Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

Wanaharakati tuitishe mkutano na wanahabari kupinga na kulaani kauli za huyu mtu.
 
Kweli katema madini hasaa tena madini aliyotema yanaeleweka tu vizuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acheni kumponda,kuna muda lazima tuambiwe ukweli hata kama unauma,baadhi tumekua Kenge hatusikii mpaka damu zitoke masikioni. Big up JPM.

macson
 
Watu hawapati akili kwa kusengenywa na kunyanyaswa, hapo unawaongezea msongo wa mawazo tu.

Watu wanapata akili kwa nchi kuwa na uongozi bora utakaowajali, kuwaelimisha, kuwashirikisha, kuwahamasisha na kuwaliwaza vizuri.

Magufuli kashindwa katika yote hayo.

Anajitengenezea uadui wa bure kabisa na wananchi wake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyakatai hayo ya 'empathy'.

Kupata akili kutatokana na kujua mtu wanayemtegemea awaliwaze hana mwelekeo huo kabisa. Kuna kujifunza 'the hard way'.

Kwa upande wa pili, tunaweza kusema 'it is about time'; watu wamelemaa mno kiakili.

Acha pawepo na 'exception', labda tutastuka kidogo na kuanza kutumia akili kwenye mambo mengi yanayotukabili; si akili kwenye hili la kupeana pole pekee. Hili ni pamoja na akili ya kuchagua viongozi wetu.

Anyways, can't believe I am on his side on this...
 
My Excellence, The President of the United Republic of Tanzania. Keep it up Mzee Baba. Makavu Live.
 
Niliwahi kusikia mahali kuwa maana ya neno Lindi ni Bonde, sasa sijui ni kweli??

Hata haivyo kama umewahi kusafiri kwenda lindi, ukiwa unaukaribia mji unakuwa kama unashuka bondeni, mjiwenyewe upo bondeni.

Ndio maana makao makuu mapya ya mkoa wamejenga huko juu mlimani kuepuka matukio kama hayo ya mafuriko.

Lindi unayoisema wewe ni mjini kwenye bonde wala hatuna mafuriko,
Mafuriko yako huko wilaya ya KILWA kwenye tambarale.
Namshangaa hapo Baba Jesca anavyodhani kwenye kila Mafuriko ni mabondeni tu.
Huyu Mzee kauli zake nyingine zinawaongezea msongo wa mawazo wahanga.bora awe Ana piga kimya tu
 
Siyakatai hayo ya 'empathy'.

Kupata akili kutatokana na kujua mtu wanayemtegemea awaliwaze hana mwelekeo huo kabisa. Kuna kujifunza 'the hard way'.

Kwa upande wa pili, tunaweza kusema 'it is about time'; watu wamelemaa mno kiakili.

Acha pawepo na 'exception', labda tutastuka kidogo na kuanza kutumia akili kwenye mambo mengi yanayotukabili; si akili kwenye hili la kupeana pole pekee. Hili ni pamoja na akili ya kuchagua viongozi wetu.

Anyways, can't believe I am on his side on this...
There is such a thing as blaming the victim.

Mtu anyimwe fursa za elimu sawa kwa wote, anyimwe mitaji, haya, anajikakamua afanye ufugaji bila wa kumshika mkono, anakutana na mafuriko huko, kwa sababu nchi haina mifumo, napo rais wake amtukane kwa kukutana na mafuriko.
 
My Excellence, The President of the United Republic of Tanzania. Keep it up Mzee Baba. Makavu Live.
An amazing number of Tanzanians is secretly sadistic. This is reflected on how an autocrat blaming the victims has so much support here.

Schadenfreude is not a policy.

What is the policy to prevent this?
 
Acheni kumponda,kuna muda lazima tuambiwe ukweli hata kama unauma,baadhi tumekua Kenge hatusikii mpaka damu zitoke masikioni. Big up JPM.

macson
Haikwepeki kumpoda. Tetemeko liliposababisha maafa kagera alisema si yeye aliyeleta na kwamba hakuahidi ataleta tetemeko kwenye kampeni. Serikali haikutoa msaada kwa waathirika .Maafa yalipotokea Msumbiji na Zimbabwe akapeleka chakula cha msaada. Utaachaje kumponda labda.
 
An amazing number of Tanzanians is secretly sadistic. This is reflected on how an autocrat blaming the victims has so much support here.

Schadenfreude is not a policy.

What is the policy to prevent this?
As Zogwale my reaction to this thread can only and only be read with reference to Physics. The opposite direction. Hope you got me now. The Law of motion.
 
Back
Top Bottom