Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

Siku za kubembelezwa zimeisha, yani ujenge kwenye bonde alafu utake mtu aje akufariji..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Mbona bingwa tokea hajapata hicho kiti wote tulikua tunamfaham kwa kutupia nondo kali na misumari ya nchi sita, nani amesahau aliposema kama hauna 200 piga mbizi. Mara ngapi alipelekesha bunge kuhusu matumizi ya barabara?

Lakini kubwa zaidi alikua muwazi zaidi kwa kusema huku alipo yeye kasukumizwa tu akajikuta yupo jumba jeupe. Hapo mnamshangaa au kumlaumu kwa kipi?

Yaani huyo ndio yeye! Sie ndio wa ajabu endapo tulitarajia atakua mnafiki abadilike kisa ameupata urais.


Nakala kwa rais wetu wanyanyua box
Nyani Ngabu
 
Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa

View attachment 1354639
Watanzania tutimize wajibu wetu Wa UPENDO waheshimiwa wabunge Wa Lindi bila kujali vyama venu kaeni fungua account ya maafa isambaze na kuitangaza ili kila mtanzania mwenye chochote aweze kutuma hata kama ni mia ili tuwasaidie wenzetu wa lindi kama harusi tunachanga na ili tunaweza na kweli nafikili huko ali ni mbaya maana niliona kwenye clip Mh Bwege akiliongea bungeni ila samahani kama nitakua nimekosea jina lake mh
 
Ongeza sauti mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…