Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudi Arabia ni neema kubwa kwa Waislam. Mchango wao kwa Uislam ni mkubwa mno. Allah awahifadhi na awalinde. Allah awaongoze viongozi wote wa Waislam.dunia inapoelekea anajua mungu.kwa ufupi saud imebadilika sana.na hiz ndo zile dalili za kiama.
Endelea kuota. Uislam unazidi kushamiri.Laah haulah tobaa! Uislam kweshney, umeisha. Wameanza kuruhusu wasio waislam! Itafika wakati wataruhusu mpaka Maka kuna kuba. Watapata fedha nyingi za utalii
Mohamed Bin Salman ni rafiki wa Marekani na ni rafiki wa Watu wote...Wakristo kwa Waislam kasoro Wapaganidunia inapoelekea anajua mungu.kwa ufupi saud imebadilika sana.na hiz ndo zile dalili za kiama.
Dini zote zitakufa.dunia inapoelekea anajua mungu.kwa ufupi saud imebadilika sana.na hiz ndo zile dalili za kiama.
Kwani Qatar wakati wa World Cup 2022 uliona uzinifu nje ya uwanja?na ndipo kila mtu ataleta utamaduni wake.patakuwa uwanja wa fujo kama miji mingine,wataingia walevi,wezi,wazinifu n.k
hapana.hata asiye muislam ana haki zake katika uislam.shida hyo miji ni mitakatifu.utataka kwenda umelewa,uende na hawara yako.mtazini n.kKwa hiyo ni kusema ktk uislam akitokea mtu mwenye roho nzuri na uelewa mpana akataka atende jema kwa jamii isiyo islan huyo anakuwa anakosea?
Kwanini hampendi ushirikiano always ni chuki tu hata kwa ardhi aliyoiumba Mungu?
Hii haiwezi tokea.Muhafidhina wa kidini,waliokuletea dini wameanza kujitambua umebakia wewe fanatic,soon kutakua na pork festival hapo madina.
Kila mmoja na fikra zake, upo huru na mawazo yako. Tunaona Uislam unazidi kushamiri na hao hao unaowaona hawafai ndiyo wanaupaisha Uislam, na hayo hayakuanza leo, wasome watu wa karibu kabisa na Mtume Muhamma enzi hizo, walikuwa kuliko hao uliowataja na hao ndiyo wakaja kuwa Waislam bora kabisa. Soma kisa cha Omar AlKhattab, soma kisa cha Khalid bin Al Walid. Utashangaa. Kina Tyson na Snoopy dog cha mtoto kwao hao.Dini zote zitakufa.
Itabaki tu kuwa Kama fashion.
Dini zitakuwa Kama Uislam wa kina Mike Tyson, DJ Khalid, Pogba, na mvuta bange Snoop Dogg.
Kiuhalisia dini mpya inaweza kuwa Football game.
Huko Saudia mpaka wanavunja utaratibu wao na kiruhusu Ronaldo akae na demu wake.
Wamesharuhusu mashoga waende kutembea bila shida.
Tatizo hujafatilia sheria zilizowekwa na nchi Kwa yeyote atakaye-visit Saudi Arabia.hapana.hata asiye muislam ana haki zake katika uislam.shida hyo miji ni mitakatifu.utataka kwenda umelewa,uende na hawara yako.mtazini n.k
Kulima na kuuza bange.Kwani ubaya wa Tyson ni upi? Kijana.
Ni kweli wamemruhusu Cristiano ila kipindi anaishi kule hakuna tabia za ajabu amezifanya tofauti akiwa Uingereza, kwnye hotel anavaa suruali na sio kaptura. Waarabu washamseti atakavoishi.Dini zote zitakufa.
Itabaki tu kuwa Kama fashion.
Dini zitakuwa Kama Uislam wa kina Mike Tyson, DJ Khalid, Pogba, na mvuta bange Snoop Dogg.
Kiuhalisia dini mpya inaweza kuwa Football game.
Huko Saudia mpaka wanavunja utaratibu wao na kiruhusu Ronaldo akae na demu wake.
Wamesharuhusu mashoga waende kutembea bila shida.
ukoo wa saudi wanapoteza mila na tamaduni za uislam.ila sishangai ndo dalili zenyewe hz.ule mwisho hauwez kuja bila haya kutokea.Saudi Arabia ni neema kubwa kwa Waislam. Mchango wao kwa Uislam ni mkubwa mno. Allah awahifadhi na awalinde. Allah awaongoze viongozi wote wa Waislam.
Endelea kuota. Uislam unazidi kushamiri.
Hakuna dini ya Ki-Ibrahimu inayoruhusu kulima na kuuza kitu chenye hasara kwa mtu , huyo atahukumiwa na Muumba wake.Kulima na kuuza bange.
Au uislam umeruhusu?
eti muhammad alikuja kwa ajili yao.NENDA KASOME SURAT NNAS.alafu urudi hapa.huyo sio yesu aliyetumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya yakubu.Mohamed Bin Salman ni rafiki wa Marekani na ni rafiki wa Watu wote...Wakristo kwa Waislam kasoro Wapagani
He is no longer a Radical Muslim na anaondoa hiyo mindset kwny Royal family kwa ujumla
Kumbuka Mtume Muhammad (S.A.W) alitoka kwao na alikuja kwaajili yao sio kwaajili yako
Wewe baki na Ujinga na Ubaguzi wako hapo tandale
mgen
hakujawahi kuwa na "radical Muslim" duniani. Uislam ni mmoja tu. Huo ni ujinga uliojazwa nao na wasioutakia mema Uislam.Mohamed Bin Salman ni rafiki wa Marekani na ni rafiki wa Watu wote...Wakristo kwa Waislam kasoro Wapagani
He is no longer a Radical Muslim na anaondoa hiyo mindset kwny Royal family kwa ujumla
Kumbuka Mtume Muhammad (S.A.W) alitoka kwao na alikuja kwaajili yao sio kwaajili yako
Wewe baki na Ujinga na Ubaguzi wako hapo tandale
mgen
unazidi kupungua misimamo mikali kuanzia huko ulikoanzia. We mbantu uliyeletewa huna cha kujivunia sanasana utafuata misimamamo ya huko madinahSaudi Arabia ni neema kubwa kwa Waislam. Mchango wao kwa Uislam ni mkubwa mno. Allah awahifadhi na awalinde. Allah awaongoze viongozi wote wa Waislam.
Endelea kuota. Uislam unazidi kushamiri.