bila haya kutokea.
 
Kulima na kuuza bange.

Au uislam umeruhusu?
Hakuna dini ya Ki-Ibrahimu inayoruhusu kulima na kuuza kitu chenye hasara kwa mtu , huyo atahukumiwa na Muumba wake.

Dini zimeamrisha Matendo mema na kuyachukia mabaya na kuyakemea waziwazi.

Mtu mmoja au kilundi sio classification ya kuwa Uislam umebadilika au Ukristo umebadilika.
 
eti muhammad alikuja kwa ajili yao.NENDA KASOME SURAT NNAS.alafu urudi hapa.huyo sio yesu aliyetumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya yakubu.
 
hakujawahi kuwa na "radical Muslim" duniani. Uislam ni mmoja tu. Huo ni ujinga uliojazwa nao na wasioutakia mema Uislam.

NBS hata hao Marekani wanamuhara, hujamsoma vizuri nini? Juzi juzi kampandishia Biden, na hivi sasa mboana anafanya ushirika wa Brics na hao unaowaita "wapagani".

Muwe mnafanya research japo kidogo kabla ya kuja na fikra zenu tu, mnafikri watu hatuingii mitandaoni? Jionee:

 
Saudi Arabia ni neema kubwa kwa Waislam. Mchango wao kwa Uislam ni mkubwa mno. Allah awahifadhi na awalinde. Allah awaongoze viongozi wote wa Waislam.



Endelea kuota. Uislam unazidi kushamiri.
unazidi kupungua misimamo mikali kuanzia huko ulikoanzia. We mbantu uliyeletewa huna cha kujivunia sanasana utafuata misimamamo ya huko madinah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…